kuku

  1. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania NANUNUA KUKU WA KIENYEJI

    📢 TANGAZO LA UNUNUZI WA KUKU WA KIENYEJI 🐔 Ninatafuta kuku 30 wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya haraka. 💰 Bei: Tsh 11,000 kwa kila kuku 📍 Eneo: Dar es Salaam ⏱️ Nahitaji haraka iwezekanavyo! Ikiwa unauza kuku wa kienyeji au unamjua anayewauza, tafadhali wasiliana nami mara moja! 📞...
  2. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania 🚨Fuga App sasa ipo live playstore !! Usiikose wewe mfugaji wa kuku

    Baada ya muda wa kuzungumza na wafugaji, kusikiliza changamoto zao na kujifunza kutoka kwao hatimaye Fuga App ipo hewani kwenye Play Store! 🐔📱 Tunashukuru kwa moyo mmoja kwa usaidizi wenu kwa wafugaji wote mliochangia maoni, timu yetu kwa juhudi kubwa, na kila mmoja aliyeamini kuwa jambo hili...
  3. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfugaji wa kuku app hii itakusaidia kusimamia shamba kiurahisi mno

    Kabla hatujaanza kutengeneza Fuga, tulizungumza sana na wateja wetu, tukijitahidi kuelewa changamoto zao na kujibu maswali ya kila siku wanayokutana nayo katika shughuli zao za ufugaji wa kuku. Moja ya maswali yaliyoulizwa sana na ambalo tunafurahia kulitatua kupitia app yetu ni hili hapa : ⏳ Ni...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Waafrika hayana thamani kwa Waafrika wenzao? Nigeria watu wamechinjwa kama kuku na magaidi ila kimya tu!

    Wakati dunia nzima imejikita katika vita vya Iran na Israel huko Nigeria kwa mashemeji zetu katika jimbo la Benue watu zaidi ya 200 wamechinjwa kama kuku na magaidi wiki hii ila hizo habari hazipewi uzito wowote hata na Waafrika wenyewe! Mzungu wa huko Vatican Roma ndiye amezipa umuhimu na...
  5. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    KUKU NI WA KIENYEJI NIKO KANDA YA ZIWA. Sio vibaya pia tukapatiana hints za ufugaji. Karibuni
  6. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Kuku Chotara🐔 Wanaojilisha na Kujigharamia wenyewe💰? Hivi ndo jinsi ya kuwafikisha Hali Hiyo Kwa Siku 84 au Chini

    ❌ Usianze Ufugaji Kabla Hujajua Kuku Wangapi Unafuga na Gharama Zake.Ukipuuzia Itakugharimu 💸Zaidi Kuliko Unavyofikiria Nakumbuka nilivyoanza niliweka lengo la kufuga kuku kwa miezi mitatu yaani siku 84( wiki 1 ni siku 7) ili wakifika umri huo na uzito wa angalau kg 3 niweze kuuza nipate faida...
  7. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kutengeneza pellets kwa ajili ya mifugo kama kuku na nguruwe

    Habari za kazi Nina mashine ya kubadilisha chakula cha mifugo cha ungaunga kuwa katika mfumo wa pellets ambazo ufanisi wake unajulikana katika ulishaji wa mifugo,pia huduma ya kuchanganya cha mifugo kuanzia 1000kg kwa saa pia inapatikana kwa kutumia Mixer.Huduma hizi zinapatikana Mbeya japo...
  8. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wamevuka mabahari yoooote, kuja kituuzia miguu ya kuku 🙄

    Yani miguu ya kuku 2000.Raisi wanatuonaje.
  10. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Wameliamsha Dude. Gwajima asjibiwe ili akasirike amwage Mchele kwenye kuku wengi

    Ameahidi atarudi anasubiria wamjibu. Na kasema atarudi mara nyingi tu. Yaani watakavyozidi mshambulia ndo atakavyozidi kuwapasua. Wana CCM wengi smart huwa hawapendi ugomvi na Gwajima. Wanamfahamu huwa anaingia deep sana. So watu wanajipanga watoke vipi.
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini kama kuku Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?

    Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia. Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
  12. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili, Uzito wa Kuku wako, ni silaha ya mafanikio

    ⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai! Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha kawaida sana) ni kwamba wafugaji wengi hawana mizani kabisa ya kupimia uzito wa kuku wao! Hii...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  14. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania 🐔 Wafugaji wa Kuku Karibuni! Jibu Maswali 3 Tu Upate Nafasi ya Kushinda Vocha ya Bure! 📱💰

    Habari ndugu mfugaji! 👋 Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi 💪🐓 Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili yako kwa kujibu maswali kadhaa kwenye fomu hii 👇 📋 Bonyeza hii Link kujaza fomu ...
  15. Madame B

    JamiiForums Tanzania Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku

    Leo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina 🦎 wala nini. Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito. Imenipunguza toka huko niliko mpaka sahv kwenye kg 75. Huwa nina program hiyo kwani hukata uzito balaa na huwa nakuwa nayo...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

    Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari. Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
  17. Madam Ritha Massawe

    JamiiForums Tanzania JE WALIJUA SHAMBA LA KUKU BORA?

    🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
  18. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  19. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Nimegeuzwa fursa? - nimeuziwa ndege John badala ya kuku?

    Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani. Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni...
Back
Top Bottom