Tanzania Railways Corp
Govt Institution
- Mar 23, 2018
- 292
- 690
Sasa si mtoe maelezo kwa kina! Yaani mteja akipakua hiyo app yenu, nini kinafuata mpaka aipate hiyo tiketi ndani ya sekunde chache, nk!!
Ukifanyq booking unapewa 45 minutes kulipia zikipita basi siti inakuwa wazi. Watu wanashikaje hizo siti?Ila hii nchi: Unaweza kikuta siti zimejaa kumbe kuna wadau wanashikiwa siti.
Ungetumia mtandao wa simu.Niliwahi kutaka kupanda hii treni. Nikakuta kukata tiketi inabidi nifungue akaunti.
Kwa watu kama sisi ambao safari siyo za mara kwa mara hatuoni ulazima wa kufungua akaunti.
Mngeboresha hapo, ukataji tiketi usizuiliwe kwa mkata tiketi kutokua na akaunti yenu
Sikuwahi kujua kama kuna njia hii. ShukraniUngetumia mtandao wa simu.
Toeni wale wakagua tiketi hakuna wanachofanya pale. Abiria a-scan tiket mwenyewe ndipo geti lifunguke
Hujui kuwa wanalinganisha jina kwenye ID na tiketi?Toeni wale wakagua tiketi hakuna wanachofanya pale. Abiria a-scan tiket mwenyewe ndipo geti lifunguke
System inaweza kuwa configured. Hakuna haja ya kujaza wadangaji pale.Hujui kuwa wanalinganisha jina kwenye ID na tiketi?
Wasaidie mkuu itakuwa vizuri.System inaweza kuwa configured. Hakuna haja ya kujaza wadangaji pale.