Kwanini wanawake wanashambuliwa na mapepo zaidi kuliko wanaume?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,158
22,658
INTRODUCTON.

Jinsia zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo.

Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na mapepo na hayatoki, yalitoka yanarudi. Imekuwa kama mchezo sasa wa kuigiza.

MAPEPO.

Hizi ni ROHO chafu, Malaika wa Giza waasi, agents wa kuzimu wanaopenda kukaa ndani ya miili ya WANADAMU.

MWILI NI HEKALU.

Mungu na shetani Ili kuoperate katika Ulimwengu unaoonekana, mwili unahitajika Ili utumike kama madhabahu ya kupokea vitu,taarifa ,maelekezo Kutoka Ulimwengu usioonekana na kuleta Ulimwengu unaoonekana.

MWILI pia unatumika kama HEKALU Ili Mungu akae ndani au Shetani kupitia Pepo akae ndani ya mtu.

(1 Koritho 6:19-20)

Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni HEKALU la Roho mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?

(Romans 12:1-2).

Basi ndugu zangu nawasihi, Kwa huruma zake Mungu, Itoeni miili yenu iwe dhabibu, iliyo hai, TAKATIFU, ya kumpendeza Mungu ndiyo IBADA yenu yenye maana.

(2Korithians 6:14).

Msifungwe nira pamoja na wasioamini, Kwa jinsi isivyo sawasawa, Kwa maana, Pana urafiki Gani kati ya HAKI na uasi?

Tena Pana urafiki Gani kati ya Nuru na Giza?

Tena Pana ulinganifu Gani kati ya KRISTO na BERIALI?

Kwa kusoma vifungu vya BIBLIA hapo juu, Mungu anataka tuitoe miili yetu iwe takatifu na sadaka.

Wakati huo huo Shetani naye anaitaka miili hiyo hiyo ya WANADAMU iwe HEKALU lake, akae humo, na hapo ndipo vita inapoanza.

HOJA KUU: Kwanini wanawake wanashambuliwa zaidi na MAPEPO kuliko wanaume?

Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazowaweka wanawake katika risk kubwa kushambuliwa na kutekwa na MAPEPO Kwa kujua au Kwa kutojua.

1. USHIRIKINA.

Kutokana na sababu kuwa wanawake ndio walezi wa watoto na familia, hukutana na changamoto kama magonjwa ya watoto, mashambulizi Kutoka Kwa maadui wabaya, mambo ambayo hupelekea kutaka kupata ufumbuzi nje ya Mungu na kutumbukia katika mkondo wa kwenda Kwa Waganga.

2. KUCHANJA CHALE.

Wawapo katika matibabu ya asili, KUCHANJA CHALE Huwa ni Moja ya mbinu watumiazo Waganga kama matibabu,

Wanawake wengi Kwa kutojua madhara yake hukubali KUCHANJA CHALE.

Chale ni ANTENA, mtu aliyechanja chale, ni sawa na tembo aliyepigwa chip pale Serengeti, unaweza kumfuatilia popote alipo na kujua afanyacho.

Hivyo Kwa KUCHANJA chale, inaruhusu kufuatiliwa au kushambuliwa na mapepo na unajiweka katika mazingira ya kupoteza ulinzi wa Mungu wa asili tangu Kuzaliwa.

3. UVAAJI WA MAPAMBO MWILINI.

Upo utawala katika Ulimwengu wa Giza unaoshughulika na mapambo na Vito, nknk,

Utawala huo uko chini ya Malkia wa Baharini, Roho hiyo ya Yezebeli inatumika na wachawi nk nk kushambulia Hasa wanawake Ili wawe MAKAHABA, huwavamia na kuwafanya wawe addicted na mapambo na vitu vya kidunia, lengo kuu ni kuhakikisha mwanamke anakosea muda wa kufundisha maadili ya Mungu katika familia.

-UVAAJI WA WIGS, NYWELE BANDIA.

Nywele bandia ni Moja ya vitu vinavyofungua portals, vinafungua codes za kiulinzi ulizonazo na kuruhusu mlango kufunguka Kwa mapepo kuingia na kukufanya hekalu lao.

Uaona wanawake wengi Kila kukicha huvamiwa na mapepo, na hata yakifukuzwa, hurudi tena, sababu umeweka vitu vyao mwilini mwako.

