kukosoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Unaweza (na unapaswa) kujisikia Huru kukosoa kazi ambayo Viongozi wako waliochaguliwa wanafanya

    Uhuru wa Kujieleza unamaanisha kuwa Huru kutoa maoni yako kwa njia yoyote ambayo haiondoi Haki za Watu wengine. Unaweza (na unapaswa) kujisikia Huru kukosoa kazi ambayo Viongozi wako waliochaguliwa wanafanya. Ubadilishanaji Huru wa Mawazo, Maoni na Taarifa hutupatia Maarifa tunayohitaji kufanya...
  2. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya neno "UCHOCHEZI" ni namna dhaifu sana ya kuikataa demokrasia na uhuru wa kukosoa

    Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika. Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

    Wanabodi, Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana! Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini. Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo...
  4. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi naomba kuuliza hivi kuwa kiongozi wa dini kunaondoa sifa ya kuwa raia na kukosoa serikali?

    Habari wanajf, naomba kuuliza watu hasa Watanzania wanalalamika kwamba kwa nn TEC wanakosoa kuhusu bandari kuwekezwa na DP word. Sasa maana ya kuwa kuwa kiongozi wa dini maana yake Ni kukubali kila kitu hata Kama Ni kibaya unapaswa kufunga akili????????? Lakini je kuwa kiongozi wa dini...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hakuna Mtanzania amekamatwa kwa kukosoa Mkataba wa Bandari

    Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba wa uwekezaji wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kama ambavyo imekuwa ikitajwa na mashirika ya Kitaifa na Kimataifa. Kauli hiyo ameitoa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hakuna mtu yeyote Tanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa sababu ya kuikosoa serikali

    Serikali, kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imetoa tamko juu ya matamko yanayotolewa na asasi mbalimbali kuhusu kukamatwa kwa Dr. Slaa, Wakili Mwabukusi, na Mdude. Katika maelezo hayo imeeleza kuwa hakuna Mtanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa...
  7. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Aelezea Madhara ya Kukosoa Serikali ya Magufuli: Risasi 16 na Jaribio la Mauaji

    = Hotuba kamili ya Mh. Tundu A. Lissu Anzia dakika ya 18 👇🏻👇🏻
  8. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kutumia Sakata la DP World Kueneza "Hate Speech" Haikubaliki na Ni Kinyume na Maadili ya Nchi na Umoja wa Mataifa

    Umoja wa Mataifa Ulitoa Waraka wa kukataza Matumizi ya Lugha za Kibaguzi "Hate Speech" Kwa Wanachama wake pindi wanapotaka kufikisha ujumbe wao wa kupinga au kujitafutia maslahi mbalimbali. Sasa hapa Tanzania Toka Sakata la Makubaliano ya Serikali na DP World kuhusu uendeshaji wa Bandari...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi ndani ya CCM tunaamini kwenye kukosolewa na kujikosoa

    Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe. Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea kubaki. Na kutokana na hilo haviiti vyama vingine kama vyama vya upanzani bali vyama vya kumuonesha...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa" ya leo inajikita kwenye Ibara ya 18 ya Katiba kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, yetu ya JMT ya mwaka 1977, kuanzia Ibara ya 18 – 24, katiba yetu imetoa haki zifuatazo: 18. Uhuru wa Maoni. 19. Uhuru wa mtu kuamini dini...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ni vigumu kuwapata watu aina ya Edwin Mtei ndani ya CCM, wenye uwezo wa kuwashauri kwa kuwasahihisha Viongozi wa Juu

    Fikiria Edwin Mtei anamwambia Mwalimu Nyerere "Mkuu Hapa hauko sahihi unapaswa kufanya hivi" Hapo ni Gavana na Rais wanawasiliana. Ujasiri huo haupo tena ndani ya Chama Dume tena awamu ya 5 ndio Ilikuwa kasheshe. Alhamis Ubarikiwe Sana!
Back
Top Bottom