Iwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi?
https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
Tumeshuhudia uchaguzi ndani ya chama tawala nchini ukitamatika hivi karibuni.
Uchaguzi ambao umewaacha/ kuwaengua waliokuwa wabunge katika majimbo mbalimbali.
Licha ya rafu katika chaguzi hizo; baadhi ya waliokua wagombea wameingia katika vyama vya upinzani kwenda kupeperusha bendera kupitia...
Mwanafunzi wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya msingi Mnini iliyopo kata ya Uru Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro anayefahamika kwa jina la Izack Mushi (12), amefariki dunia kwa madai kuwa amejinyonga kwa kamba muda mfupi baada ya mwalimu wake katika shule hiyo...
Siku hizi msema kweli, muadilifu , mtu wa haki na mtetezi wa wanachi anayepinga udhalimu, ufisadi , rushwa nk, hastaili kuwa mbunge kupitia CCM?
Je, CCM inahitaji watu wapambe , chawa, wasiowajibika kwa wananchi na wenye muonekano kama wasio na akili ndio vipaumbele vya watu wanaostahili...
Ni hali ya mtu kushindwa kuvumilia hali zisizoendana na matarajio yake, kukasirika haraka, kukata tamaa kirahisi, au kutaka matokeo ya haraka bila kujali mchakato. Mara nyingi mtu wa aina hii hukosa pia shukurani – haoni uzuri wa juhudi wala hazijatosha kamwe.
---
🔍 VIASHIRIA VYA MTU MWENYE...
Sijui nifanyeje aisee na inavyoonesha nikiendelea hivi nitaendelea kuwa bachelor aisee japo mie ni tajiri na half milionare lakini bado nakumbwa na hofu, wasiwasi,na kila aina ya matatizo nimeshindwa cha kufanya na ukiangalia umri unaenda na nakaribia third floor sasa napata wanawake na...
Anorexia Nervosa Ni Nini?
Anorexia Nervosa ni tatizo la akili na lishe (eating disorder) ambapo mtu hujizuia kula chakula au kula kidogo sana kwa hofu kubwa ya kunenepa, hata kama tayari ni mwembamba kupita kiasi.
Mtu mwenye anorexia huwa na mtazamo usio sahihi juu ya mwili wake na huamini...
Kuna kipindi kijana anakua kwenye familia ya dini, amelelewa vizuri, kila Jumapili au Ijumaa yupo kanisani au msikitini, anajua kusali, anajua kusamehe, anajua kujizuia na makatazo ya imani… lakini ikifika miaka ya 20s, game inabadilika. Ghafla unamkuta yuko TikTok akisema “Mimi sio mtu wa dini...
GT.
Watanganyika kama tutaendelea kama ilivyo sasa tunakoelekea ni kubaya zaidi ya hapa tulipo. Dalili zote zimeshaonyesha kwamba namba moja hana uwezo wowote shida ipo wapi kumweka pembeni?
Maono ya mzee wa msoga yameshatimia mambo tayari yashakuwa mabya saaana kwa hiyo hakuna budi akae...
Habari za muda huu wakuu!
Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki moja na zaidi ndio akapata choo na mara nyingi mpaka umbusti na dawa ambayo ni mafuta ya samaki...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amelaani siku ya Jumamosi, Juni 28, 2025, matamshi "ya kukosa heshima na yasiyokubalika" yaliyotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye alidai "aliipiga Iran" na kumuepusha Kiongozi wake Mkuu Ali Khamenei "kifo cha kutisha na cha aibu.
Ikiwa...
GT.
Venance alikuwa ni namba sita machachari kweli kweli alikuwa tegemeo kubwa sana la timu yake . Kile kitendo cha kukosa goli la wazi akiwa yeye na golikeeper kimeigharimu timu yake hadi leo.
Namba kumi wao tegemeo alikula umeme hivyo Venance akashikilia dimba, wapinzani walizidisha...
IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele,
ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.
Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa...
Hellow!
Mlituambia kuwa Nchi itaendelea kukopa kwa maendeleo ya taifa,
Mkaemdelea kusema, tunakopa kwa sababu tunakopesheka.
Akaibuka spika wa bunge na kuonya ukopaji wa spidi kuwa una madhara, akanangwa na kusemwa vilivyo na kupewa mipasho na kuambiwa tupishe.
Leo kiongozi yule yule anarudi...
Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe.
Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita.
Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe.
Yani mkoa una rasilimali za...
Kada mpya wa CHAUMMA ndugu Vitus Nkuna ameamua kutelekeza chama chake huko Mara leo baada ya kuona hali halisi.
Hali kadhalika huko Mugumu Mara mkutano umeshindwa kuanza saa saba mchana baada ya kuwa hapakuwa na watu kwenye uwanja.
Hii inajiri leo baada ya jana kada wao mwingine Aisha Madoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.