-UVAAJI NGUO ZA KUBANA NA NUSU UCHI.

Tunasoma katika maandiko, Malaika wa Giza hutamani wanawake wa kibinadamu, hivyo uvaaji wa nguo za kikahaba, huvuta pia mapepo yaje kukuingia na kufanya makao ndani Yako Kwa kupenda au kuopenda, Kwa kujua au kutojua.

-KUWEKA KUCHA NDEFU BANDIA.
Asili ya kucha ndefu ni ufanane na Misukule, hivyo kuweka kucha ndefu ni kufungua mlango Ili uvamiwe na mapepo.

-UCHORAJI TATOOS NA HINA.

TATOOS zote na Hina zinafungua milango yote ya kiulinzi aliyoweka Mungu ya asili, hivyo kuruhusu mapepo kuingia na kukufanya hekalu lao, haijalishi unasali au la.

-UVAAJI WA SHANGA VIUNONI NA VIKUKU.

Hii pia ni njia mojawapo inayokaribisha mapepo kuwavamia wanawake wenye kuvaa mapambo hayo Kwa kujua au Kwa kutojua.

Ndomana matatizo mwilini hayawaishi, Kila kukicha utasikia vitu vinakutembea mwilini au miwasho nk nk.

-UVAAJI WA PETE NA HERENI.

Hereni na Pete ni Ishara ya kumilikiwa.

Mabinti wengi hawachumbiwi sababu wanatoboa masikio na kuvaa hereni na Pete ambazo Huwa ni Ishara ya kumilikiwa.

Na kumilikiwa huko Huwa Si katika Mungu, ni katika Ulimwengu wa Giza.

Kuvaa mapambo hayo, kunakaribisha mapepo yawavamie na kuwageuza viti na mahekalu Yao.

Walio wa Mungu hawaruhusiwi kuvaa Pete au hereni maana vinaondoa utakatifu na maana halisi ya kuitoa miili yetu kuwa dhabihu TAKATIFU ya kumpendeza Mungu.

- UPULIZIAJI MANUKATO.

Yapo manukato wapuliziayo wanawake yanayovuta mapepo kuingia na kuwageuza WANADAMU mahekalu na viti vyao.

Ukipuliza manukato hayo, hayaombi huhusa, ni sawa na kuacha mlango wazi, Kila kitu kitaingua.

Na mambo hayo, uanaondoa uwepo wa Mungu na UTAKATIFU.

-UVAAJI WA CHENI SHINGONI, BANGILI NK NK.

Cheni inayovaliwa kama mapambo, humaanisha Utumwa, tangu enzi na enzi watumwa walikuwa wakiwekewa alama na kufungwa minyororo,

Hivyo kuvaa vitu hivyo ni kuruhusu Pepo wabaya kuingia na kutawala.

SOLUTION.

1. Acha mara Moja kuvaa mapambo tajwa hapo juu Ili upunguze mashambulizi ya mapepo.

2. Pia epuka kwenda Kwa Waganga, maana kwenda huko ni kufungua mlango Ili mapepo yaje kufanya makao ndani ya MWILI wako.

3. OKOKA, mkabidhi Yesu maisha Yako, akupe Amani yake, Damu ya Yesu itakusafisha na utakuwa kiumbe kipya.

4. Kataa USHIRIKINA, achana na marafuki wabaya ambao hutafuta msaada wa WANADAMU Kutoka Mizimu nk nk.

Mapepo yatafukuzwa na ukiacha kuvaa mapambo, utaufunga mlango Ili kuzuia mashambulizi ya kipepo once and for all.

ANGALIZO: YESU ANARUDI SOON, NI MUDA SASA WA KUHUBIRI INJILI YA UTAKATIFU.

YESU ANALITAKA,ANALIKUSANYA KANISA LAKE ILI LINYAKULIWE.

Amen.
 
Hivi hujui kwa asili wanawake ni makao makuu ya shetani kiroho na kimwili
Wanawake ni Binti zetu,ni mama zetu, wake zetu, dada zetu nk nk.

Na Kwakuwa wanaume tumepewa uongozi na utawala juu ya mke,

Ni vizuri tuwaonyeshe njia, usiruhusu mawigi na mapambo niliyoyataja hapo juu Kwa mkeo na watoto wako Ili ujipunguzie matatizo huko mbeleni.
 
