kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuenguliwa kwa baadhi ya wagombea wa upinzani kumefanya zoezi la uchaguzi kukosa mvuto kwa wananchi.

    Habari za uchaguzi Wakuu! Nafikiri siku ya Leo imeenda kinyuma na lengo lilivyopangwa. Serikali iliiweka siku ya Leo kama siku ya mapumziko ili kutoa fursa kwa watu kupata muda wa kwenda kupiga Kura katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Lengo lilikuwa zuri lakini likapoteza maana baada ya...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Gari Toyota Spacio New Model kukosa nguvu pindi ninapokutana na mlima

    Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia inakuwa kama inamiss hivi sasa sijajua kama ni ishu ya Fuel Pump au maana hata nikijaribu piga ress...
  4. kali linux

    JamiiForums Tanzania Kweli Mike Tyson ndio wa kukosa hii hook, hakika ile match ilikuwa stage play

    Cheki hapa, huyu dogo hii hook ingemuweka chini moja kwa moja na ikawa KO ila mike akaipotezea, chek hii clip hapa chini Laiti hio hook mike angeituma kichwan kwa huyo dogo wangemtoa dogo hapo akiwa kwenye stretcher. Na ukicheki vzr mike alifake punch dogo akaidefend kisha akamuachia access...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Diwani wa Wazo: Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi

    Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi. Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la...
  6. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Kukosa haya vs kuwa na confidence

    Hii kitu inanisumbua sana na kuona kama sijiamini patelea pote. Haiwezekeani unajenga kujiamini na kuacha kuwa mstaarabu. Kjna mtu nakutanaga nae kufanya kazi moja mbili tatu...huyu bwana najikuta napata maswali, je sijiamini au ? Au sija job mastering, naona uwezo ni mkubwa tu. Huyu mtu...
  7. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Matajiri wetu na Wanasiasa wanatuangusha kwa kukosa maono

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
  8. USSR

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mbwa wakitaka kufa huanza kukosa uwezo wa kunusa

    Ni baada ya lema kusema kuwa CCM inafanya mpango na ACT WAZALENDO ili kukifanya kiwa chama kikuu cha upinzani USSR
  9. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa wenza wa ndoto zao, wengi wa waliopo kwenye ndoa waliamua kujilipua kwa kuishi na "ili mradi ni mke/mume"

    Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao . Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8...
  10. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Niaje Kuwa na ‘Side Hustle’? Kutafuta Hela Zaidi au ni Kukosa Tamaa?

    Siku hizi imekuwa kawaida kusikia watu wakijisifia wana ‘side hustle’ – kazi ya ziada mbali na ajira yao ya kudumu. Swali linakuja, hivi kuwa na ‘side hustle’ ni kutafuta hela ya ziada kwa maisha bora au ni tamaa tu ya kutoridhika na mshahara wa mwezi? Kila mtu anapambana kutafuta hela za...
  11. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Mchengelwa uongeze siku za kuandisha daftari la Serikali za Mitaa, Yanga na Simba zimeathiri zoezi

    Mh. Mchengelewa bila shaka ni mzima wa afya njema. Nakuomba uongeze siku za kujiandikisha kwa sbb zifuatazo: 1. Kuepo kwa figisu nyingi za kuandikishaji sehemu mbalilmbali. 2. Yanga na simba zimeathiri zoezi zima la kuandikisha watu wote wameenda kuangalia mpira wa simba na yanga, cha...
  12. Surya

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukosa hisia/msisimko wa Mapenzi.

    Nianze na Wanaume: Mfumo wa hisia za mapenzi na mchakato wa kusimama kwa uume ni mchakato changamani ambao unahusisha miitikio ya kihisia, kiakili, na ya kimwili. Yafuatayo ni maelezo ya hatua mbalimbali zinazopelekea kusimama kwa uume hadi kufanikisha tendo la ngono: 1. Kuvutiwa Kihisia...
  13. P

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo Vya Umma Kukosa Sabuni na Toilet paper

    Hakika ni jambo la aibu,dhihaka,ujinga na kukosa ustaarabu na wakati huo huo tukijiona jamii yenye ustaarabu na Elimu. Maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu,wenye kutafuta huduma au kupatiwa huduma mfano zahanati,vituo vya afya,hospitali(wilaya,mkoa na rufaa), Taasisi za Elimu(shule za msingi...
  14. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Nikajua bila yeye siwezi kumbe kukosa hela kuna mfanya mwanaume kupenda kupitiliza

    Saizi kidogo napumua hata nikiona simu yake naichukulia poa tu hata asiponipigia mwez mzima hata sistuki ila zamani dah kila muda bebi upo wap bebi unafanya nini? Na nikimuona na mwanaume naumia sana ila saizi kwakweli dada zangu wanawake nawaona ni vitu vya kawaida sana hata upite na makalio...
  15. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Gilikipa wa Simba, Camara anavyo sababisha Taifa Stars kukosa kipa

    Kwa hapa nchini Simba inasifiki kwa jicho la kuona makipa bora wazalendo,Idfi Pazi,Mwameja,Kaseja,Manula etc Kwa miaka ya Karibuni Taifa keru kiliwategemea Manula,Kakulanya na Ali Salim, Baada ya Kakolanya kutemwa Simba na Manula na Salim kusugua benchi pake msimbazi ni kama Stars haina kipa wa...
  18. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Ni Bidhaa Au Kifaa Gani Sitakiwi Kukosa ndani ya nyumba?

    Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba. NI Bidhaa gani ni za muhimu kuwepo ndani ya kwa maisha ya sasa?
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

    Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza...
  20. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
Back
Top Bottom