Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti
Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ?
Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti
Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ?
Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
“Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof.” Uzi huu unalenga watu wanaogopa kununua vifaa vya kielektroniki kwa sababu ya kutokuelewa vizuri, na unaleta uaminifu na ufahamu.
Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof.
Wengi wetu tunahitaji laptop au desktop — kwa kazi, shule...
Naona tumekuwa na mazuzu kila kukicha yani leo watu wanaamka asubuhi kuita media wakidai ni chama cha wachoma mkaa kimekubali uwezo wa Rais.
Sijui chama cha mapimbi na n.k
Hivi vyama vina uwezo gani yani leo Dar kukawa na chama kikubwa cha pikipiki na bajaji
Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu
Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo,
Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
Happy Easter Wana Jf,
Twende kwenye mada! Kila nchi Ina Hela yake na bila shaka Kuna sehem ambapo hizo Hela wanaziprint then serikali inaziingiza katika mzunguko.
MASWALI
Hivi kwann licha ya serikali au nchi fulan kuprint Hela zake yenyew haiwezi kuchukua zile Hela direct zilipo printiwa na...
Title ya Uzi (Mada):
Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania
Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania.
Maswali yangu makuu ni:
Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato?
Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
Nahitaji kuweka tv ukutani ,sitaki nyaya zinging inie Sasa nimejaribu kufatilia naona vitu tofauti naomba kunichagulia ipi Bora kati ya aina izo mbili za uwekaji TV ukutani? Kuweka ubao tv mbele au tv ifunike ubao
Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku.
Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande?
Au ni changamoto gani mliyokumbana...
Habari za Leo wakuu,
Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa.
Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo,
Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo?
Japo nasikia...
Siasa ni MAGAZIJUTO.
Simaanishi lissu ni perfect ila nachojua mimi siasa ni sayansi ya ku-survive pale ulipo, ku-maint power yako na kutumia nafasi hio na power yako kufikia viwango vingine vya juu kuzidi ulivyo navyo kwa sasa.
Hata hao G55 sio wahanga wa kitu chochote cha ovyo au uongozi...
Habari za jumapili wakuu,
Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa.
Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo,
Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo?
Japo...
Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa
Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate.
Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli
Gharama yake used na mpya,
Upatikanaji wake wa spare,
Specification zake.
Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.