kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    JamiiForums Tanzania Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  2. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali zetu za kulakula bila kujali wananchi kuliko vifaa vya zimamoto na uokoaji

    Serikali hizi zetu za kulakula bila kujali wananchi. Ukijiuliza ni kwanini wanasiasa tu machawa ndiyo wana nunuliwa magari ya milioni 300 na mia nne kwa kazi za kufuta wagombea wa vijiji wakati zimamoto hawana vifaa vya kuokoa watu na mali zao. Hakuna hata mtu mmoja anafukuzwa kazi. Kila kitu...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwanini China nchi ya kidikteta ina maendeleo makubwa kuliko Kenya na Zambia?

    Kwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia?
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara

    Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara
  6. kwisha

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuendelea kuishi na mwanamke wa namna hii ?

    Mimi ni kijana nimeoa Kwasasa Nina mwaka mmoja toka nioane na mke wangu na tumejaliwa kupata mtoto ana miezi miwili. Lakini pamoja na hayo Kuna kitu Nilikuwa nashindwa kuelewana na mke wangu Nilikuwa Niki sex naye naona reaction ya mwenzangu ni kama mtu ambaye hayuko pamoja na mimi ananipa...
  7. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kubwa,ishi mahali popote ulipokuwa ukifanyia kazi kuliko kwenda kuishi kwenu,utadharirika!

    Je Wajua ya Kuwa Bugger Kwa Kiswahili fasaha uitwa "SANGWEJI ?" Ndiyo,chukua hiyo kama ulikuwa haujui! Kumekuwa na tatizo la waastafu wengi kupata shida kurudi mikoani,wilaya kwao kuanza maisha upya pindi wanapostaafu! Tanzania yetu ni kubwa mno na hamna haja wastaafu kurudi mkoani kwenu...
  8. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Mwenye genge kama hili anaweza akawa na ana kipato kizuri kuliko watumishi wengi wa umma

    Napasua kwenye mshono!! Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini uvaaji wa mwanamke una maslahi kwa watu wengi na kelele nyingi sana kuliko wa mwanaume?

    Hawa wako kifua wazi kabisa lakini haijawa habari iabisa hata hapa Daslamu, ikitokea mwanamke maarufu ametokea hadharani na brazia nchi inaweza kusimama! Tuache double standards.
  10. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO wekeni mipaka au Bicon kwenye maeneo ya miradi mikubwa kuepuka kuwabomolea wananchi nyumba zao hapo baadae

    Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi. TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni kwamba maeneo ya mwisho wa mipaka yenu huleta mizozo mingi na wananchi. Hata kama mradi wa kujenga...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Bora kufa kimwili kuliko kufa kiroho

    Kufa unatembea ni kubaya Sana Bora kufa na kuzikwa Watawala wa sasa wanatembea wakati wamekufa kiroho CCM inatwala wakati imekufa kiroho Serikali ya awamu ya 6 imekufa kiroho Ila kimwili inatawala!.. Ndio maana ni ngumu Sana Sana kufanikiwa kwa sasa!!
  12. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums Tanzania Hospitali Binafsi wana Utu kuliko Hospitali za Serikali

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimeshuhudia mimi mwenyewe. Nilikuwa na mgonjwa aliyehitaji huduma ya dharura katika hospitali moja ya Wilaya ya Ilala. Tena tumemkimbiza usiku wa saa sita. Tulipofika tu akaanza kupimwa na kutokana na hali aliyokuwa nayo alihitaji kufanyiwa upasuaji usiku...
  13. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Wazungu ni wa hovyo kuliko sisi Waafrika

    Wazungu pamoja na kwamba tunaona ni wastarabu na ndio walituletea ustarabu lakini upande mwingine wa shilling mambo mengine wafanya kama hamnazo na jaribu kuainisha na wewe uandike zako. Mfano. 1.Mtu na mke wa ndoa kugoma kuzaa kisha wanataka ku enjoy lakini wana asili mtoto 2.Kuoa mke zaidi ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kunaibuka kizazi ambacho baadhi ya watu wamwekuwa wakishabikia upuuzi wa kwenye mitandao ya kijamii kuliko masuala ya muhimu

    Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu. Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanahitaji zaidi Akili kuliko Oxygen

    Watanzania wana ukosefu wa akili. Hili ni tatizo kubwa sana. Utaona wanawaza Simba na Yanga tu. Hawana jambo lingine la maana. Yanga kupoteza match ya jana imekuwa issue kubwa sana.mjadala kila sehemu. Kama ilivyokuwa kwa Simba. Utashangaa hawa watanzania hawajui Wabunge wao hawapo Bungeni. Na...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je wajua: Wanawake wa Vijijini wanathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi kuliko Wanawake wa Mijini?

    Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa. Ukame, mafuriko, na mabadiliko ya misimu vinaweza kupunguza upatikanaji wa maji na rutuba ya ardhi, jambo linalowaathiri...
  18. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukoloni na Umisionari umechangia kustaarabisha na kuiunganisha Afrika kuliko Waafrika wenyewe (sisi)

    Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe. Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta rasilimali na maeneo ya kutawala kote duniani. Walivuka bahari na kufika mabara mbalimbali, wakifanya...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
Back
Top Bottom