kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni ya kuua Tembo na wanyama pori inaanzishwa taratibu kwa kauli mbiu " Tembo/wanyama siyo bora kuliko binadamu"

    Ndugu zangu watanzania tuwe makini na wanasiasa hasa kipindi cha uchaguzi. Tuliona namna wanasiasa wa kanda ya ziwa walivyopambana kushangilia uvuvi haramu wakidai ziwa ni mali yao na wapo tayari libaiki kama swimming pool . Kauli hizi walizitoa wakitaka watu wavue bila kudhibitiwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

    Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

    Niliwahi sikia kuwa vyombo vya dola vilimwambia Magufuli amuondoe Makonda ila yeye tu aligomaga kutokana na kumpenda sana. Kwa nafasi mpya aliyoteuliwa na Chama chake nina uhakika mwenyekiti wake ajipange kuletewa kila siku taarifa zinazotokana na mapungufu yake. kwa niliyowahi kusikia huko...
  4. JamiiForums Tanzania Tukiwarudisha akina Makonda, Sabaya, na Happy chamani siasa inakwenda kuwa tamu kuliko ligi ya NBC

    Kuwarejesha akina Makonda, Sabaya na Happy kwenye chama cha CCM kunaweza kubadilisha mwelekeo wa siasa nchini. Historia inatufundisha mengi kuhusu nguvu ya umoja katika kufanikisha malengo makubwa. Wakati mwingine, inachukua uamuzi wa busara na mageuzi ya kimkakati kuimarisha msimamo wa chama...
  5. JamiiForums Tanzania Kushindwa hakuumizi sana, lakini kushindwa kunakotokana na usaliti inauma kuliko kitu chochote

    Kwema Wakuu! Katika vita vya kisiasa kuna kushinda na kushindwa. Kushindwa ni sehemu ya ushindi ikiwa mlipigana kwa umoja na ushirikiano kwa pamoja kama jeshi imara. Lakini kushindwa kunakotokana na usaliti sio tuu inaumiza bali pia inaua nafsi na roho. Fikiria mtu uliyekuwa unamuamini na...
  6. JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  7. JamiiForums Tanzania Upande wa ukingo wa Magharibi aliko Mahmoud Abbas wana vita vyengine vikali kuliko vya Gaza

    Vita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya Jerusalem ni vikubwa zaidi. Eneo hilo miaka michache iliyopita lilikuwa ni ardhi kubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hii vita ni kali kuliko ya jamaa zetu tunaowafahamu!

    Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika. Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani anaitwa Jackson Hinkle huyu jamaa anashabikia sana habari za mauaji yanayofanywa na IDF na kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wanamkubali sana Mwamposa Bulldozer kuliko wachungaji/ Wahubiri wengine

    Nimefanya utafiti mdogo tu ,jinsia ke inamuamini sana Mwamposa Bulldozer kuliko watumishi wa Mungu wote.Nini kipo nyuma ya pazia?
  10. JamiiForums Tanzania Hii wiki hali ya mashabiki wa Yang ni mbaya kuliko maelezo

    hii ni wiki ya mateso,dhoruba,milipuko ya moyo na presha kupanda kwa mashabiki wa Utopolo. mashabiki wa Utopolo wanaumizwa na mafanikio ya Simba. kuna mmoja katangaza kwa uchungu kuachana na soka,tukio kubwa la soka Tanzania la uzinduzi wa michuano mikubwa Africa yeye kutokuwepo imemuuma...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashambuliwa na mapepo zaidi kuliko wanaume?

    INTRODUCTON. Jinsia zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo. Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na mapepo na hayatoki, yalitoka yanarudi. Imekuwa kama mchezo sasa wa kuigiza. MAPEPO. Hizi ni ROHO...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Redio za zamani zina music mzuri na spika tulivu kuliko hizi za kisasa?

