kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8

    Huko Chato mkoa wa Geita katekista wa kanisa katoliki amekamatwa akibaka mtoto wa 8. ===== Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka nane mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi...
  2. JamiiForums Tanzania Njaa haina adabu, uliwahi kukamatwa na njaa kisawa sawa na uliituliza vipi ?

    Kuna watu wanakula mahindi ya kuchoma jioni kwa kuburidisha vinywa lakini kwa mwengine ni kwajili ya kuokoa maisha, njaa isikie tu. Kuna kipindi njaa ilinipiga kwa siku inayokaribia ya pili bila kuweka chochote tumboni, nililegea sana ila nilijifanya nina nguvu nisichekwe na wenzangu...
  3. JamiiForums Tanzania Kamanda anayeongoza vita dhidi ya Ukraine akamatwa, amechezea kichapo

    Jamaa damu zinavuja, yuko hoi.... Jameni ifike hatua Warusi watafute namna ya kumshawishi Putin aachie ujinga ili hizi aibu zipungue, ageuze majeshi yarudi nyumbani... Ukrainian media outlets and social media users have speculated that a top Russian commander has been captured as Kyiv's...
  4. JamiiForums Tanzania Sele Bonge akamatwa kwa wizi wa TV na gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limemkamata Seleman Kalembo, maarufu kama Sele Bonge na wenzake 9 kwa tuhuma za wizi na kuwakuta wakiwa na gari aina ya Noah vifaa mbalimbali vya kuvunjia nyumba, TV nne pamoja na mfuko wa kufichia TV baada ya kuiba. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda...
  5. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanamuziki Ice Prince akamatwa kwa kumteka na kumpiga afisa wa polisi

    Mwanamuziki Henry Zamani maarufu kama Ice Prince anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumteka nyara askari wa barabarani aliyekuwa amemkamata kwa kuendesha gari iliyokuwa haijasajiliwa Msemaji wa Polisi jijini Lagos, Benjamin Hundeyin amesema baada ya Msanii huyo kusimamishwa, alimwingiza...
  6. JamiiForums Tanzania Kibatala azungumzia kukamatwa ofisa TRC aliyepinga tozo

    Peter Kibatala, Wakili anayemtetea Jonas Afumwisye, aliyekuwa Ofisa wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) amesema, mtumishi huyo aliyefukuzwa kazi, amekamatwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Afumwisye alifukuzwa kazi Agosti 19, 2022 na Bodi ya TRC kwa madai ya kupinga tozo za...
  7. JamiiForums Tanzania Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

    Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI. Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara anayeuza vifaa vya magari vya wizi Ilala akamatwa, Polisi wasema msako unaendelea

    Jeshi la Polisi limemkamata Gamariel Swai (43) mfanyabiashara na mkazi wa Mbezi kwa tuhuma za kuuza spea za magari zilizoibwa kwenye magari ya watu mbalimbali. Duka lake lipo Mtaa wa Songea, Ilala. Awali, Jeshi la Polisi tarehe 23 Julai 2022 lilipokea taarifa ya wizi wa vifaa vya gari huko...
  9. JamiiForums Tanzania Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake, Sharifa Twaha Nyamaishwa (31), Kondakta wa Daladala aliyekuwa mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo...
  10. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Olimpiki akamatwa kwa kupokea Rushwa Tsh. Mil 886

    Haruyuki Takahashi ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Michezo ya Olimpiki ya Tokyo nchini Japan pamoja na watu wengine watatu wamekamatwa leo kwa tuhuma za kuchukua #Rushwa Tsh. Milioni 886.1. Waendesha Mashtaka wamedai kiongozi huyo na wenzake walipokea pesa hizo kutoka kwa muuzaji wa nguo za...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyesema SIMBA inaanzia raundi ya pili akamatwa

  12. JamiiForums Tanzania Dar: Anayedaiwa kumuua mwanafunzi wa UDSM akamatwa, akiri kufanya tukio hilo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na operasheni kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu ikiwa ni pamoja na kuwasaka wahalifu waliotenda makosa ya kijinai ya siku za nyuma katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Katika hatua hiyo Polisi wamemkamata GADI DAUDI@ tito...
  13. JamiiForums Tanzania ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Africa ya Kati

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu( ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2013 Nourredine Adam, kiongozi wa kundi la Popular Front for the Rebirth of...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Jamaa anaswa akichinja mbwa kwa ajili ya kuwauzia watu mishikaki

    Habari zenu wana JF. Pichani hapo jamaa aliekamatwa akichinja mbwa, akiwa na mbwa huyo, ameshamchinja tayari. Akijiandaa kwenda kumchuna na kumkatakata mishikaki. Wazee wa kupenda mishikaki pili pili, muwe makini na wauzaji wenu. Kuna siku watu wataanza kulishwa na paka aisee.
  15. JamiiForums Tanzania Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

    BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR...
  16. JamiiForums Tanzania Siha: Madiwani waugomea mradi wa Maji, Mbunge aagiza kukamatwa kwa Mkandarasi

    Mbunge wa Siha (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Godwin Mollel amemtaka mkandarasi aliyejenga mradi wa maji wa Gararagua kutafutwa popote alipo kwani umejengwa chini ya kiwango. Amesema hayo leo Alhamisi, Julai 21, 2022 katika Ofisi ya Bodi ya Maji, Magadini Makiwaru iliyopo Karansi wilayani humo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Isaac Mnurwa akamatwa kwa tuhuma za kusambaza video ya Rais Samia akiwa na Peter Greenberg

    Inadaiwa kuwa kijana Isaac Mnurwa amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma zinazodaiwa ni kusambaza video ya Rais Samia akiwa na Peter Greenberg. Tunaomba kufahamu ukweli wa taarifa hii.
  18. JamiiForums Tanzania Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

    Kama kweli alizua uongo acheni sheria ifuate mkondo. Japokuwa Nape sio, lakini msimsakame kama vile amefanya kwa amri zake binafsi.
  20. JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa kuchezea mifumo ya vidhibiti mwendo vya mabasi ili madereva waendeshe kwa kasi kubwa

    Issa Said Mbogo ambaye ni fundi wa vifaa vya umeme anashikiliwa kwa tuhuma za kuchezea vifaa vya kudhibiti mwendo kwenye mabasi (VTS) akidaiwa kuwa anavuruga mifumo hiyo ili madereva wa mabasi waendelee kwenda mwendo kasi. Mtuhumiwa amekamatiwa Nzega Mkoani Tabora wakati wa oparesheni maalum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…