😅😅Nashangaa yaani makanisani ndio balaa na yanafikaje kanisani?

Yaani mtu hyo kila siku anaenda kanisani halafu apate mapepo na 90% ni wanwake mpaka nashangaa.

Nakumbuka shule haswa sekondari wanawake wanakuwa kawaida ila pakitokea tukio kama kuchapwa basi wanashikwa na hayo madude ila kwa kweli nahisi kuna jambo .
 
INTRODUCTON.

JINSIA zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo.

Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na mapepo na hayatoki, yalitoka yanarudi. Imekuwa kama mchezo sasa wa kuigiza.

MAPEPO.

Hizi ni ROHO chafu, Malaika wa Giza waasi, agents wa kuzimu wanaopenda kukaa ndani ya miili ya WANADAMU.

MWILI NI HEKALU.

Mungu na shetani Ili kuoperate katika Ulimwengu unaoonekana, mwili unahitajika Ili utumike kama madhabahu ya kupokea vitu,taarifa ,maelekezo Kutoka Ulimwengu usioonekana na kuleta Ulimwengu unaoonekana.

MWILI pia unatumika kama HEKALU Ili Mungu akae ndani au Shetani kupitia Pepo akae ndani ya mtu.

(1 Koritho 6:19-20)

Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni HEKALU la Roho mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?

(Romans 12:1-2).

Basi ndugu zangu nawasihi, Kwa huruma zake Mungu, Itoeni miili yenu iwe dhabibu, iliyo hai, TAKATIFU, ya kumpendeza Mungu ndiyo IBADA yenu yenye maana.

(2Korithians 6:14).

Msifungwe nira pamoja na wasioamini, Kwa jinsi isivyo sawasawa, Kwa maana, Pana urafiki Gani kati ya HAKI na uasi?

Tena Pana urafiki Gani kati ya Nuru na Giza?

Tena Pana ulinganifu Gani kati ya KRISTO na BERIALI?

Kwa kusoma vifungu vya BIBLIA hapo juu, Mungu anataka tuitoe miili yetu iwe takatifu na sadaka.

Wakati huo huo Shetani naye anaitaka miili hiyo hiyo ya WANADAMU iwe HEKALU lake, akae humo, na hapo ndipo vita inapoanza.

Kwanini wanawake wanashambuliwa zaidi na MAPEPO kuliko wanaume?

Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazowaweka wanawake katika risk kubwa kushambuliwa na kutekwa na MAPEPO Kwa kujua au Kwa kutojua.

1. USHIRIKINA.

Kutokana na sababu kuwa wanawake ndio walezi wa watoto na familia, hukutana na changamoto kama magonjwa ya watoto, mashambulizi Kutoka Kwa maadui wabaya, mambo ambayo hupelekea kutaka kupata ufumbuzi nje ya Mungu na kutumbukia katika mkondo wa kwenda Kwa Waganga.

2. KUCHANJA CHALE.

Wawapo katika matibabu ya asili, KUCHANJA CHALE Huwa ni Moja ya mbinu watumiazo Waganga kama matibabu,

Wanawake wengi Kwa kutojua madhara yake hukubali KUCHANJA CHALE.

Chale ni ANTENA, mtu aliyechanja chale, ni sawa na tembo aliyepigwa chip pale Serengeti, unaweza kumfuatilia popote alipo na kujua afanyacho.

Hivyo Kwa KUCHANJA chale, inaruhusu kufuatiliwa au kushambuliwa na mapepo na unajiweka katika mazingira ya kupoteza ulinzi wa Mungu wa asili tangu Kuzaliwa.

3. UVAAJI WA MAPAMBO MWILINI.

-UVAAJI WA WIGS, NYWELE BANDIA.

Nywele bandia ni Moja ya vitu vinavyofungua portals, vinafungua codes za kiulinzi ulizonazo na kuruhusu mlango kufunguka Kwa mapepo kuingia na kukufanya hekalu lao.

Uaona wanawake wengi Kila kukicha huvamiwa na mapepo, na hata yakifukuzwa, hurudi tena, sababu umeweka vitu vyao mwilini mwako.

-UVAAJI NGUO ZA KUBANA NA NUSU UCHI.

