kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. U

    JamiiForums Tanzania Leo asubuhi nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa badala ya chai naomba ushauri wenu

    Wadau hamjamboni nyote? Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa. Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala Asubuhi njema kwenu nyote
  2. JamiiForums Tanzania Ikiwa ingekubidi ule vyakula vichache pekee maisha yako yote nini ungekula na kwanini ?

    Tufanye umeambiwa uchague vyakula fulani bora ila vichache na itakubidi ndo uvile maisha yako yote usibadilishe aina nyingine me nadhani ambavyo ningeweza kufikiria vingekuwa ni. 1.parachichi Kwa sababu ya afya ya moyo. 2.kabeji au tembere maana ina vitamini k,na itazuia saratani. 3.samaki...
  3. JamiiForums Tanzania Kula Chuma Hichoooooo!

    Tuskilize Muziki Mzuri. https://youtu.be/SwY1pFzE8gU?si=aNUig-Pu7mkWV5re
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

    Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato? Embu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo...
  5. JamiiForums Tanzania Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc. Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari umejiunganisha naye chochote atakachotamka dhidi yako kitakupata, akikulaani, laana hiyo itakupata, hujaolewa/...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

    Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma. Tujisahihishe. Bado hatujachelewa Pia soma: Rais Samia...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kula pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu

    Habari JamiiCheck, Mimi ni mjamzito, nimekuwa nasikia kuwa ulaji wa pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu. Nisaidieni kuhakiki hii maana napenda sana kula pilipili lakini naogopa mwanangu kuzaliwa na macho mekundu.
  8. JamiiForums Tanzania Jaribu kula hii Olympic breakfast ya maana kweli kweli .

    Inakuwa na mchanganyiko wa Soseji Mayai mawili ya kukaanga Uyoga Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi Maharage yasiyokaangwa steak ndogo ya kipande cha nyama sio mbaya sana Mkate pia ukiweka slace mbili sio kesi.
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

    Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi...... Jamaa anakula maisha tu, kayapatia... ====================== Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an...
  10. JamiiForums Tanzania Nyama ngumu kama manati haipendezi, jitahidi mpishi ukipika nyama yoyote ile iwe laini

    Wapishi wa nyama katika migahawa, Bar, hotel, sherehe na hata majumbani hakikisheni nyama zinaiva vizuri na kuwa laini kabisa. Iwe nyama ya kuchemsha, kuchoma au kukaanga nyama inatakiwa iwe laini kabisa uweze kuichambua au kuitoa kwenye mfupa au kuitenganisha kwa kijiko, uma au mkono mmoja tu...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kula nanasi kunafanya uke unukie vizuri

    Wakuu mko salama? Nimekuwa nikisia stori nyingi kuhusu nanasi, kuwa ukila unafanya uke kuwa na harufu nzuri, wengine wanasema unaongeza "ladha", yaani ute/maji maji yanakuwa na utamu kama vile umechanganywa na sukari hivi? Kuna ukweli kwenye hili wataalam wa JamiiCheck?
  12. JamiiForums Tanzania Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

    Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
  13. JamiiForums Tanzania Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Watu wenye Damu kundi B hawatakiwi kula kuku

    Nimesoma habari huko mtandaoni nimepata mtatiziko kidogo baada ya mwandishi kuandika watu wenye group B msile kuku, na wakati mimi kuku ndio moja ya kitoweo changu pendwa sana. Msaada hapo wa kuhakiki taarifa hii iwapo ni kweli kuku si salama kwa wenye damu group B
  15. JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video...
  16. JamiiForums Tanzania Tutaje Mambo madogomadogo kuyafanya ila yanaongeza hamu ya kula.

    Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula. 1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ole wako ukamatwe: Zanzibar kulaani ilikuwa ni zuga tu, kwenu wakristo leo ni pasaka ila muwe makini mkiwa nje, Hizi ndio sehem pekee salama kula

    Mkae chonjo, msije mkabweteka kwa tamko la jana mkajiachia huru mkanasa kwenye mtego kwa siku ya leo ya Pasaka, mkumbuke tamko limelaani tu wala halijaweka wazi sehem yoyote kwamba kuna hatua zozote zimechukuliwa kusitisha vipigo na kukamata wanaokula hadharani. Vichakani, kula kwa machale uwe...
  18. JamiiForums Tanzania Pasaka yangu nataka kula na wahitaji

    kama kuna events yoyote imekua organized kwa siku ya kesho kile kidogo nilicho jaliwa nataka kusherekea na wahitaji, kindly may i be recommended with any orphanage center, or any events zinazohusisha wahitaji kindly pm me ill much appreciate it. location Dar es Salaam. Thanks in advance
  19. JamiiForums Tanzania Yaani umefunga halafu unaenda kutafuta wanaopika na kula? Inawezekana Mungu huwa anacheka sana akiangalia haya maigizo

    Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula? Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula? Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

    Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani. Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakamani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…