Mwenye kujua kuhusu chuo cha afya kolandoto

Kaluluma

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
474
Reaction score
622
Habari za Leo wakuu,

Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa.

Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo,

Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo?

Japo nasikia wanafunzi wa kozi hiyo ngazi ya diploma wanapewa mkopo na serikali,

Na kama kuna chuo kingine ngazi ya diploma ambacho ni kizuri pia naomba mnitajie hapa ili niweze kufanya mizania kwenye upande wa ada na maswala mengine,

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Chuo cha radiology kilicho bora nchini ni bugando na muhimbili fuatilia huko hivi vingine ni vipya sidhani kama vina ubora
 
Back
Top Bottom