Wakuu kwemaa..Poleni na Majukum.
Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu.
Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china.
Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku?
Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇
1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha
Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za:
🔹 Chakula
🔹 Dawa
🔹 Vifaa
🔹 Huduma
Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
Kwanini ulevi wa aina yoyote ile umetajwa kuw ni haramu ni kwa vile unasababisha majanga makubwa kwa watu waiso na hatia.Mtume saw kasema ulevi na mama wa maasi.
Watu 12 huko Ecuador wamepigwa risasi na kufa wakati wakishuhudia vita vya kuku.
Seriakali ya nchi hiyo imeshawakamata watuhumiwa...
Katika kuelekea kwenye sherehe za Mei Mosi, Kitaifa mkoani Singida, pamoja na mambo mengine wiki moja kabla ya maadhimisho, mkoa umewahakikishia wageni zaidi ya 6000 kutoka ndani na nje ya nchi pamoja na wakazi wa Singida, kutakuwepo kiburudisho cha kuku choma wa kienyeji zaidi ya tani moja na...
Hii ni fursa halisi kwa wale wanapenda ufugaji na kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa, hata kama wanaishi mijini au wana eneo dogo.
Kuku wa mayai mwenye lishe bora anaweza kutaga kila siku au karibu kila siku. Kwa bei ya sasa ya yai (300–400 TZS), unaweza kupata kipato kizuri, cha kila...
Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler
Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua
Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
🎥 Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi ya bidhaa bora za lishe kwa kuku.
Mradi huu ulianza miaka michache iliyopita kwa idadi ndogo ya...
Wakuu nimetota sehemu. Hivyo sote kwa pamoja tujifunze. Karibuni.
Uzalishaji wa mayai ni sekta muhimu duniani kote, na kuku wa mayai wana nafasi ya msingi katika sekta hii. Kuna aina kadhaa za kuku wa mayai, kila moja ikiwa na sifa za kipekee. Katika makala hii, tutaangazia baadhi ya aina...
Mwaka Jana mwezi wa kumi nilinunua kuku wa kienyeji ili niwafuge kwenye nyumba yangu ambayo haijaisha vizuri huko Boko, Chasimba.
Nilikuwa na kuku saba broiler na wawili wa kienyeji, dume na jike.
dume a.k.a jogoo alikuwa mwekundu, na Yule jike alikuwa mweupe mwenye mabaka mekundu.
Broiler...
Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
Mtaani Kuna vituko sana sijui niseme ni uchu wa nyama ama ni sahihi.stori ipo hivi Kuna jamaa mfugaji mwenzangu yeye kuku wake alitumbukia kwenye shimo la choo Tena ni jogoo na alitumbukia akiwa mdogo basi ame survive kule ndani karibia miezi sita MPAka akaanza kuwika ndipo yule mwenye kuku...
Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa.
Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea.
Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
1.Kuku wa nyama (broilers) ni GMO🧬 au wamechomwa homoni!💉:
Wengi wanadhani kuku wa nyama (Broiler) wametengenezwa maabara au wanachomwa hormone zinazowafanya waongezeke uzito ndani ya muda mfupi lakini SI KWELI ! Ukuaji wao wa haraka unatokana na uchaguzi wa vizazi bora (selective breeding) kwa...
Wakuu hakuna kipengele kwenye Gpt asee labda uje nacho mwenyewe Jana nimechat nae Kwa kina sana na akanipa mwongozo tukuka(GENTAMYCINE voice) Nilielewa asee Sasa mwezi ujao naanzisha kahama mahali Fulani nimeona patanifaa kabisaa..
Shuka nayo hapa......
Kuku wanahitaji takriban saa 14–16 za mwanga kila siku ili kudumisha uzalishaji bora wa mayai. Ikiwa mwanga ni hafifu au haupatikani kwa muda mrefu, uzalishaji wa mayai unaweza kushuka kwa kasi.
Hii ndiyo sababu wafugaji wa kisasa hutumia taa maalum za LED kudhibiti mwangaza, na hivyo...
Habari yakO Mfugaji na mdau.
Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija hapa utaambiwa ukweli kuhusu hii industry, kuanzia mabaya yake, uzuri wake na faida zake kiuchumi na...
Mike the Headless Chicken (Aprili 20, 1945 - Machi 17, 1947) [1] alikuwa kuku wa kiume wa Wyandotte ambaye aliishi kwa miezi 18 baada ya kukatwa kichwa, alinusurika kwa sababu sehemu kubwa ya shina lake la ubongo lilibakia sawa na hakuvuja damu hadi kufa kutokana na kuganda kwa damu. Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.