Tunasoma katika maandiko, Malaika wa Giza hutamani wanawake wa kibinadamu, hivyo uvaaji wa nguo za kikahaba, huvuta pia mapepo yaje kukuingia na kufanya makao ndani Yako Kwa kupenda au kuopenda, Kwa kujua au kutojua.

-KUWEKA KUCHA NDEFU BANDIA.
Asili ya kucha ndefu ni ufanane na Misukule, hivyo kuweka kucha ndefu ni kufungua mlango Ili uvamiwe na mapepo.

-UCHORAJI TATOOS NA HINA.

TATOOS zote na Hina zinafungua milango yote ya kiulinzi aliyoweka Mungu ya asili, hivyo kuruhusu mapepo kuingia na kukufanya hekalu lao, haijalishi unasali au la.

-UVAAJI WA SHANGA VIUNONI NA VIKUKU.

Hii pia ni njia mojawapo inayokaribisha mapepo kuwavamia wanawake wenye kuvaa mapambo hayo Kwa kujua au Kwa kutojua.

Ndomana matatizo mwilini hayawaishi, Kila kukicha utasikia vitu vinakutembea mwilini au miwasho nk nk.

-UVAAJI WA PETE NA HERENI.

Hereni na Pete ni Ishara ya kumilikiwa.

Mabinti wengi hawachumbiwi sababu wanatoboa masikio na kuvaa hereni na Pete ambazo Huwa ni Ishara ya kumilikiwa.

Na kumilikiwa huko Huwa Si katika Mungu, ni katika Ulimwengu wa Giza.

Kuvaa mapambo hayo, kunakaribisha mapepo yawavamie na kuwageuza viti na mahekalu Yao.

Walio wa Mungu hawaruhusiwi kuvaa Pete au hereni maana vinaondoa utakatifu na maana halisi ya kuitoa miili yetu kuwa dhabihu TAKATIFU ya kumpendeza Mungu.

- UPULIZIAJI MANUKATO.

Yapo manukato wapuliziayo wanawake yanayovuta mapepo kuingia na kuwageuza WANADAMU mahekalu na viti vyao.

Ukipuliza manukato hayo, hayaombi huhusa, ni sawa na kuacha mlango wazi, Kila kitu kitaingua.

Na mambo hayo, uanaondoa uwepo wa Mungu na UTAKATIFU.

SOLUTION.

1. Acha mara Moja kuvaa mapambo tajwa hapo juu Ili upunguze mashambulizi ya mapepo.

2. Pia epuka kwenda Kwa Waganga, maana kwenda huko ni kufungua mlango Ili mapepo yaje kufanya makao ndani ya MWILI wako.

3. OKOKA, mkabidhi Yesu maisha Yako, akupe Amani yake, Damu ya Yesu itakusafisha na utakuwa kiumbe kipya.

Mapepo yatafukuzwa na ukiacha kuvaa mapambo, utaufunga mlango Ili kuzuia mashambulizi ya kipepo once and for all.

ANGALIZO: YESU ANARUDI SOON, NI MUDA SASA WA KUHUBIRI INJILI YA UTAKATIFU.

YESU ANALITAKA,ANALIKUSANYA KANISA LAKE ILI LINYAKULIWE.

Amen.
sio jinsia zote ni jinsi zote,jinsia ni kitu kingine kabisa,kwa kiingereza jinsi ni sex na jinsia ni gender
 
Mambo ya uongouongo tu..
Ni Kweli,

Mbinguni Malaika hawatoboi masikio, hawavai BANGILI, hawavai mini skirt

Malaika hawatoboi pua, hawasuki Wala kuvaa mawigi,hawavai nguo za kubana,

Ni WATAKATIFU kuanzia miili Yao.

Mungu anataka utakatifu uanze na miili yetu, maana miili yetu ni HEKALU.

Amen
 
Hayo yatakuwa majinni ya Waarabu na Waislam.

Mapepo kama yaliyomwingia Yesu siku 40 yanawaingia wanaume tu?
 
Hayo yatakuwa majinni ya Waarabu na Waislam.

Mapepo kama yaliyomwingia Yesu siku 40 yanawaingia wanaume tu.
Hata Hina usichore bibie,

Ni machukizo, msituharibie watoto wetu wa kike.

Wanawake wa kiyahudi na waislamu wanavaa vizuri.

Waondoe tu mapambo mwilini.
 
Back
Top Bottom