kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, Watu waliokufa wana nguvu kuliko walio hai?

    Kwa kifupi tuanze kujadili dhana ya kifo ninayoiamini "Kifo ni kuondoka taratibu kutoka Sasa Hadi zamani. Yani kutoka kuto kuwepo na kuwepo(kuzaliwa) kutoka kuwepo na kutokuwepo Tena(kufa). Madondoo ya miongozo ninayoiamini -Kufa ni namna nyingine ya kuishi ya binadamu - Mtu hafi akapotea (MTU...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanauelewa mkubwa wa mambo kuliko wanaume kiufupi mi nawaita akili kubwa

    Wanawake ila sio wote maana wanawake wengine akili zao wanazijuaga wenyewe mimi na uanaume wangu wote nikili tu vitu vingi vya tech nimeelekezwa na mwanamke wangu huyu mfano jambo dogo tu ilikua mwaka 2015 nimenunua simu mpya sasa nataka niingie play store nipakue vitu ninavyo vitaka niseme...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini miaka hii ya karibuni wanaume wanajipamba kuliko wanawake au kufikia kuwazidi wanawake

    Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume...
  4. JamiiForums Tanzania Faida ni bora kuliko mshahara. Mshahara utakufanya uishi tu, lakini faida inaweza kukufanya uwe tajiri

    Habari waungwana, Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina chochote lakini bado nikaandika kitu ambacho kitakufanya kesho uwe mtu mkubwa sana hapa duniani. Wapo...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi hapa mechi tatu kali za kimataifa Simba vs Yanga je ni nani atakusanya point nyingi kuliko mwenzie?

    Ligi ya mabingwa Africa pamoja kombe la shirikisho kutimua vumbi kuanzia week ijayo, huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na yanga. Ikumbukwe kuwa simba na yanga wote wataanzia ugenini, je ni nani atafanya vizuri katika mechi tatu hizi za awali? πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
  6. JamiiForums Tanzania Zama Zama kikundi kinacho sumbua africa ya kusini kuliko M23

    Zama Zama ni neno litokalo kabila la hausa kwa kngereza (To be).ila kwa kizuru(Try Try). South africa imebarikiwa kuwa na uchimbaji mkubwa wa dhahabu na migodi mikubwa inayozalisha madini ya dhahabu. kutokana na upatikanaji mkubwa wa dhahabu nchini south africa,ukilitimba wa wachimbaji wa dogo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba sahau Urais 2030, Wewe ni Radical kuliko Hayati Magufuli

    Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana Aendelee kuwa chini ya watu wengine
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

    Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana. Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko...
  9. JamiiForums Tanzania Shule yetu ya kata ina matokeo mazuri kuliko shule nyingi za Dar

    Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana. Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania WANAOJISIFU NI WATENDA HAKI, KUMBE WAO NDIO WAPINDA HAKI KULIKO

    Angalia sana kila anaejisifu na kujidai kutenda haki, sio wote wapo kama wasemavyo, Huku wanasema hivi na kule wanasema vingine, Chukua tahadhari sana Ikibidi chambua sana mpaka upate kitu safi 100% halafu ndio uunge mkono Wengi huwenda kwa maslahi yao zaidi Angalieni wasiwapoteze Haki hutendwa...
  11. JamiiForums Tanzania TBT: Unadhani vijana wa zamani walikua pamba kali kuliko sasa?

    Hivi ni kwa nini baadhi ya vijana hupenda kuvaa mlegezo?
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini tumekua wa kwanza kulaumu juu ya matatizo yetu kuliko kutafuta suluhisho?

    Wengi wetu tumekua wa kwanza kutafuta lawama kuliko kuangalia suluhisho, hii inatufanya kushindwa kuendelea kwa sababu ya kubaki na kinyongo. Tupambane tuachane na lawama zisizo za msingi.
  13. JamiiForums Tanzania Je, Wakristo wanaongoza kubaguana kuliko dini nyingine?

    Nimejaribu kuangalia hali ya upendo Kati ya madhehebu mbalimbali ya Kikristo, hali inasikitisha. Kila dhehebu linahubiri upendo kivyake ilhali wanawabagua wenzao wa dhehebu lingine.Hali hii inasababishwa na nini Je Kristo amegawanyika? Binafsi familia niliyotoka nimefanikiwa kuona SDA...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Biya ambaye ndiye mzee kuliko wote Afrika ageuka kichekesho huko Marekani

    Katika hali iliyoonekana kama vile kuzidiwa na uzee au matatizo ya kusahau sahau Rais wa Cameron, mheshimiwa Paul Biya alijikuta akigeuka kichekesho wakati wa mkutano wa kimataifa wa US Africa Leadership Summit in Washington DC. Rais huyo mzee kuliko wote alijikuta akisahau mahali alipo punde...
  15. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuheshimu boss wako/ Mchungaji/Sheikh /Padre kuliko Mumeo/Mkeo?

    Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama lote. Ushawahi kukutana na wadada wa customer care? Utasema hapa ndiyo penyewe 😁 Kanisani nako...
  16. JamiiForums Tanzania Je, waliooana wanakula bata sana kuliko sisi tunaolala kama baiskeli imepaki? Uzoefu wenu tafadhali

    Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
  17. R

    JamiiForums Tanzania CCM watatema ndoano au watakubali kunaswa na hoja za wapinzani?

    Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na miradi isiyoendelevu NI mingi. Kufunguliwa Kwa majukwaa ya kisiasa maana yake nikuruhusu akina Tundu...
  18. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kitu chenye speed kuliko vyote na anacho binadamu

    Fikra au Mawazo. Speed yake haijaweza pimwa mpaka sasa. Ukikaa ndani ya sekunde unaweza ukawaza umefika Ulaya na kurudi Tz. Ilhali hujanyanyua hata nyusi. Unaweza waza mambo kadhaa ndani ya musa mfupi sana au ukaenda sehemu na lazima kurudi ndani ya muda huo huo mfupi kwa mawazo. Hata unaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wenye Damu kundi A wana hatari ya kupata Kiharusi kuliko wenye kundi O

    Chapisho la Timu ya Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Maryland katika jarida la Neurology, limeonesha wenye Damu ya Kundi A wana uwezekano mkubwa wa kupata Kiharusi kabla ya umri wa miaka 60. Wenye Kundi O la Damu wameonekana kuwa na uwezekano mdogo au kuchelewa kupata Kiharusi cha mapema...
  20. JamiiForums Tanzania KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Kanisa ka Kiinjili, la Kilutheri Tanzania, KKKT ina historia , na ni taasisi ya muda mrefu. Ina taratibu na kanuni zake , mchungaji au mtumishi atafanya mbwembwe zake zoote lakini lazima awe ndani ya utaratibu wa Kanisa. Mtumishi akiwa na Karama au upako lazima aongozwe na hekima, na siyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…