kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Simba kwa uwekezaji ule ni ya kukosa basi?

    Habari ya asubuhi wana Simba. Nina mawili ya kusema: Hivi ni kweli Simba imepokonywa bus na wale wawekezaji? Kama ni kweli hii ni aibu kubwa kwa timu kubwa kama Simba kukosa bus la mil 200. Hebu imagine unamkataba na Azam, unamtangaza MO kwenye jezi za Simba, una mkataba na M-bet wa 26B. Mechi...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mara 3 mfululizo Simba ilinusurika kushuka ligi kuu huku Yanga ikiinusuru mara mbili kwa kukubali kuwapa sare na kukosa ubingwa

    Hii ndio maana halisi ya kaka kuwa muungwana kwa mdogo wake hata kama mdogo wake hampendi, kuna muda ilibidi kaka afanye uungwana ajishushe kumkubalia mdogo wake amshinde ili kumuokoa na kuna muda bro ilibidi ajishushe uwezo ili mpinzani achukue ubingwa ilimradi mdogo apone, yote haya yaliwahi...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 270,000 kukosa nafasi Sekondari za umma

    Baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kutangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba, imebainika wanafunzi 274,671 waliohitimu na kupata daraja D na E, hawana nafasi ya kujiunga na sekondari za umma katika mwaka wa masomo 2023. Idadi hiyo ni wastani wa mwanafunzi mmoja kati ya watano...
  4. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu kukosa umeme/generator

    Hivi majuzi nilikuwa kwenye Chuo kikuu maarufu hapa Tanzania nafikiri cha pili kwa ukubwa (Mazimbu Campus) Kutokana na mgao wa umeme, shughuli nyingi zinaenda kwa kusua sua; Hata nikahoji ina maana Chuo kikuu hakina Generator? Nikaambiwa wanayo tena kubwa ya kuendesha hiyo campus yote ila tatizo...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Bomba la gesi lalipuka Urusi, zaidi ya watu milioni moja kukosa gesi, hivi vita vinakwenda pabaya

    Hili tukio linadhaniwa kama ulipizaji wa kisasi baada ya Urusi kushukiwa kwenye ulipuaji wa bomba la gesi la "Nord Stream". Zaidi ya Warusi milioni moja kukosa gesi, huku wakielekea kwenye msimu wa baridi, kwa kifupi hivi vita havifai, Putin anapaswa afahamu anaowashambulia na wao pia wako...
  6. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka mgeni rasmi " The Big Praise Concert " FPCT Kurasini

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Praise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana, Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa vijijini, tunamshukuru Mungu watu wa mijini kukosa maji, acha tuwe sawa!

    Maeneo mengi sana ya vivijini, mvua zikikata tu, na maji ya kunywatayari yanakuwa ya taabu saana tokea Uhuru Katika jimbo la Chalinze Kwa mfano, yapo maeneo Kwa kiangazi hiki, hawaogi mwezi mzima, wana kunywa maji Kwa kupangiana, kwamba mtu anywe Mara moja tu Kwa siku zaidi ya hapo, hakuna maji...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru bado maji shida. Huku ni kukosa maono

    Najua serikali yetu imefanya mengi sana ,Pia nimshukuru Mungu kuwa na viongozi ambao toka uhuru wamelinda amani ya nchi yetu na kutetea umoja na mshikamano wetu. Kiukweli, zipo nyanja tumepiga hatua kwakiasi na zipo nyanja ambazo bado sana. Swala la maji:Hasa kwa mkoa au jiji linalochangia...
  9. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Udom kukosa kozi kama civil , electrical na mechanical engineering ni tatizo

    Poleni na majukumu Wakuu,hoja muhimu ni kwamba Imekaaje chuo Chuo kikubwa nchini kam UDOM kukosa kozi tajwa hapo juu ,ikizingatiwa ni chuo chenye uwezo wa kubeba wanafunzi wengi Tanzania.Kwanini wadau na wizara zisipunguze mzigo kwa vyuo kama Udsm,DIT,MUSTnk maana vinachukua wanafunzi wengi...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Lawama yote nawapa viongozi wetu wa kanisa katoliki Kwa kukosa msimamo kwenye kusimamia sheria za kanisa, mnakubali vipi watu waje na viti vyao ?

