kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kukataa neno "Awamu ya Sita" kwa kukosa ilani ya chama na Kukubali "Awamu ya Tano" iliyokuwa na Ilana ya chama

    Katika kipindi hiki cha siasa za Tanzania, mjadala kuhusu awamu ya sita unazidi kuibuka, hasa kutokana na matendo ya serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia anajiita yuko katika kipindi cha awamu ya sita, lakini ukweli wa mambo unaonyesha kuwa uongozi wake unategemea zaidi Ilani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

    Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka? kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi? Fabrice konokono Ngoma pale kati...
  3. contask

    JamiiForums Tanzania Kama ni mwanaharakati wa fedha za mtandaoni hutakiwi kukosa hivi vitu

    Habari wakuu Kama kichwa kinavyojieleza vitu hvyo ni kama vifutavyo ✅Good profile ✅Goodsite kama vile upwork,fiverr na zingineezo ✅Skills ✅Mullavid VPN ✅Tor browser ✅Crypto wallet kama vile binance ✅burner phone ✅Proxy 5 ✅Good OPSEC ✅RDP ✅Cc cleaner Vingine tuendelee kuvishusha kwenye comment...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha CCM kulazimisha mkutano ufanyike stendi na kusimamisha shuhuli wakati viwanja vipo ni kukosa akili.

    Hawa ccm naona kwa sasa watu wamewachoka jana kahama waliamua kulazimisha mkutano wao na wasira ndani ya stendi ya shinyanga kahama ambayo inashuguli nyingi za watu. Mabasi yalilazimisha kupaki nje ya stendi ili kusubiri wateja wao. Sasa cha kujiuliza wakati kahama kuna kiwanja kikubwa ambacho...
  5. R

    JamiiForums Tanzania KERO Ni aibu kwa mji wa Himo toka Halmashauri ya Moshi kukosa Taa barabarani, ili hali wananchi wanalipa kodi

    Hallo. Kama title inavyojipambanua. Kati ya miji midogo inayokuwa ndani ya Halmashauri ya Mji wa Moshi, ni pamoja na Mji wa Himo ambao uko karibu na Mpaka maarufu wa Kenya na Tanzania(Holili). Mji huu umekuwa na viashiria vingi kuonyesha kuwa unakua kutokana na shughuli mbali mbali za kiuchumi...
  6. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  7. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki. Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja...
  8. Soul21

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwenda kwa Raila Odinga ni kukosa mwelekeo?

    Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa. Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika anzia Mwai Kibaki, Kenyata na Ruto. Mateso na mauji yote ya upinzani yalitoka kwenye kinywa chake...
  9. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa usingizi nikaona nijisomee kidogo na kuwaza

    Kwa Nini SoMo la bible knowledge liwe kiingereza na dini ya kiislamu liwe kiswahili!? Kwa nni yote yasiwe kiswahili ili kuweka usawa!? Ukiangalia hili SoMo sio gumu sana ila kwa sababu ya lugha linakuwa gumu na kuzuia watoto wengi wa kikristo kulisoma mashuleni huku lile la kiislamu kutokana na...
  10. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kujisikia vibaya, mwili kukosa nguvu

    Kaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila...
  11. Crimea

    JamiiForums Tanzania Kwanini tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa imekuwa kubwa sana?

    Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa! Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex. Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika wa 100% katika huu Mtego wa Kiufundi wa Mama kuna 'Mazuzu' yatauingia Kichwa Kichwa na kukosa kote kote

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa wilaya na viongozi wengine katika serikali za mitaa kutoa taarifa mapema kama wana mpango wa kugombea ubunge. Msingi wa kauli ya Rais Samia ni kutaka nafasi zao zijazwe mapema na watu wenye sifa huku akiwaonya kutoshitukiza...
  13. Martine18012002

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kukosa Ute wa Ovulation

    📌 Kukosa Ute Katika Kizazi cha Mwanamke Kukosa ute wa kutosha kwenye kizazi kunaweza kuathiri afya ya uzazi na maisha ya ndoa. Hii inaweza kuwa ishara ya mabadiliko ya homoni au matatizo ya kiafya. 🔴 Dalili za Kukosa Ute Katika Kizazi: 1️⃣ Ukavu ukeni, hasa wakati wa tendo la ndoa 2️⃣ Maumivu...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu kumsikiliza mchungaji au sheikh zaidi ni dalili ya kukosa baba au kuwa na baba dhaifu

    MTU KUMSIKILIZA MCHUNGAJI AU SHEIKHE ZAIDI NI DALILI YA KUKOSA BABA AU KUWA NA BABA DHAIFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ndio sababu wewe kijana wa kiume unatakiwa upambane Sana sio kiuchumi tuu Bali Kimwili, Kiroho na kiakili. Kama Baba unahitajika ujue mambo mengi Sana. Mambo...
  15. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Story gani haiwezi kukosa hapa kwenye kijiwe hiki cha bodaboda?

    Twende kazi unahisi wanapiga story gani hapa?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa Makonda na Gambo ni matokeo ya kukosa viongozi wanaochukua hatua

    Kuna wakati unajiuliza mbona kama hatuko serious? Inawezekanaje viongozi wakawa wanafanya mambo ya kipuuzi na hawawajibishwi? Hili ni tatizo. Inasemekana Ulega aliwahi kuwaita akawapatanisha, lakini kwa hatua iliyofikia ilitakiwa hatua zichukuliwe ili huu ugonjwa tusiendelee kusambaa. Wapo...
  17. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

    Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless. lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu. 01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za uwakilishi za Arusha mjini zimeharibika sana na kukosa ustaarabu kabisa

    Kuna habari nimieona ambapo madiwani wa Arusha mjini walikuwa kwenye kikao rasmi cha kazi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hicho kikao kilikuwa kama kikao cha chama huku watu wenye maslahi yao binafsi wakifanya siasa za minyukano. Mambo mengine ya ajabu katika hiko kikao ni pamoja na diwani...
  19. haszu

    JamiiForums Tanzania Aliezaa na miaka 30 na kuendelea, msimuite single mother, hakutaka kukosa yote.

    Sasa mtu ukute amesoma, ila ajira hana, mume wa kumuoa hana, anafika miaka 30, window ya kupata kupata ujauzito inazidi kushuka, mnataka afanye nini? Kuliko kukosa vyote anaamua japo apate faraja ya mtoto. Msiwasakame sana hawa waliozaa kuanzia 30 na kuendela, wamejifanyia uokozi. Sitetei...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani kukosa umeme kwa nyakati tofauti

    TAARIFA KWA UMMA MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM Jumatano, 19 Februari 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na...
Back
Top Bottom