kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Msaada: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  2. JamiiForums Nataka kujua kulikoni asee🤔

    Wakuu Salama!!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada naomba majibu wakubwa Mimi kijana wa 2000 (elfu mbili) ivi ni kweli inawezekana kabisa mke kunikimbia kisa eti anasema Nina mchosha sana kitandani kwenye tendo la ndoa, kabla ajaondoka alianza kuwambia majirani wa mama wa mtaa eti waniambie...
  3. L

    JamiiForums Jinsi Ya Kujua Kama Jina la Biashara Yako Linapatikana Kwa Ajili Ya Usajili

    Juzi Jumapili nilipigiwa simu na Dada mmoja anaitwa Jennifer akasema "Hellow Luhamba nimesajili jina la biashara lakini limekataliwa, naambiwa linalofanana na jina lililosajiliwa, hata sielewi nafanyaje" Nikamwambia "Jennifer ulikosea" Akashangaa sana, lakini nilichomwambia bad ya hapo...
  4. JamiiForums Msaada: Naomba kujua jina la huu wimbo

    https://www.instagram.com/reel/DKXY9NGtTdT/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Samahani wakuu, Kwa anayejua lina la huu wimbo naomba anisaidie ili nikaupakue. Natanguliza shukrani
  5. JamiiForums Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda TC Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii...
  6. JamiiForums Nimekuja Kujua Hili

    Wanaume ambao ni malaya wanaosumbua wanawake zao ni wanavibamia . 1. Huwapiga wake zao 2. Huwa wanavurugu sana 3. Huwa wanajiona wanajua 4. Wanawake wengi mno kila mtu yeye . 5. Huwa hawana amani hawajiamini na hawajipendi yaani afya zao haziridhishi. WAnaoa sana kama ni waislam . Jipya hakuna
  7. JamiiForums Apk ya kujua afya ya battery ya simu yako (android phones)

    HABARI YAKO. Najua utakua umewahi pitia changamoto kwenye simu yako (Android phones) na kujiuliza sana kua "Mbona simu yangu inawahi kuisha chaji haraka sana?" bila kujua shida ni nini. Kwa upande wa iOS devices ninamaanisha iPhones hua wanakuonesha hali ya afya ya battery yako kwa mfumo wa...
  8. B

    JamiiForums Mange Kimambi aisapoti " OKTOBA TUNATIKI" eidha kwa kujua ama kutokujua

    Kwenye post yake la Leo kuhusu Makonda amewaasa wananchi wa Arusha kutokumchagua mgombea wa mchongo( Makonda) , ambae wamepewa na CCM na badala yake wamchague mgombea wao wenyewe. Mpaka hapo ni OKTOBA TUNATIKI 2 - 0 NRNE. NRNE haikuwa na uhalisia. Bora Chadema wangeingia ulingoni halafu...
  9. JamiiForums Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
  10. J

    JamiiForums Watu Wanafanya Ibada ya Sanamu Bila Kujua

    Watu Wanafanya Ibada ya Sanamu Bila Kujua Ibada ya sanamu ni nini Mara nyingi watu wamedhani kwamba ibada ya sanamu ni kuweka kinyago hapo mbele yako na kuanza kukiabudu. Kwa upande mwingine, watu wanashangaa wenzao ambao wana vinyago majumbani, mahekaluni, kazini, nk, na wakiviabudu na kuviita...
  11. D

    JamiiForums Kila Mwanamke Anapaswa Kujua Hili Kuhusu Mvurugiko wa Hedhi

    Hedhi ni Nini Haswa? Hedhi ni damu inayotoka kutokana na ukuta wa ndani ya mfuko wa mimba (uterus) ambao huandaliwa kila mwezi kwa ajili ya ujauzito. Endapo mimba haijatungwa, ukuta huo hubomoka na kutoka kama damu ya hedhi. Wanawake huanza kuona hedhi wakati wa kubalehe (puberty) kati ya miaka...
  12. JamiiForums Kwanini watu wengi bado ni watumwa bila wao kujua?

    Habari Wakuu! Kwenye haya maisha wapo watumwa na wapo watu walio huru. Utumwa ninao uzungumzia hapa si ule ambao tulifundishwa mashuleni bali ni ule wa mtu kuchukua maamuzi kutokana na hisia zake au tamaa zake au fikra za mtu mwingine bila ya kutumia akili zake na utashi wake mwenyewe. Na watu...
  13. JamiiForums Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  14. JamiiForums Maulizo ya kutaka kujua kwa undani

    Tofauti Kati ya Police Service ya Kenya na Police Force ya Tanzania ni nini wadau?
  15. JamiiForums Mbona Peter Kibatala anahangaika kujua jina la mbwa badala ya mbwa mwenyewe aliyewàuma watu?

    Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na...
  16. JamiiForums Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

    Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi...
  17. JamiiForums Wenye Kuangalia Hii Tamthilia Naomba Kujua Jina la Huyu Mama Please

    Salaam/Shalom...! https://youtu.be/aURJp25qtdg?si=0--FAtawwgNmjrnd
  18. JamiiForums Jamiiforum naomba kujua kuna ukweli gani kwa nini mada ambazo uzushi wa ccm ya serikali zinakuwa jamiicheki ila zikiwa serikali zinafutwa

    Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
  19. JamiiForums DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

    DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi. Pia soma ~ Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni
  20. JamiiForums Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

    Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025. Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…