Masturbation inasababisha kukosa usingizi?

McCord

JF-Expert Member
Apr 13, 2023
233
568
Habari kwenu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, hivi sasa yakiwa majira ya saa 7: 07 usiku nimeona iwe vyema kuandika uzi huu.

Ni kuhusu madhara hasi ya kujichua ama masturbation kama inavyofahamika kwa kimombo. Nikiri tu kwamba mimi nimekuwa mdau wa masturbation kwa zaidi ya miaka nane sasa. Kwa miaka mitano mfululizo sasa najikuta nakosa usingizi hata ikiwa saa tisa za usiku mimi bado nitakuwa macho na hata lepe la usingizi halipo!
7d27e36a-b39e-47cf-af89-f01a821e3b04.png

Katika pitapita kuna siku nilikutana na picha ambayo Shimba ya Buyenze alii-share kwenye uzi fulani ambao kwasasa nimeusahau jina ila picha ile ilikuwa inahusu madhara ya masturbation na madhara yale yalihainishwa kwa maneno ya rangi nyekundu na kijani lakini faida chanya ilikuwa ni moja tu ambayo ni kuongezeka kwa rate ya metabolism. Katika miongoni mwa athari hasi kukosa usingizi nako kupo.
images.jpeg

Labda uwenda ningeweza kusema kuna mambo yanayochangia mimi kukosa usingizi kama kuwa na msongo wa mawazo, matatizo ya kimahusiano na mengine mengi yanayohusiana na hayo ila katika sababu nilizoziorodhesha na hizo ambazo hata sijazigusia ila zinaendana na sababu tajwa sina sababu hata moja. Baada ya kufikiri sana nimekuja kuona uwenda (narudia tena uwenda) masturbation inachangia kukosa usingizi kama jinsi ambavyo Shimba ya Buyenze alivyowahi kutoa reply yake kwenye uzi husika ambao niliusoma.
images (1).jpeg

Kama shimba ya buyenze atapitia hapa naomba kama ile picha anayo basi aitume tena. Masturbation inakufanyia mambo mengi ya hovyo ikiwemo kudumaza akili (in terms ya kumbukumbu yaani inakuwa kama akili yako inahitaji kushtuliwa mara kadhaa ili iwe active).

Kama nitapata usingizi saa kumi basi nitalala muda huo huo mpaka saa kumi na mbili. Ni hali ambayo imenichosha na naona inanitia mashaka mno

Nasubiri michango yenu mnifungue na kuwafungua watu wengine ufahamu.
 
Habari kwenu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, hivi sasa yakiwa majira ya saa 7: 07 usiku nimeona iwe vyema kuandika uzi huu.

Ni kuhusu madhara hasi ya kujichua ama masturbation kama inavyofahamika kwa kimombo. Nikiri tu kwamba mimi nimekuwa mdau wa masturbation kwa zaidi ya miaka nane sasa. Kwa miaka mitano mfululizo sasa najikuta nakosa usingizi hata ikiwa saa tisa za usiku mimi bado nitakuwa macho na hata lepe la usingizi halipo!
View attachment 2589249

Katika pitapita kuna siku nilikutana na picha ambayo Shimba ya Buyenze alii-share kwenye uzi fulani ambao kwasasa nimeusahau jina ila picha ile ilikuwa inahusu madhara ya masturbation na madhara yale yalihainishwa kwa maneno ya rangi nyekundu na kijani lakini faida chanya ilikuwa ni moja tu ambayo ni kuongezeka kwa rate ya metabolism. Katika miongoni mwa athari hasi kukosa usingizi nako kupo.
View attachment 2589250

Labda uwenda ningeweza kusema kuna mambo yanayochangia mimi kukosa usingizi kama kuwa na msongo wa mawazo, matatizo ya kimahusiano na mengine mengi yanayohusiana na hayo ila katika sababu nilizoziorodhesha na hizo ambazo hata sijazigusia ila zinaendana na sababu tajwa sina sababu hata moja. Baada ya kufikiri sana nimekuja kuona uwenda (narudia tena uwenda) masturbation inachangia kukosa usingizi kama jinsi ambavyo Shimba ya Buyenze alivyowahi kutoa reply yake kwenye uzi husika ambao niliusoma.
View attachment 2589251

Kama shimba ya buyenze atapitia hapa naomba kama ile picha anayo basi aitume tena. Masturbation inakufanyia mambo mengi ya hovyo ikiwemo kudumaza akili (in terms ya kumbukumbu yaani inakuwa kama akili yako inahitaji kushtuliwa mara kadhaa ili iwe active).

Kwasasa nasikiliza wimbo wa Backstreet Boys unaofahamika kwa jina la More Than That. Kama nitapata usingizi saa kumi basi nitalala muda huo huo mpaka saa kumi na mbili. Ni hali ambayo imenichosha na naona inanitia mashaka mno

Nasubiri michango yenu mnifungue na kuwafungua watu wengine ufahamu.
Uongo + CHAI Hawa ndo madokta walioiba vyeti😅😅😅😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom