Mnyama Mwenye Wivu kuliko wote Duniani

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
IMG_20231008_114016.jpg

Nyegere

Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo.

Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha huwatupa mbali kwa mkia wake.
 
View attachment 2775259

Na ni mnyama mtata sana,simba na wanyama walao nyama hupata shidw sana kwake,!
 
View attachment 2775259
Nyegere

Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo.

Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha huwatupa mbali kwa mkia wake.
Huyu ni Kiboko ya nyoka wote unaowajua hapa Duniani

Unaambiwa hata Koboko sijui Black mamba akimwona huyu nyegere ili kuepusha Maisha yake hukimbia mbali sana na hakuna sumu ya nyoka inayomdhuru
 
Siyo kweli. Mnyama mwenye wivu kuliko wote ni binadamu. Japo madume ya binadamu hawatembei nyuma ya majike yao kila saa lakini madume yanachukuwa majike na kuyaweka ndani ya nyumba na kusema yameoa na wamejiwekea sheria kuwa jike likikutwa na dume lisilo lake ndoa inaishia hapo hapo.
 
Sema madume ya binadamu hayapigi majani yakigusa majike yao...na pia madume hayana ngozi ngumu kama Nyegere...
 
Mnyama Mwenye wivu kuliko wote duniani ni binadamu.Binadamu ana aina zote za wivu.wivu wa mapenzi,wa maendeleo,wa ujinga na kila takataka.Hako kamnyama kana wivu wa mapenzi tu wakulinda kilicho chake ila vingine hakana.njoo kwa binadamu sasa ni shida tupu.
 
Siyo kweli. Mnyama mwenye wivu kuliko wote ni binadamu. Japo madume ya binadamu hawatembei nyuma ya majike yao kila saa lakini madume yanachukuwa majike na kuyaweka ndani ya nyumba na kusema yameoa na wamejiwekea sheria kuwa jike likikutwa na dume lisilo lake ndoa inaishia hapo hapo.
Kwa dunia ya leo, Ukiwa binadamu mwenye wivu unaonekana Mjinga na Mshamba
 
View attachment 2775259
Nyegere

Nyegere anaaminika kuwa ndiye mnyama mwenye wivu kuliko wote. Muda wote dume hutembea nyuma ya jike, na endapo hata jani litamgusa jike, Nyegere dume hulirarua jani hilo.

Chakula kikuu cha mnyama huyo ni asali, kabla ya kuchukua asali huwalewesha nyuki walio katika mzinga na kisha huwatupa mbali kwa mkia wake.
umenikumbusha mbali kipindi nipo Ghana niliona nyama yake nilishanga balaa kumbe watu wanamla bhna huyu kiumbe.....kidogo nionje
 
Huyu ni Kiboko ya nyoka wote unaowajua hapa Duniani

Unaambiwa hata Koboko sijui Black mamba akimwona huyu nyegere ili kuepusha Maisha yake hukimbia mbali sana na hakuna sumu ya nyoka inayomdhuru
Hapana.wanadhurika vizuri na wanakufa.Kinachowasaidia ni ugumu wa ngozi yao na hayo manyoya.Ndo maana hakiwa anapambana na nyoka anakua anakwepesha sehemu zake laini zising'atwe.Yeye na mongoose wanatumia sana hiyo mbinu kumuua nyoka.Ila wakigongwa vizuri wanakufa kama kawaida.
 
West African nuksi. Siyo west Afrika tu nadhani kuanzia hapo Zaire. Wanakula nyama za ajabu ajabu kweli kweli. Vinyama vingi vya porini na misituni wanakula.
 
Hapana.wanadhurika vizuri na wanakufa.Kinachowasaidia ni ugumu wa ngozi yao na hayo manyoya.Ndo maana hakiwa anapambana na nyoka anakua anakwepesha sehemu zake laini zising'atwe.Yeye na mongoose wanatumia sana hiyo mbinu kumuua nyoka.Ila wakigongwa vizuri wanakufa kama kawaida.
Ni kweli. Hlafu wana reflex kali sana. Nyoka akitaka kurusha kichwa adunge wao wameshakwepa.
 
Ni kweli
Hapana.wanadhurika vizuri na wanakufa.Kinachowasaidia ni ugumu wa ngozi yao na hayo manyoya.Ndo maana hakiwa anapambana na nyoka anakua anakwepesha sehemu zake laini zising'atwe.Yeye na mongoose wanatumia sana hiyo mbinu kumuua nyoka.Ila wakigongwa vizuri wanakufa kama kawaida
Mkuu Kuna Siku nililkuwa naangalia Dstv kipind Cha wanyama NAT GEo,

Black mamba alimgonga nyegere alizima kama dakika kumi hivi baada ya hapo kakainuka kakasepa Sasa katka maelezo wakaelezea swala hilo kuwa n mara chache sana sumu ya nyoka kumuua
 
Huyu ni Kiboko ya nyoka wote unaowajua hapa Duniani

Unaambiwa hata Koboko sijui Black mamba akimwona huyu nyegere ili kuepusha Maisha yake hukimbia mbali sana na hakuna sumu ya nyoka inayomdhuru
Niliona makala moja, alipambana na koboko, koboko alimng’ata kwa kichwa sumu ikamwingia ila cha ajabu alizimia kwa muda akazinduka. Koboko alikufa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom