kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume siku hizi tunalalamika kukosa nguvu za kiume lakini kuna baadhi ya mambo hatuyazingatii

    Kama mada inavyosema , siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kulalamika kukosa nguvu za kiume. Kwenye tatizo hili wamegawanyika makundi makundi lakini leo nitaongelea kundi la wale wenye kimoja chali. Hapa unakuta mwanaume anakuwa na hamu lakini roundi ya kwanza tu hana tena hamu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Shoking: South African taps run dry after power shortages

    Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji. Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
  3. JamiiForums Tanzania Sitaki Kukosa Kipindi cha Raha za Uswahilini cha EFM Radio nimsikie Dada mwenye Sindano Ukeni iliyokuwa Ikimchoma kila Mwanaume Aliyemuingilia

    Kikubwa GENTAMYCINE nataka nimjue tu kwa Jina na ikiwezekana hata kwa Sura ili nisikosee njia Siku moja na Kumtongoza kisha akinipa Uume wako Uchomwe na Sindano iliyojicha Ukeni mwake bila ya Yeye kujua na Wanaojua ni Wanaume tu waliokuwa Wakimbandua. Asanteni EFM Radio na Kipindi chenu cha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Aucho kukosa fainali mbili CAF

    Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2. Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.
  5. JamiiForums Tanzania Rayvanny angalia usidumbukie aliponasa Harmonize. Jifunze kukaa mbali na fungu la kukosa

    Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha. Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao karibu lazima uzame. Ulifanya vizuri kuwakataa wale matapeli wa mjini. Tanzania nzima inajua...
  6. JamiiForums Tanzania Tufichue maovu, uvunjifu wa sheria na kukosa ustaarabu katika huu uzi

    JF Where we Dare to Speak. Ahadi ya mwana Tanu inasema nitasema ukweli daima Fitna kwangu Mwiko. Admins. Kwenye huu uzi tutaweka watu au vitendo vya kuvunja sheria, utovu wa nidhamu, kukosa ustaarabu, kuvunja amani na kuleta hali ya sintofahamu. So kila kitu kitakuwa kwa uwazi bila kusingizia...
  7. JamiiForums Tanzania Nyonga ya Mama kukosa uwiano na kichwa cha mtoto wakati wa kujifungua

    Kutokuwa na uwiano wa kichwa cha mtoto na nyonga ya mama wakati wa kujifungua ''Cephalopelvic disproportion (CPD)'' hutokea wakati kuna kutolingana kati ya ukubwa wa kichwa cha mtoto na saizi ya nyonga ya mama kupitia njia ya uzazi kutokana na fupanyonga iliyobana au yenye umbo lisilo la...
  8. JamiiForums Tanzania Maoni: Ubinafsi na uchoyo ndio huchangia zaidi kabila kukosa maendeleo

    UBINAFSI Ni tabia ya kujiona wewe ni bora kuliko wengine hutaki wengine wawe kama wewe pale unapokuwa na nafasi fulani kudharau wengine Katika baadhi ya makabila kuna watu miongoni mwao wamepata nafasi kubwa ya kuwasaidia wengine lakini wameshindwa kwa sababu ya ubinafsi matokeo yake jamii zao...
  9. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukosa huduma au msaada kwa kutokusalimia watu,

    nikiwa nimetokea zangu kigamboni nikafika ferry kutafuta magari ya gongo la mboto, sikuwa mzoefu sana yanaoopatikana, ikabidi nisogee kwenye daladala moja hivi iliyopaki ilikuwa ni mida ya mchana, ndani kulikuwa na dereva na kondakta wake, kufika nakauliza, eti gari za gongola mboto zinapaki...
  10. JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni. Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu. Ni kweli kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Masturbation inasababisha kukosa usingizi?

    Habari kwenu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, hivi sasa yakiwa majira ya saa 7: 07 usiku nimeona iwe vyema kuandika uzi huu. Ni kuhusu madhara hasi ya kujichua ama masturbation kama inavyofahamika kwa kimombo. Nikiri tu kwamba mimi nimekuwa mdau wa masturbation kwa zaidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHATO: Viongozi wa CHADEMA wasota rumande ya polisi kwa kukosa dhamana

    Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu. Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni Mbowe...
  14. JamiiForums Tanzania Ni aibu majiji yetu kukosa traffic cameras

    Tupo kwenye Karne ya science na technology, Karne ya information age Karne Ambayo vitu vinatakiwa viende Kwa Kasi. Sasa huwa najiuliza hawa watendaji wetu mbona wamelala usingizi mzito. Ni ushamba au kutokutaka kutimiza wajibu wao. Hawa hawa watumishi kwenye majumba Yao kuna Camera kila Kona...
  15. JamiiForums Tanzania Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

    Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali. Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia waonee huruma maskini wa Tanzania, watu wanakufa kwa kukosa dawa huku wengine wakichota mabilioni

    Naomba kuchukua nafasi hii kuandika kwa kifupi kabisa ombi moja kwa niaba ya watanzania. Nakuomba Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia tafadhali wachukulie hatua za kisheria wote wanaohusika na ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi yetu. Tunakopa matrilioni, lakini tunapoteza matrilioni...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mwana-CCM mwingine amvaa Rais Mwinyi, amshutumu kukodisha visiwa na kukosa uhalali kwakuwa hakuchaguliwa bali kateuliwa tu

    Si mwengine ni Balozi Ali Karume, mtoto wa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Amekosoa vikali mambo yafuatayo: 1. Kukodishwa kiholela kwa visiwa tena kwa bei cheee ambayo ni dola laki moja tu kwa mwaka. 2. Kupinga uvunjwaji wa nyumba za kilimani. 3. Amemshutumu Mwinyi kukosa uzoefu wa mambo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Moshi: Mama afariki Dunia akiwa nyumbani kwa kukosa pesa ya matibabu, aacha watoto wadogo

    Marehemu Happiness Kasmiry kutoka kijiji cha Usari, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu. Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa jina la John...
  19. JamiiForums Tanzania Kisa kukosa license kunavyofanya nikose ajira kwenye taasisi

    Wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina elimu ya sekondari kidato cha nne Nilihitimu 2017 lakini sikubahatika kuendelea na elimu ya advance, mimi ni mkubwa kwenye familia ya watoto wanne Dhumni la kuja kwenu, ninaomba mwenye uwezo wa kunichangia japo chochote ili niweze jiendeleza...
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA

    Habari! Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA imetembea km 1500. Nimenunua 8,100,000 -Ina bima kubwa mnaita comprehesive ya mwaka 1, itaexpire 07/02/2024. Kwa 600,000 -ina latra ya 32000 expire 07/02/2024 -fire extinguisher 15000. -triangle 8000. -sticker 2000. Ikiichukua ni barabarani tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…