kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake hufa mapema kuliko wanamume

    Dunia kwasasa imepoteza wasomi na wanasayansi wengi wenye vipaji na akili za ziada kama mimi. Kiufupi kila sehemu nikiona pameandikwa wanamume hufa mapema kuliko wanawake huwa nashusha thamani elimu ya sasa,. Sasa wacha niingie kwenye mada yenyewe. Japo ni vigumu kidogo kunielewa ila...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kujichua, faida kiafya na kisaikolojia na mambo ya kuzingatia

    😊, kujichua (masturbation) kwa mwanaume kuna faida kadhaa kiafya na kisaikolojia, ingawa pia ina mambo ya kuzingatia. Faida zinazojulikana Kupunguza msongo wa mawazo (stress) – Wakati wa kufika kileleni mwili hutoa homoni kama dopamine na oxytocin ambazo huleta hisia za furaha na utulivu...
  3. JamiiForums Tanzania Rwanda yashika nafasi ya 38 duniani kwa kuanzisha biashara. Yaizidi Portugal, Belgium, Netherlands na nchi nyingi

    Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa. Tanzania imeshika nafasi ya 141 huku majirani Kenya wakiwa nafasi ya 56 na Uganda nafasi ya 116...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo...
  5. JamiiForums Tanzania Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

    Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Antiphas Mughwai Lissu True Definition ya Kufa Umesimama kuliko kufa umepiga Magoti

    Inaweza kuchukua miaka hata Mia Tanzania tusipate Mtu kama Tundu Lissu. Huyu jamaa true definition ya kusimamia unachokiamini. True Definition kwamba wa jukuu wa Mkwawa bado wapo Tanzania.
  7. JamiiForums Tanzania Bora Tonetone ya Hiari kuliko Harambee ya Mabwenyenye na Walanguzi

    Habari wanajamvi Kampeni/matamasha yanaendelea watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi SAMIA alisema " SISI SIYO WALE WA TONETONE" Bila shaka raisi ameelewa maana ya tonetone ama hajaelewa...
  8. JamiiForums Tanzania Binadamu akifariki hupendwa sana kuliko nyakati za uhai wake

    Nimefatilia binadamu wengi wabaya tena waliokuwa wakichukiwa sana huanza kupendwa na kuonekana wema pale tu wanapofariki sijui hii inatokana na nini? Kuna wakati nachukiwa na watu mpaka natamani nife ili nianze kupendwa,. Je kwanini binadamu tumekuwa tukipenda sana marehemu na kuwaona wema...
  9. JamiiForums Tanzania Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kamwaga hakwenda Ubalozi wa Marekani kujiridhisha kama kweli Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko USA?

    CCM imezalisha vijana wa hovyo sana Sifahamu kama vijana wengi wa CCM wanalogwa ama vipi Kama suala ni Polepole kasema Uwongo, je hili la Tanzania kuipiku uchumi Marekani ni la kweli?
  11. M

    JamiiForums Tanzania kwenu waraibu wa punyeto, acheni kuvuta hisia kwa kuangalia porn ni bora ujiwaze wewe ni muhusika kuliko mwanaume mwengine

    Heri nusu shari kuliko shari kamili Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k.. wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
  12. JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii ni ya Betty Kaunda, mke wa Rais wa kwanza wa Zambia

    Wakuu ==== 'Picha imepigwa 1995 pale Zambia Mama Betty Kaunda alijua kupendeza kuliko uyo kibungo Wako' mwenye ukweli wa hizi taarifa naomba msaada.
  13. JamiiForums Tanzania MUHOOZI: KAGAME NA MUSEVENI NI MATAJIRI KULIKO ELONI MUSK HUYO ELON WENU NI MASIKINI KWA HAWA WAWILI

    Uzi tayari
  14. P

    JamiiForums Tanzania Polepole na uzalendo mpya! Ana uchungu na katiba ya CCM kuliko ya nchi?

    NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI. Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake. Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri nyingine tofauti , Polepole amekuwepo nyakati zote Katiba ya nchi ikivunjwa tena Kwa ushabiki mkubwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya kuwa kuna waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara kibao ni kitu watu huwa hawataki kukubali ila ukweli hauwezi kubadilika.

    watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa, Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya. kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
  16. JamiiForums Tanzania Kasema Robo tu! Asee, sema yote - umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi

    Kasema Robo tu ! Asee sema yote umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi Sema pale Morogoro na Ruhangwa (Ruangwa) gari lililopaki kabla na kuweka counting machine ili moshi uanze. Kwanini unakwepa kulisemea? Britanicca
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 Rais Samia alifanya mikutano mingi kuliko Magufuli

    Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka.
  18. JamiiForums Tanzania Sebene bora kuliko yote ni hili kutoka kwa Werrason

    Werrason ndiyo Bingwa wa Masebene Africa na Dunia. Kwenye Sebene alizopiga hili ndiyo funga kazi, koffi na wenzake wanasubiri sana.
  19. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia: Mtu mkimya ana Nguvu kuliko mtu mwenye kelele

    Copy hii code kisha ishi nayo.
  20. R

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mbona picha ya kwanza hakuna friendly/ cordial environment kati yao? Ya pili/tatu zipo more friendly/cordial kuliko ya kwanza

    Leo nimefika Ikulu ya Chamwino kuwasilisha majumuisho ya wadau mbalimbali, ambapo tulipata nafasi adhimu ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwasikisha kwa Mukhtasari kuhusu masuala makuu ya kitaifa yanayohusu: 1. Utawala Bora na Demokrasia – tukisisitiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…