kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni heri mama muuza mgahawa au ndizi barabarani anayepata faida ya sh.4000 kwa siku kuliko Binti malaya anayeishi kwa kutegemea kuhongwa

    Habari zenu! Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia. Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
  2. Admin wa Mashujaa FC yuko ni mbunifu kuliko Maadmin wa Social Media zote za michezo nchini, tumpe maua yake

    Tumewafikia wachimba dhahabu
  3. Shetani ni tajiri kuliko Mungu hapa duniani

    Luka 4:1-21 BHN Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa. Ndipo Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru...
  4. Prof. Janabi ndiye Mkurugenzi productive kuliko wakurugenzi wote

    Huyu Mzee anawajibika ipasavyo Kila akipata Fursa ya kuujulisha UMMA kiukweli anaitendea haki. Kazi/projects zilizopo na zijazo zinatia moyo sana kwa future ya taifa na mataifa jirani. Vp wakurugenzi wengine wangekuwa productive kama huyu Mzee naamini matatizo ya usafiri, mafuta, umeme...
  5. Umoja wa Mataifa wasema Mzozo wa DR Congo unapuuzwa kuliko migogoro yote duniani

    Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani. Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la...
  6. PreGE2025 Uchambuzi: Maandamano yanaibomoa CHADEMA kuliko kuijenga

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa kikifanya harakati mbalimbali zenye lengo la kuibua makosa mbalimbali yanayofanywa na chama tawala...
  7. Vita ya Gaza: Uchumi wa Israel wasinyaa kuliko ilivyotarajiwa

    Takwimu rasmi zinaonesha GDP ya Israel imeshuka kwa 19% robo ya mwisho ya mwaka 2023. GDP ya Israel iliathiriwa moja kwa moja na kuzuka kwa mgogoro huo Octoba 07 mwaka jana, ilisema ofisi ya takwimu. Wataalam wanasema takwimu hizo zilizotolewa jana na ofisi ya takwimu ya Israel ni mbaya zaidi...
  8. Mbunge Maimuna Pathan: Kwa Nini Serikali Isihakiki Wastaafu Wilayani Kuliko Ilivyo Sasa Kuhakikiwa Mikoani.

    Mbunge Maimuna Pathan: Kwa Nini Serikali Isihakiki Wastaafu Wilayani Kuliko Ilivyo Sasa Kuhakikiwa Mikoani. Serikali imesema Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) una mpango wa kuweka vifaa vya uhakiki vitakavyotumia alama za vidole kwenye ofisi za halmashauri ili kuhakikisha...
  9. Kiswahili kinagombewa na Wakenya kuliko Tanzania

    Yani inauma sana hawa wakenya wanajua kutembelea code za Tanzania kwenye fursa zilizopo hapa. Kumbuka Kenya asilimia kubwa imejaa kikabila kuongea na ndio maana lugha yao kubwa ni Kingereza ila suala la kujitangaza kiswahili kipo kwao wameshinda hili. Nimeshangaa fursa hii tumeshindwa kupeleka...
  10. Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

    Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana . Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
  11. Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

    GDP per capita PPP (growth domestic product per capita, purchasing power parity) 1.[emoji1223] South Sudan: $492 2.[emoji1060] Burundi: $936 3.[emoji1068] Central African Rep: $1,140 4.[emoji1078] D.R. Congo: $1,570 5.[emoji1174] Mozambique: $1,650 6.[emoji1156] Malawi: $1,710 7.[emoji1183]...
  12. Kati ya Fast and Furious zote ni zipi 3 kwako ni bora kuliko zote?

    Jamaa wamejitahidi kutupatia classics throughout the years: The Fast and the Furious (2001) 2 Fast 2 Furious (2003) The Fast and the Furious: Tokyo Drift (2006) Fast & Furious (2009) Fast Five (2011) Fast & Furious 6 (2013) Furious 7 (2015) The Fate of the Furious (2017)...
  13. Bandarini meli zinachukua muda mrefu kuliko kawaida

    Hili suala la Bandari tatizo tumeingiza sana siasa ndani yake lakini Meli inaweza fika Dar mapema ikacheleweshwa kupangiwa siku ya kushusha mzigo kiasi kwamba kufika inaweza chukua wiki 2 au 3 halafu ikasubiri tena wiki 3 hadi 4 kupangiwa kushusha mzigo. Tanzania jamani sijui ni nani katuloga...
  14. M

    Collabo ya Nandy na Kiba ni nzuri sana kuliko ya Mondi na mr blue

    Nimezisikiliza zote na kuangalia video zao hakika Nandy na Ali Kiba mmetoa nyimbo nzuri sana. Pamoja na Diamond kui promote sana Mapozi kwa kutumia media zake ili kuifunika Dah! Lakini wapi. Pia chemistry ya Kiba na Nandy ipo vema sana kwasababu wote ni wanamuziki wenye personality yenye...
  15. taarifa za wikipedia tanzania zipo nyuma kuliko za channeli za afrika youtube

    ukitaka kumficha mtanzania siri yako we andika kwenye kitambaa cha kupengea makamasi sio kitabu maana utakuwa umemtesa. kwanza wote poleni kwa msiba mkubwa kuondokewa na waziri wa zamani lowasa.ila nashangaa mpaka sasa wikipedia imebaki na wasifu wake tu ujabadilishwa. ukiingia chaneli za...
  16. B

    Bora Fisadi Aliyeleta Unafuu wa Maisha kwa Watu Kuliko Mwadilifu Ambaye Kila Siku Watu Wanalia Ugumu wa Maisha.

    Enzi hizo zinazodaiwa za ufisadi: -maisha yalikuwa rahisi -hakukuwa na mfumko wa bei -dola zilikuwepo za kutosha tena kwa bei inayojulikana -watu wengi walijenga -ajira zilikuwepo za kutosha -miundombinu mingi ilijengwa zikiwemo barabara tena kwa kiwango cha lami -shule nyingi za kata zilijengwa...
  17. M

    Picha: Handsome boy kuliko wote jamvin

    Mzuka wanajamvi! adriz Joannah Lamomy binti kiziwi EEX
  18. Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

    Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu! Simba ndiyo timu iliyochukua point nyingi za kubebwa kwenye ligi kuu kutoka kwa MAREFA kina Tatu Malogo, rejea mechi ya Prison, KMC...
  19. Bora sauti za mziki kuliko mahubiri ya dini

    Unapokua unatafuta utulivu ubaki wewe na akili yako au upunzike ulale, unaweza fanya hivyo kwenye mziki kuliko kwenye mahubiri ya dini. Sababu ni kua, mziki ni flow ambayo unaweza kui ignore lkn haya mahubiri yana interfere sana na mawazo yako. Kama hujakutana nayo huwezi kuelewa
  20. M

    Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

    Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1. Usalama wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…