Hatua ya robo fainali ya Uefa Champions League kuanza kuchezwa tarehe 7 na 8 mwezi wa 4 kwa hatua ya kwanza na mechi za marudiano zitachezwa tarehe 14 na 15 mwezi wa 4.
Hivi ndivyo mechi zitakavyokuwa, je nani atatoboa kuingia nusu fainali
Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi.
Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio...
Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?.
NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
Kuna Ile umemtembelea mgonjwa halafu baada ya muda kidogo anakwambia nifatie maji ya kunywa
Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena
Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia
Na je ulichukua hatua gani
Mara nyingi huwa nakutana na taarifa binafsi za watu zikitumika kama vifungashio zikiwa na majina, vitambulisho vya NIDA na leseni. Mara nyingine ni makaratasi ya matokeo ya mitihani au barua za maombi ya kazi zenye sura za watu. Hivi tume ya Ulinzi wa taarifa binafsi iko wapi kusimamia hili...
It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa?
Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
Nasoma Comment!
Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa.
Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
Wakuu,
Mpoto huyu alikuwa wa moto bwana, inspiration kwa wengi, hata ambao tunapenda kuandika tulikuwa tunapata madini ya kuongeza nondo kwenye articles, mashari, na analysis mbalimbali
Mpoto huyu alikemea rushwa na wale wote wanaotafuna kodi za wananchi kwa nguvu zote. Alionyesha wazi...
Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku.
Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani.
Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin watakutana Alaska Ijumaa ijayo kujadili mustakabali wa vita vya Ukraine.
Trump alitangaza mkutano wa Agosti 15 kwenye mitandao ya kijamii na baadaye ikathibitishwa na msemaji wa Kremlin, ambaye alisema eneo hilo lilikuwa "lina mantiki...
Naibu balozi wa urusi katika umoja wa mataifa Dmitry Polyanskiy amesema Rais wa Urusi Vladimir Putin huenda akakutana na Rais wa Marekani Donald Trump
Hatua hiyo inaleta matumaini makubwa katika kumaliza mgogoro unaendelea kati ya Urusi na Ukraine, licha ya kutokuwepo kwa taarifa rasmi za...
Polepole amesema kuwa amekutana na mshauri mmoja ambaye anampenda sana Rais Samia, na kwamba wakati wote wa majadiliano yake, yeye Polepole alipotaka kuzielekeza lawama zake kwa Samia, huyo mshauri alikataa kabisa na kusema kuwa Rais Samia ni mtu mzuri sana ila kuna watu waovu ndio...
Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management?
Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani?
Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi?
Alafu wahuni kama hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.