    Hata mgeni akija kwako ni lazima umuelekeze sheria zako, huwezi kumlaumu akifanya kitu alichoomba akifanye na ukamruhusu. Rais wetu ni muislamu kwake hajui vitu vingi vya wakatoliki, achilia mbali hata ukristo kwa ujumla. Tuelewane jamani, Rais kaenda Kanisani kakalia kiti chake Kwa sababu ya...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sudan yanyimwa msaada wa Benki ya Dunia kwa kukosa uwazi kwenye matumizi ya fedha

    Bernard Aritua Afisa na Muwakilishi wa Taasisi hiyo amesema hawawezi kutoa Ufadhili wa kujenga miundombinu hasa Barabara, kutokana na ukosefu wa Sera za Kifedha na Kanuni za Sekta ya Uchukuzi. Benki ya Dunia imesema Sudan inapaswa kufanyia marekebisho Sera zenye changamoto kwa misaada ambazo ni...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Zaidi ya Watoto 100 wakosa elimu kutokana na kitongoji kukosa shule

    Zaidi ya Watoto 100 wa Kitongoji cha Maloweke Wilayani Gairo wamekwama kupata elimu ya shuleni licha ya kuwa na umri wa kwenda shule kutokana na kukosekana kwa shule katika eneo wanaloishi. Inaelezwa shule za karibu zipo umbali wa kilometa 11 kutoka eneo, hali inayowapa ugumu Watoto kutembea...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  15. brokenagges

    JamiiForums Tanzania Kwa ubinafsi huu ni aibu na kukosa uzalendo

    Nipo maeneo ya Arusha mjini, ninasikitishwa sana na hali niliyoiona maeneo ya barabara ya Sokoine jirani na hospital ya AICC. Eneo hili ni mahali kilipo chuo cha utalii cha Tropical Institute. Ukataji miti unaofanyika hapo barabarani eneo la nje ya chuo kwa sababu ya kupasafisha ili mgahawa...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watanzania wana hofu ya kukosa huduma za kijamii wakimchagua kiongozi wa upinzani

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo wa Repoa walioufanya kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung ya nchini Ujerumani, mwaka 2021...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar watadharishwa kukosa huduma ya Maji Septemba 23

    TAARIFA KWA UMMA KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU CHINI 20.9.2022 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini kuwa Mtambo utazimwa siku ya ijumaa tarehe 23/9/2022 kuanzia...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Kupanda kwa bei ya nishati vyaripotiwa kutishia uzalishaji wa bia

    Bei ya nishati ya makaa na ukosefu wa kaboni dioksidi inaripotiwa kutishia uzalishaji wa bia. Watengenezaji bia wa Uingereza wanakabiliwa na ongezeko la bei mara kumi kwa CO2 wanayotumia kutengenezea kaboni na kufunga bia. ========= Soaring energy prices and lack of carbon dioxide reportedly...
  19. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Wamachinga wamkumbuka Magufuli na Antony Mtaka kwenye Ugawaji wa Maeneo Soko jipya la Machinga Dodoma kwa kuwekwa wasiokuwepo na wao kukosa

    Ikiwa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya soko jipya la machinga linaendelea, ila limegubikwa na sintofahamu tokana na zoezi hili Kipindi cha awali wamachinga wanaofanya biashara soko la jioni Nyerere square waliandikishwa kwa usimamizi madhubuti wa aliyekuwa mkuu wa mkoa Antony mtaka...
  20. 1

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanaangamia kwa kukosa maarifa

    Wanaangamia kwa kukosa maarifa WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA Ni miaka sitini imepita tangu uhuru upatikane. Watanzania wanaendelea kuishi kwa kuambiwa na kutenda kwa kuongozwa. Ni wachache wanaoamini “Elimu ni ufunguo wa maisha.” Theluthi ya wanaojiita wasakatonge, wanawakejeli na kuwabeza...
Back
Top Bottom