nimemfanyia physicl assessment nimepata ivi
Kazubaaa
Hali chakula
Anasingiasingia
Anajitenga na kuku wengi
Manyonya kuvurugika
Mabawa yake yanalegea
Msaada wa kitaalamu kuhusu tiba yake hasa tiba asilia mnipe muongozo wakuu
Huyo kuku anaumwa,kwa huduma ya haraka na nafuu mtengenezee antibaiotik ya kienyeji,chukua kitunguu swaumu na tangawizi pondaponda na maji kiasi alafu mpatie dozi kama visoda viwili kila baada ya masaa sita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.