kujiunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

    Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi? Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

    Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
  3. JamiiForums Tanzania HOJA Muda wa kujiunga na Mfumo wa Ukaguzi vyombo vya moto (MIMIS) uongezwe, badala ya Julai 31, 2026

    Wamiliki wa magari wakisubiri kuongia Ofisi ya Usalama Barabarani Kituo cha Polisi Kawe. *** Serikali, kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ilitoa siku 21 kwa wamiliki wa vyombo vya moto kuhakikisha wanaviingiza katika Mfumo wa Uratibu wa Ukaguzi (MIMIS) na kukamilisha taratibu zote...
  4. JamiiForums Tanzania Najuta kujiunga na jeshi la polisi

    Hiii sio kazi ni presha Kila mtu boss wako Unakaa kwa Machale Kazini chuki, mtaani chuki Rushwa kila kona Ama kweli najuta kuwa polisi
  5. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD)

    Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD). Mwongozo wa TCU unaeleza kuwa mwombaji anatakiwa awe alisoma somo la Physics katika ngazi ya O-Level. Je, wanafunzi waliosoma katika shule za ufundi (Technical Secondary Schools), wakasoma mchepuo wa Science...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wote wa Mbaga na wenye mpango wa kujiunga na darasa lake

    MASTURBATION/PORN ADDICTION “ DON’T DESTROY LIFE FOR 5 SEC PLEASURE. ” SIDE EFFECTS OF MASTURBATION/PORN × It makes you weak physically and mentally. × Your body shape gets worse. × You feel tired all the time. × No confidence – You always feel low. × You walk with your head down. × You...
  7. JamiiForums Tanzania Godbless Lema atakapobanduliwa chadema unadhani anaweza kujiunga na chama gani cha siasa nchini?

    Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani. Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema, Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
  8. JamiiForums Tanzania Anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana

    Kutokana na uzoefu wangu binafsi, nashauri mtu yeyote anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana kabla ya kufanya malipo. Nilifanya malipo kwa matarajio ya kuunganishiwa huduma kwa muda uliotajwa, lakini hadi sasa nimepitisha zaidi ya miezi miwili bila kupata huduma kama...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-DED, maofisa Utumishi wadaiwa kuzuia walimu kujitoa CWT, kujiunga na vyama vingine

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 20(1) inasema, “Kila mtu anao uhuru wa kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika, kushirikiana na watu wengine, na kwa ajili hiyo kutoa mawazo yake hadharani na kuanzisha na kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Inawezakana kweli maalim Seif kajutia kuungana na ACT wazalendo. Chama kimekufa Zanzibar

    Nilipotembelea Zanzibar hivi karibuni, nilibaki na maswali mengi kuhusu hali ya ACT Wazalendo. Chama ambacho kilikuwa na mvuto mkubwa wa kisiasa, kilichokuwa na mikutano yenye hamasa, matawi yenye shughuli na wanachama waliokuwa na matumaini makubwa, leo kinaonekana kupoteza nguvu zake kwa kasi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu wahitimu kidato cha 6 kujiunga na JKT

    Wakuu habari za muda huu. Naomba kuuliza utaratibu wa wahitimu wa kidato cha 6 kujiunga na JKT kama bado ni hiyari au kwa sasa ni lazima? Na kama ni lazima,mafunzo hayo huanza mwezi gani kwa hawa ambao wamehitimu kidato cha 6 mwaka huu?
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Ndugu waungana kumkata mikono jamaa kisa ameaga uislamu na kujiunga Ukristo

    Baba yake alibariki huo ukatili na kusema sharia ya kiislamu inaruhusu kumfanyia chochote baada ya yeye kuaga hiyo dini ya muarabu. Niliona pale Kampala idadi ya waislamu kama inazidi kuongezeka, haya matukio yataongezeka sana kwa mzee Museveni, kajizeekea na kuacha nchi iendelee kuharibika...
  13. JamiiForums Tanzania Fursa Kwa mafundi, clients na wauzaji wa vifaa vya Ujenzi......Kuna link kujiunga na sisi

    🏗️ FURSA YA UJENZI & CONNECTIONS TANZANIA NZIMA! 🇹🇿 Je, wewe ni Fundi stadi, Muuzaji wa vifaa, au Mwenye nyumba unayetafuta huduma bora? Huu ndio mchongo wako! Tumeanzisha Group la UJENZI & CONNECTIONS TZ kwa lengo la kuunganisha wataalamu na fursa nchi nzima. 🛠️ KWA MAFUNDI (Fani Zote)...
  14. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  15. JamiiForums Tanzania Nawezaje kujiunga Telegram?

    Nina shida kubwa sana na mtandao wa Telegram Ila nashindwa kujiunga naambiwa Hadi nilipie je kuna ujuzi WA kujiunga bila kulipia?
  16. JamiiForums Tanzania UAE yafikiria kujiunga na Marekani kulinda mlango wa Hormuz / Diplomasia na Iran, tia maji-tia maji

    Dkt. Anwar Gargash, ambaye ni mshauri wa kidiplomasia wa Rais wa UAE, amethibitisha leo (Jumanne, Machi 17, 2026) kuwa UAE inaweza kujiunga na juhudi za kimataifa zinazoongozwa na Marekani ili kulinda usalama wa njia ya maji ya Strait of Hormuz. Gargash alitoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake watakiwa kujiunga na kundi la tff

    Kuna video inasambaa mtandaon ikimuonesha kamanda wa mkuu wa kike wa tff ikiwataka wanawake kujiunga kwa wingi katika kund hilo ili kupigana kwa kile wanachokidai kulipigania taifa kwa kutumia silaha Nawaza tu kund hili likishirikiana na alshabab au isis tu itakuaje??
  18. JamiiForums Tanzania Responded Mwenyekiti wa Bodi: Shule ya Sekondari Nyampulukano idadi ya Wanafunzi waliohitaji kujiunga kwetu ni wengi kuliko uwezo wa shule

    Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau mbalimbali kujitolea kujenga bweni jipya litakaloongeza uwezo wa shule hiyo kupokea wanafunzi wengi zaidi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza nafasi za kujiunga kujitolea

    Wakuu, Tukajitolee kujenga taifa jamani:Alien::Alien::Alien: ---------- Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, amewahimiza vijana wa Kitanzania wenye sifa kujitokeza kujiunga na nafasi za kundi la kujitolea. Mpango huu unalenga kuwajengea vijana uzalendo, umoja wa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kuna haja watu kujiunga na mitandao ya kijamii kwa taarifa zao sahihi za NIDA hasa JF

    Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada. Sasa dawa yao ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…