kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Toyota Land Cruiser V8 Amazon Ushuru umekua mkubwa kuliko bei ya gari

    Habari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya Gari
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa "Elimu ni bora kuliko Pesa " unajidhihirisha sana kiuongozi ndani ya CHADEMA na CCM .

    CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake . Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo . Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko Muwe na siku njema
  3. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwamba Peter Msigwa anataka tuamini yeye ni CCM kuliko wenye CCM yao?

    Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa. Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti? Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
  4. Malaika wa Waha

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

    Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa. Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate, Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Content Za Baba Levo Marekani ni Bora sana Kuliko Za Mwijaku hadi unahisi Baba Levo ndio Msomi ,

    Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake. Kwa upande...
  6. Wambandwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chokaa inafanya vizuri kupambana na fungus kuliko wallputy na white cement

    Nimetumia materia zote tajwa hapo juu ,linapokuja swala la ukuta kuvamiwa na fungus naona kama chokaa Ina afadhali , ila suala la ukuta kupendeza chokaa inashika nafasi ya mwisho unless upate fundi kweli , wewe umeonaje
  8. Ndusu jabasungu

    JamiiForums Tanzania Tutumie muda mwingi kumuombea Rais Samia kuliko kuimba mapambio

    Wakati wa utawala wa mzee JPM, watu wenye kujinasibu ni wazalendo, walitumia muda mwingi kumsifu, kumpa utukufu uliovuka UBINADAMU, kiasi kwamba akina Nape wakitabiri kuwa Edo angefia ikulu, ila JPM mpiga push up hafi 😭😭 that was blasphemy against the almighty God, 😭😭 conscious foolishness...
  9. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Al-Jazeera: Kwaashambulizi ya Makombaora ya Jana, Iran Imeua Wapalestina Zaidi Kuliko Wayahudi

    Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana.
  10. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi ni mtu ambaye ukimwambia aelezee ubora au faida za Nzi ni nyingi kuliko Nyuki anaweza shawishi watu wengi

    Ni moja katika ya ma profesa wachache wenye kujua kuzungumza na kujua kuchezea lugha ya Kiswahili. Huwa namsifu. Ni profesa ambaye unaweza ukampa kazi awaelezee watu faida za kufuga Nzi ni nyingi kuliko kufuga Nyuki. Na akaelezea kwa mbwembwe sana na wengi wakafurahia sana na kuanza kuangalia...
  11. Brex2

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wengi wanaonekana mafukara kuliko Wakristo?

    binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti, haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu unasema pale si chini ya milion 1, njoo huku kwa waislamu unakuta sheikh anachangisha sadaka kwenye...
  12. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Huwezi pata watendaji wazuri ikiwa utaongoza kwa umungu mtu!

    Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi. Mimi naamini tuna viongozi bora sana na wenye nia ya kujituma ila kwakuwa mkuu ndio mwenye mamlaka ya kila kitu kitachofuata utafanya...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Dini zinawagawa sana watu kuliko kuwaunganisha .

    Maoni binafsi Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja. The bible is there Quruan is there But only few people can use it positively. Watu wanatengana Wanabaguana Wanachukiana Dini zote zinafundisha UPENDO lakini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bora mahusiano yakulize huku una hela kuliko kulizwa na hela huna 😔

    BORA MAHUSIANO YAKULIZE HUKU UNA HELA KULIKO KULIZWA NA HELA HUNA 😔 Mahusiano ni eneo ambalo linazungumzwa sana ikiwa ni kiashiria kuwa wengi hujihusisha huko ila pia changamoto ni nyingi sana huko . Usipojidhibiti utajikuta muda mwingi unafikiri tu mahusiano kuliko mambo mengine na huo ndio...
  15. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Yanga imeifunga Azam mara nyingi ndani ya miaka 5 kuliko Simba kuifunga Azam

    Kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Mtanirekebisha wadau. Hii ni kabla ya matches ya jana. Otherwise pia draws ni nyingi sana. Ila Yanga imemchapa sana Azam tena kwa magoal lukuki.
  16. kesho kutwa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hii imekaaje? Anaenionganishia dili anauhitaji kuliko hata mimi! Cheki sms yake.

    "kaka vp ule mpango mbona kimya au nimuumganishie mwingine?" Hata maisha ya kuonganishiana michongo ya kazi inaharufu ya utapeli. Of course jamaa ni kweli mzee wa madili lakini the way anayo tuma sms inanistua kuona anataka kunivuna vya mfukoni mwangu. Je, umewahi kukumbana na kisanga cha...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usije ukajidanganya mchepuko ni bora kuliko mkewe. Thamani ya mke ni kubwa kuliko wewe

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi huoa Mwanamke anayempenda kwelikweli. Yàani ukiona Mwanaume amekuoa ujue huyo Mwanamke anampenda Sana. Kwa Mwanaume unaweza kugusa kîla kitu kwèñye Maisha yake, ukamuibia Pesa, sijui ukamtapeli mashamba au Ardhi akaumia na Wakati mwingine anaweza...
  18. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kuwaambia watu tunawakubali, kuliko kuwaiga na kufanya ushindani.

    Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu..... Tujifunze ku normalize kuwaambia watu kwamba wana tu inspire kwa matendo yao au style ya maisha yao, kuliko kujaribu kuwa kama wao na kuanzisha competition. Binadamu hatupo sawa, kila mtu ana uwezo wake na umahiri wake katika jambo fulani, lakini...
  19. ward41

    JamiiForums Tanzania DEMOCRAT WAMETENGENEZA AJIRA NYINGI KULIKO REPUBLICAN

    Kuanzia utawala wa George Bush Snr hadi utawala wa sasa, takwimu zinaonesha kwamba Democrat wametengeneza ajira nyingi kuliko Republican Utawala wa Bill Clinton ulitengeneza ajira 23 million, Biden akiwa nafasi ya pili. Donald Trump hizo takwimu hazimbebi. Democrat wana nafasi kubwa ya...
  20. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Kwanini estimated shipping fee ni kubwa kuliko item subtotal

    Hello wana Jf habari za wakati huu sikuyajana nimejaribu kupitia katika app ya alibaba na nikaanza kujaribu kuagiza kamzogo lakini changamoto niliyokutana nayo ilikuwa ni estimated shipping fee kuwa juu sana ilifikia 6000000 na item subtotal ikiwa ni 200000 kwa pieces 50 @4000/piece Naomba...
Back
Top Bottom