Kuku wangu wamepatwa na nini?

Kuku wangu wamepatwa na nini?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,707
Reaction score
4,979
Nimewaacha kuku wangu wakiwa vizuri kabisa ile nimetoka kidogo nimekuta wamekufa wote sasa itakuwa nini wakuu??
20250828_202003.jpg
 
.... 'nakwambia usikubali, lazima kuna mkono wa mtu, tatizo umekaa kizembe sana lakn haya mambo yapo, wewe ukiwa tayari useme, ohoo shauri yako" mwisho wa kunukuu.
Kwamba uchawi au?
 
Back
Top Bottom