    Haya maendeleo ya Sayansi na Teknolojia sometime yananichanganya. Ukuaji wa teknolojia unatarajiwa kukuwa na viwango bora vya bidhaa na uimara zaidi. Hali imekuwa tofauti kabisa kwenye idara ya music sounds and systems. Yaani ukienda dukani ukapata Redio yako ya Sony au Rising ya zamani au...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Watu wanaokunywa Pombe wanaonekana wanafurahia maisha kuliko wasiokunywa

    Aisee nimekuwa nikipita hapa Polis Mess na sometimes mess ya Jeshi Wtz kumchukulia CH4CH2OH( pombe) mke wangu. Nachukua kama dakika kadhaaa kutupia macho hapa na pale. Jambo ninaloweza kusema ni kuwa hawa watu wanaokunywa pombe wanaonekana kuwa na furaha na wanapendana sana. Na vile vile...
  14. JamiiForums Tanzania Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

    Ukisoma Biblia utaona kuwa mungu wa biblia sio mungu wa amani anayetaka watu waishi bila shida. Ni mungu wa mauaji na mateso. Kuna analysis ilifanywa na wataalamu wa statistics kuona kati ya mungu na shetani, nani ameua watu wengi kwenye biblia. Kwenye biblia nzima, kuanzia kitabu cha mwanzo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kumng'oa Mkoloni Mweusi kuliko ilivyokuwa kwa Mkoloni Mweupe

    Asalaam aleykum, Ama baada ya salamu hizo, rejea kichwa cha habari, chahusika. Uhuru ni kitu muhimu ambacho kila mmoja anakitamani. Lakini kwa bahati mbaya sana katika historia ya binadamu, imekuwa ni hulka ya baadhi ya watu furaha yao kukamilishwa kwa kuwanyonya/kuwakandamiza wenzao. Hili...
  16. JamiiForums Tanzania Nadharia na maneno toka Serikalini vimekuwa vingi kuliko wanavyohitaji Watanzania kwenye grassroot

    Unapokea dege la.bil 800+ alafu unachukua ujumbe wa watu 100 na zaidi kwenda nao Qatar na India kwa sababu gani za msingi? Kuangalia namna green house zinazalisha mbogamboga ? Huko India kuna nini kipya mpaka ubebe watu mia mbilli na ushee kwenye ziara kama hii? Huko India hakuna balozi ambaye...
  17. JamiiForums Tanzania Je Wajua Ayam Cameni ni kuku Weusi mpaka nyama na kiini cha Yai?

    1. Hao kuku wanaitwa Ayam Cameni , Ni Weusi kwa kila kitu mpaka nyama na kiini cha Yai, 2. Waligunduliwa nchini Indonesia Karne ya 17 na bado hawapatikani nchi nyingi Hadi sasa 3. Nchini Marekani waliingia mwaka 1998 na Yai moja la kuku Hawa nchini marekani linauzwa dola $130 Karibia Shilingi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa amerudi rasmi kwenye viwango vya juu vya siasa Tanzania; kuvuliwa Ubalozi kumempa umaarufu kuliko ubalozi wenyewe

    Dkt. Slaa ataendelea kuwa bingwa wa siasa za upinzani Tanzania. Atazidi kuchota wafuasi wengi awapo Duniani na baada ya kuondoka. Alitambua kwamba amefungwa kifungo cha kidiplomasia akapambana hadi akaondolewa minyororo ya kidlomasia na sasa amekuwa mtu huru. Amechanga karata na huku tuendako...
  19. JamiiForums Tanzania Robertinho: Bocco ndiyo anayefuata Maelekezo yangu Vizuri Kuliko Phiri na Baleke, Aachane na Kelele za Mashabiki wa Simba

    Akizungumza na Mwanaspoti jana, kocha Robertinho alisema ameionah ali ya mashabiki wa klabu hiyok utomkubali Bocco, ila kwam tazamo wake bado ni mshambuliaji bora anayeweza kucheza kwa maelekezo na kuisaidia timu, hivyo hawezi kumuacha nje kizembe. Mbrazili huyo alisema Bocco pekeea mekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mnyama Mwenye Wivu kuliko wote Duniani

    Nyegere Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo. Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…