kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mzee Mwinyi baada ya kujiuzulu Uwaziri, Abdalla Natepe alimzuia kuchukua mali zake kwenye makazi ya Waziri

    Mzee Mwinyi alijiuzulu Uwaziri Mambo ya Ndani mwaka 1977 na Nafasi yake kuchukuliwa na Mzee Natepe. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri Mzee Mwinyi kutoka katika nyumba ya Waziri arudi kwao Zanzibar ili yeye aweze kuishi hapo kama Waziri. Ilikuwa shida kidogo maana Mzee Mwinyi bado...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Walemavu washikiniza Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu mkataba wa bandari

    Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine --- Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Utamaduni wa Kujiuzulu ni Uungwana na Njia Bora ya Uwajibikaji

    Utangulizi Katika mambo magumu katika nchi nyingi zinazoendelea hasa za Bara la Afrika, ni kujiuzulu au kwa maneno mengine, kuachia ngazi kwa viongozi katika nafasi wanazozishikilia pale ambapo mambo yanaharibika katika taasisi wanazoziongoza. Ninapozungumzia juu ya kujiuzuli au kuachia ngazi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwasheria Mkuu ajiuzulu kwa lipi?

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali anaandamwa eti ajiuzulu kwa kashfa ya nchi kusaini mkataba wa Bandari na Dubai, yeye kosa lake ni lipi ikiwa hakuna saini yake kwenye mkataba huo? Kwanini mnamuacha aliyehusika kusaini mkataba mnataka kumuangushia jumba bovu Jaji Feleshi?
  5. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

    Haya yanayoendelea yanaonyesha udhaifu na kukosa uwezo wa kiuongozi na kimaono kwa kiongozi. Kama kiongozi makini unatakiwa utumie busara na akili nyingi kudadavua mambo.Kabla ya jambo hili kufika bungeni lilipaswa kumalizwa huko huko. Hasara ya kufikisha jambo hili bungeni ambapo kuna chawa...
  6. JamiiForums Tanzania Boris Johnson ajiuzulu Ubunge kwa shinikizo

    Johnson ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza na baadaye kujiuzulu kutokana na sakata la Brexit, amefikia uamuzi baada ya Kamati ya Haki za Bunge kubaini alipotosha Bunge na hivyo kupendekeza asimamishwe Ubunge kwa siku 10. Mbunge huyo wa chama cha 'Conservative' kutoka Majimbo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tulimsuta Ndugai akaomba radhi na kulazimishwa kujiuzulu. Leo mnalia nini?

    Leo ni michano Kuna watanzania ni machiriku wa kuongea. Wanaongea bila hata kujua maana ya wanachokiongea. Desemba 28 2021 Spika wa Bunge Ndugai alikosoa kasi ya ukopaji inayofanywa na serikali akitoa tahadhari kuwa kuna siku nchi itakuja kuuzwa. Wakali wa verse wakalipuka kuwa anaisaliti na...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania John Ngumi ajiuzulu kutoka bodi ya Ndege ya Kenya (KQ) baada ya miaka minne

    Picha: John Ngumi Mshauri wa uwekezaji na mzoefu wa bodi John Ngumi amejiuzulu kutoka Bodi ya shirika la ndege la kitaifa Kenya Airways (KQ) baada ya kutumikia chombo hicho kwa miaka minne. Aidha, Mwenyekiti wa Bodi ya KQ, Michael Joseph, ametoa taarifa maalumu ya kujiuzulu kwa John Ngumi...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugai amtaja Malecela kujiuzulu kwake

    Dodoma. Zikiwa zimepita siku 496 tangu Job Ndugai ajiuzulu uspika wa Bunge, amesema Waziri Mkuu mstaafu, John Malechela ndiye alimshawishi kuchukua uamuzi huo. Alitoboa siri hiyo jana katika mazishi ya William Malecela, maarufu ‘Le Mutuz’, mtoto wa Malecela, yaliyofanyika Mvumi, wilayani...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la TANAPA ni lazima Waziri wa Maliasili ajiuzulu

    Poleni sana wana Mbarali, Jana nimemfuatilia Mbunge wa Mbarali Mtega akielezea kwa huzuni kubwa jinsi Watumishi wa TANAPA walivyowatesa wananchi wa vijiji vinanvyopakana na hifadhi kwa kuwachapa na kuwavua wanawake nguo zao na kubaki uchi, kuwapiga mbuzi na mbwa kwa risasi za moto na kuwauwa...
  11. JamiiForums Tanzania Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment

    Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment By Rédaction Africanews with AFP Last updated: 28/04/2023 Major General Jeff Nyagah - Copyright © africanews cleared The Kenyan commander of the East African Community Regional Force deployed to halt the advance of an...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anathibitishwa na Bunge hivyo wa kumwambia ajiuzulu ni Rais, Bunge au CCM lakini si CHADEMA

    Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu. Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge. Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa. Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM. CHADEMA pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu...
  13. JamiiForums Tanzania Rais alipaswa kujiuzulu baada ya report ya CAG

    Baada ya report ya CAG kuweka wazi wizi na madudu yanayoendelea huko serikalini, Kiongozi makini na mzalendo alipaswa kukaa pembeni kupisha uchunguzi. Lakini tujiulize, Kiongozi aliyeteleza kwa kuzungumza hadharani, iwe kwa ukweli au kwa uongo kwamba "kuna siku nchi itapigwa mnada kwa madeni"...
  14. JamiiForums Tanzania Lini Simba itafikia ubora wa Yanga Ligi Kuu? Kocha aondoke/abaki?

    Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw. Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga...
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa Soka Ufaransa ajiuzulu baada ya ripoti mbaya ya ofisi yake na tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014. Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, Jaji Biswalo anapaswa kujiuzulu haraka

    Leo Januari 31, 2023 Rais Samia amezungumzia suala la Plea Bargain, utaratibu wa Makubaliano ya Kumaliza Kesi kwa Kulipa Fedha kwa Serikali ambao ulitumika wakati wa Utawala wa Hayati Rais Magufuli chini ya DPP Biswalo Mganga aliyeondolewa na kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, huku akieleza...
  17. JamiiForums Tanzania Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

    CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota. Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14. Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe ajiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Wana CHADEMA wengi hawana imani naye

    Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta. Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana...
  19. JamiiForums Tanzania New Zealand: Waziri Mkuu atangaza kujiuzulu

    Jacinda Ardern (42) amesema ataachia ofisi kabla haijavuka Februari 7, 2023 kwa kuwa anahisi hana nguvu ya kutosha kuendelea kushika madaraka hayo. Ardern alikuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mdogo Mwanamke alipoteuliwa kushika nafasi hiyo akiwa na umri wa miaka 37 Mwaka 2017 kisha mwaka...
  20. JamiiForums Tanzania Tunisia: Wananchi waandamana wataka Rais ajiuzulu

    Wananchi hao zaidi ya elfu moja wamemtaka Rais Kais Saied kuachia ngazi kutokana na mzozo wa kisiasa na kiuchumi unaoendelea. Wakiandamana katika Mji Mkuu wa #Tunis huku wakipata upinzani kutoka kwa Askari katika baadhi ya maeneo, wamedai licha ya kumuunga mkono kiongozi huyo lakini Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…