Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,882 Reaction score 4,596 Sep 3, 2025 #1 Wakuu, kwa wale mliwahi kuomba "Vacancy transfer" Mshawahi kukutana na huu Ujumbe kama Mimi..? Hawa watu waliotengeneza huu mfumo ni mashujaa sana 😂
Wakuu, kwa wale mliwahi kuomba "Vacancy transfer" Mshawahi kukutana na huu Ujumbe kama Mimi..? Hawa watu waliotengeneza huu mfumo ni mashujaa sana 😂
STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,402 Reaction score 6,987 Sep 4, 2025 #2 Una miaka mingapi kwenye taasisi uliyopo..?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,676 Reaction score 193,650 Sep 4, 2025 #3 Kawaida sana... Cc: Mahondaw
Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,882 Reaction score 4,596 Sep 4, 2025 Thread starter #4 Uroto Mwekundu said: Una miaka mingapi kwenye taasisi uliyopo..? Click to expand... Naelekea kufunga mwaka wa tatu
Uroto Mwekundu said: Una miaka mingapi kwenye taasisi uliyopo..? Click to expand... Naelekea kufunga mwaka wa tatu
Irenga JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 3,239 Reaction score 2,473 Sep 4, 2025 #5 Pole , ndio umekwama hivyo. Jitahidi upige miaka zao mitatu kisha usepe!
STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,402 Reaction score 6,987 Sep 5, 2025 #6 Zekoddo said: Naelekea kufunga mwaka wa tatu Click to expand... Ok.. hapo sasa subiri tu tarehe yako ya kuajiriwa ili ufunge hiyo miaka mitatu.. Ikifika hiyo tarehe mfumo utakuruhusu automatic kuendelea na process
Zekoddo said: Naelekea kufunga mwaka wa tatu Click to expand... Ok.. hapo sasa subiri tu tarehe yako ya kuajiriwa ili ufunge hiyo miaka mitatu.. Ikifika hiyo tarehe mfumo utakuruhusu automatic kuendelea na process
Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,882 Reaction score 4,596 Sep 5, 2025 Thread starter #7 Irenga said: Pole , ndio umekwama hivyo. Jitahidi upige miaka zao mitatu kisha usepe! Click to expand... Kweli Mkuu
Irenga said: Pole , ndio umekwama hivyo. Jitahidi upige miaka zao mitatu kisha usepe! Click to expand... Kweli Mkuu
Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,882 Reaction score 4,596 Sep 5, 2025 Thread starter #8 Uroto Mwekundu said: Ok.. hapo sasa subiri tu tarehe yako ya kuajiriwa ili ufunge hiyo miaka mitatu.. Ikifika hiyo tarehe mfumo utakuruhusu automatic kuendelea na process Click to expand... Yaaaah
Uroto Mwekundu said: Ok.. hapo sasa subiri tu tarehe yako ya kuajiriwa ili ufunge hiyo miaka mitatu.. Ikifika hiyo tarehe mfumo utakuruhusu automatic kuendelea na process Click to expand... Yaaaah
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,701 Reaction score 1,251,259 Sep 13, 2025 #9 Pitisha miaka mitatu kwanza
M MTAMBUCA JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 32,691 Reaction score 48,792 Sep 13, 2025 #10 Numbisa said: Pitisha miaka mitatu kwanza Click to expand... ILi iweje
Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,882 Reaction score 4,596 Sep 13, 2025 Thread starter #11 Numbisa said: Pitisha miaka mitatu kwanza Click to expand... Kwanini Kiongozi..?