Naomba kujua kazi ya huu ubao

Naomba kujua kazi ya huu ubao

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
323
Reaction score
1,128
Nahitaji kuweka tv ukutani ,sitaki nyaya zinging inie Sasa nimejaribu kufatilia naona vitu tofauti naomba kunichagulia ipi Bora kati ya aina izo mbili za uwekaji TV ukutani? Kuweka ubao tv mbele au tv ifunike ubao

Screenshot_20250418-230959.jpg
Screenshot_20250418-175158.jpg
 
Ina maana wewe ni kipofu huwezi kuona katika hizo mbili ipi nzuri?

Ita fundi nyumbani akutengenezee show case unayotaka atakupa catalogue zote.
 
Back
Top Bottom