Ukitaka kula, sharti uliwe.....
Nimemkumbuka JK, uongozi wake ulikuwa na kashfa za kifisadi ila uliweza kutengeneza fedha, sehemu za fedha zilifisadiwa sana, ila nchi bado ilikuwa na fedha za kuendesha uchumi, kulipa mishahara na kuiongeza, mikopo kwa wahitimu wa sekondari hata walipogoma...