kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yule girl

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

    Samahani nahitaji mtu anayeweza nisaidia katika hili tuingie deal anisadie kutafuta Location ya mahali ilipo simu yangu.
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aunda tume ya kukagua Deni la Taifa na kujua ukweli wake

    Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa. Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui. Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana...
  3. C

    JamiiForums Tanzania naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

    kuna wa klabu moja nasikia pamoja na mikogo yake yote popote pale alipo analipwa shilingi laki tano tu ya mafungu
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua ama Kanisa Wanalosali hawa Mawaziri Wawili au Waganga Wao wa Kienyeji wanaowatumia au Mizimu yao wanayoitumia tafadhali

    1. Waziri Jenista Mhagama 2. Waziri Dk. Mwigulu Nchemba Sitaki Kuulizwa Swali kwanini nimewataja hawa au nimeomba hivi kwani ukiwa na Akili Timamu tu utajua ipi sababu.
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania KAMA UNATAKA KUJUA MAANA HALISI YA UZALENDO NA NCHI YAKO ANGALIA KWA WAKENYA

    Kiukweli ndani ya Africa mashariki na Kati hakuna nchi yenye wananchi wenye UZALENDO NA uchungu na nchi Yao kama wakenya. Hawa jamaa wamekunywa maji ya bendera sio poa, nchi nyingine MASKINI na zisizo na UZALENDO NA DEMOCRACY ya kweli zinanatakiwa ziangalie WAKENYA. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥
  6. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

    Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe

    Habari wakuu, Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe kwa kutumia cheti chake? Naomba pia kujua changamoto kubwa au vikwazo ambavyo unaweza kukutana navyo katka kufungua dental clinic. Shukrani.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamka vibaya, nakusudia kwenda kumuona Waziri wa Michezo na Waziri wa Viwanda na Biashara kujua Transformation ya Simba itakamilika lini

    Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken. Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited? Mwaka zaidi ya wa3 bado...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli kuhusu wanyonya damu

    Zamani ilisemekana kulikuwa na watu kazi yao ni kunyonya watu damu na story nyingine zinasema walikuwa pia wakichuna ngozi ila sasa kama ni kweli nataka kujua Ilikuwa ni watu binafsi wakifanya hio biashara au walikuwa wakitumwa na serikali? Siamini kama serikali ingeweza kufanya hivyo sio rahisi.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Mahindi eneo ulipo

    Asalaam, Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo. Ahsanteni.
  12. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

    Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
  13. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

    Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
  17. amir_halla

    JamiiForums Tanzania Wadau samahani naomba kujua Njia ya kusafirisha Honda kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma

  18. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua duka la vitabu ambako nitapata vitabu hivi.

    Kama kichwa cha habari hapo juu naomba mtu anaeweza kuniambia duka la vitabu kwa kupata vitabu hivi
  19. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei za Electric Motor na eneo zinapopatikana

    Wakuu Asalaam, Leo nimeamka na majanga, kiwanda changu kidogo kimeungua Electric motor yake Naomba kujua Motor ya HP 20,25 na 30 zinauzwaje na eneo zinapopatikana kwa mtaalam. Nashukuru kwa muda wenu.
  20. Cecil J

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba kujua kuhusu shule ya Turkish Maarif School Of Zanzibar

    Habari wanaJamiiForums! Naomba nisiandike mengi, naomba kupata taarifa kuhusu shule Turkish School of Zanzibar. Natamani kujua mazingira ya shule, ada na mengine mengi
Back
Top Bottom