Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini?
Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada.
Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
Wengi hawajui ugomvi wa Polepole na Samia unatoka wapi!
Ni hivi. Ili Polepole aachie ubunge, alipewa ubalozi kwa kipindi sawa na cha ubunge, ambapo ubalozi wake ungekoma, mara baada ya bunge kuvunjwa.
Kwa hiyo Polepole kujiuzulu ilikuwa ni kulia timing asije akakaa hadi astaafishwe, Jambo...
Wafugaji wa kuku
Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.
✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku
Mdharau asili hufa masikini
Badilisha kutoka kwenye daftari na kalamu sasa unaweza:
✅ Kurekodi gharama zote za mradi
✅ Kupata ratiba ya kulisha kuku kulingana na umri na idadi
✅ Kukumbushwa siku za chanjo
Usibaki nyuma kwenye teknolojia. Pakua Fuga App sasa kwenye Playstore na uanze kufuga Kijanja Zaidi!!!
Baada ya kuwatapeli watu zaidi ya mara tatu kupitia mradi wa kuku, Kijana Tariq kaja kivingine kupitia mradi anaoita mbuzi pesa. Utaratibu wake ni uleule wa kuchangisha watu pesa. Ikumbukwe mara baada kuachiwa kupitia plea bargain mara baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchezesha upatu, Mr Kuku...
Wafugaji wa kuku
Chukua majumba ya konokono yaunguze kisha uyasage upate unga.
Tumia huo unga kuchanganya na chakula cha kuku wako—ni msaada wa kuongeza calcium kwa kuku. Ni nzuri sana!
Mdharau asili hufa masikini
Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai.
Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta na mwisho kuwafanya kuku wasitage
Nakaribisha Elimu zenu tujifunze
Sisi makabwela tutachelewa sana kutoboa maishani. Tuna jeuri zisizo na msingi wowote. Ni watu wa kupandikiza Hofu kwenye maisha. Hofu zisizo halisi
Kumezuka vijitabia vya sisi makabwela ambao hata mlo miwili tu kwa siku tunaipata kwa taabu tunasema eti Kuku wa Kisasa wana sumu. Kuku hao hao...
Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha.
Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
nimemfanyia physicl assessment nimepata ivi
Kazubaaa
Hali chakula
Anasingiasingia
Anajitenga na kuku wengi
Manyonya kuvurugika
Mabawa yake yanalegea
Msaada wa kitaalamu kuhusu tiba yake hasa tiba asilia mnipe muongozo wakuu
Sasa unaweza kujua chakula cha kuku kitakutosha kwa muda gani bila kubahatisha.
Feed Tracker hukusaidia kufuatilia matumizi ya chakula kila siku kulingana na idadi na aina ya kuku.
✅ Hakuna tena kukosa chakula ghafla
✅ Panga ununuzi mapema
✅ Punguza upotevu na gharama
✅ Kuku wako wawe na afya...
Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa!
Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ]
Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
Ya Mungu Mengi, ya Kuku Mayai
Utangulizi
Methali ya Kiswahili isemayo "Ya Mungu mengi, ya kuku mayai" ni methali yenye maana pana na yenye mafundisho tele. Methali hii hutufundisha kwamba Mungu ndiye chanzo cha baraka nyingi na kubwa, wakati viumbe kama kuku wana uwezo mdogo wa kutoa vitu vya...
Kitu kimoja kidogo cha kuondoa kwenye kichwa chako.
Kama umewahi kufuga kuku unajua jinsi ilivyo rahisi kusahau chanjo inayofuata ni lini… na chanjo gani hasa.
Maisha yamekuwa ya haraka sana, na wafugaji wana mambo mengi ya kushughulikia kila siku. Kusahau chanjo ni jambo la kawaida lakini lina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.