kuku

  1. JamiiForums Tanzania Kuku wangu wamepatwa na nini?

    Nimewaacha kuku wangu wakiwa vizuri kabisa ile nimetoka kidogo nimekuta wamekufa wote sasa itakuwa nini wakuu??
  2. JamiiForums Tanzania KERO DSTV ni Mr. Kuku wa kikaburu

    Siwashangai Ghana kuwapa miezi miwili hawa peremende kushusha bei ya vifurushi vyao au waondoke nchini humo. Hawa jamaa ni pure trash🚮🚮 Wanachouza ni ile status ila kiukweli hizi contents zao hazistahili hizi bei
  3. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuku nisio uelewa

    Mwenye kujua huu ugonjwa wa kuku kifaranga kuvimba miguu anisaidie kujua aina ya ugonjwa na dawa yake.
  4. JamiiForums Tanzania Bila kadi na namba ya NIDA huwezi kuuza wala kununua katika serikali ya CCM

    Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake. Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Kuku Wako Wanakula Mayai na kudonoana? Hii Njia Rahisi Inazuia Hasara Kubwa (De-beaking)

    De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers) De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku. Kwa nini hufanywa? ✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja na kula mayai. ✔ Kupunguza kudonoana (cannibalism) - kuku hushambulia wenzao wakipata msongamano...
  6. JamiiForums Tanzania Wewe unayehonga, mara ya mwisho kula kuku mzima aliyechomwa ilikuwa lini?

    Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada. Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wataalaamu wa ufugaji, Banda hili linaweza kuleta tija kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara?

    Kwa kuanza na kuku kumi wa kienyeji Banda hili linaweza kuleta tija kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji?
  8. JamiiForums Tanzania kuku anayeuzwa Tsh 700,000 bei kubwa kuliko ng'ombe

    kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe angalia kuku anayeuzwa bei kubwa
  9. JamiiForums Tanzania Kuku wa Polepole alikula 'punje' nne za ubalozi. Sasa anatapa tapa

    Wengi hawajui ugomvi wa Polepole na Samia unatoka wapi! Ni hivi. Ili Polepole aachie ubunge, alipewa ubalozi kwa kipindi sawa na cha ubunge, ambapo ubalozi wake ungekoma, mara baada ya bunge kuvunjwa. Kwa hiyo Polepole kujiuzulu ilikuwa ni kulia timing asije akakaa hadi astaafishwe, Jambo...
  10. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kukuChukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya ku

    Wafugaji wa kuku Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako. ✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku Mdharau asili hufa masikini
  11. JamiiForums Tanzania Unafuga kuku? Basi hii ni kwa ajili yako!

    Badilisha kutoka kwenye daftari na kalamu sasa unaweza: ✅ Kurekodi gharama zote za mradi ✅ Kupata ratiba ya kulisha kuku kulingana na umri na idadi ✅ Kukumbushwa siku za chanjo Usibaki nyuma kwenye teknolojia. Pakua Fuga App sasa kwenye Playstore na uanze kufuga Kijanja Zaidi!!!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku

    Natafta kuku kienyeji mwenye kuwa nao tuongee
  13. JamiiForums Tanzania Nasikitika kuona Mr Kuku akienda kuwatapeli baadhi ya watanzania wenzetu kwa mara nyingine.

    Baada ya kuwatapeli watu zaidi ya mara tatu kupitia mradi wa kuku, Kijana Tariq kaja kivingine kupitia mradi anaoita mbuzi pesa. Utaratibu wake ni uleule wa kuchangisha watu pesa. Ikumbukwe mara baada kuachiwa kupitia plea bargain mara baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchezesha upatu, Mr Kuku...
  14. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku chukua majumba ya konokono yaunguze kisha uyasage upate unga

    Wafugaji wa kuku Chukua majumba ya konokono yaunguze kisha uyasage upate unga. Tumia huo unga kuchanganya na chakula cha kuku wako—ni msaada wa kuongeza calcium kwa kuku. Ni nzuri sana! Mdharau asili hufa masikini
  15. JamiiForums Tanzania Ili kuku wa mayai watage vizuri wanatakiwa wapewe dawa gani na dawa zipi haziwafai nipo najifunza wakuu

    Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai. Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta na mwisho kuwafanya kuku wasitage Nakaribisha Elimu zenu tujifunze
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kuku wanaouzwa kwenye Five star Hotels duniani kote sisi tunadai zina Sumu

    Sisi makabwela tutachelewa sana kutoboa maishani. Tuna jeuri zisizo na msingi wowote. Ni watu wa kupandikiza Hofu kwenye maisha. Hofu zisizo halisi Kumezuka vijitabia vya sisi makabwela ambao hata mlo miwili tu kwa siku tunaipata kwa taabu tunasema eti Kuku wa Kisasa wana sumu. Kuku hao hao...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu kuku atakuwa na shida gani??

    nimemfanyia physicl assessment nimepata ivi Kazubaaa Hali chakula Anasingiasingia Anajitenga na kuku wengi Manyonya kuvurugika Mabawa yake yanalegea Msaada wa kitaalamu kuhusu tiba yake hasa tiba asilia mnipe muongozo wakuu
  19. JamiiForums Tanzania Kuku ghali zaidi duniani

    1. Ayam cemani 2. Sultan 3. Phoenix 4. Yokohama 5. Polish crested 6. Sebright 7. Frizzle
  20. JamiiForums Tanzania Je kuku wamegoma kutaga? Yai la kienyeji 900/=

    Hii bei inatisha, na ukifuga kuku wa kienyeji hawatagi kabisa siku hizi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…