kujifunza

  1. Tman900

    JamiiForums Tanzania Tembea ufurahishe akili na ujifunze

    Unapotembea unajifunza na kufurahisha Akili. Maisha ni Kufurahi kile kidogo ambacho Mungu amekujaria Sema Asante, ikiwa wewe ni Mkristo/ Muilsmu au Mtu usie na Dini, ila unaamini ktk Mungu Furahi na Kutembea Sehemu ambazo unaona unaweza Fika, Jana Na Leo Nipo Kabwe, MBEYA, nimefurahi kua hapa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania KAMA WAZAZI NA PIA WATOTO KUNA LA KUJIFUNZA HAPA.

    Hii clip imenifikirisha sn km mzazi na km mtoto kwa wazazi wangu. Ndiyo maana nikaileta hapa ili wengine nao wapate kujifunza jambo. NB. Tuchangie hoja km wazazi au watoto wa wazazi wetu siyo kuingiza mahaba ya u SIMBA au YANGA. Kuna somo kubwa sn hapa.
  3. Mbepo yamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wote humu mna la kujifunza hapa

    Mambo yanapokuwa magumu kwenye maisha wanawake zetu hawa huwa na kawaida ya kurusha lawama kwa waume/wanaume zao na kupelekea wakati mwingine psychological implosions among men. Nawaambia leo. Hata kama huoni kwa macho yako ya kawaida, wanau.e hutoa jasho lao la mwisho kwa ajili yenu...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa YOUTUBE kumbe unaweza kujifunza udereva kupitia video tutorial

    Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani. Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi. Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
  5. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Naomba Kuuliza, Sio Kwa Ubaya Lakini Ni Katika Kujifunza... Ni Kuhusu Jumamosi..

    Good Sunday Ladies And Gentlemen... Miaka Kadhaa Nyuma Kulikua Na Kampeni Kabambe Kila Jumamosi Ya Kwanza Ya Mwezi Na Kila Mtu Aliiheshimu Kama Sio Kuiogopa Kabisa Siku Hiyo... ..Ni Siku Ya Usafi Kwa Nchi Nzima. Hivyo Iliwalazimu watu wote, Sekta Zote, Biashara Zote Na Kila Kinachofanya Kazi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda kujifunza kusuka amplifier na pre AMP zake nitafute

    Ukiwa na idea hautapata shida sana ila kama hauna msingi wa umeme kabisa itachukua muda kidogo mpaka kukaa sawa, mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0615476645
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Wahubiri na waumini kuna jambo la kujifunza hapa

    Nimemsikiliza mtumishi huyu, nimejifunza jambo muhimu sana katika kujiimarisha kiimani Nawe msikilize https://www.facebook.com/reel/8974835319238058
  8. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto anapaswa kujifunza kwa Mwakyembe

    Huyu mtawala wa Kenya amejawa na kiburi sana, anawaambia raia wake hakuna mtu anayeweza kumwambia kitu, yeye ana PhD na hajui hata wengine wamesoma wapi!
  9. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walimu mnaweza kujifunza kupitia huyo mtoto!

    Hivi ndivyo inavyokuwa wazazi wanapoweka kipaumbele kwenye elimu badala ya burudani. Hebu fikiria iwapo watoto wengi zaidi wangeanza kusoma kama hivi wakiwa na umri mdogo. 📚
  10. Zemanda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti, kuna la kujifunza hapa

    Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake. Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line...
  11. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Tusipangiane maisha

    Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho?
  12. BonventureSr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ina Mengi ya kujifunza kwa CHADEMA Kwenye Uchaguzi

    Wote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi, Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
  13. D

    JamiiForums Tanzania CCM wana cha kujifunza kutoka CHADEMA kwa hii Demokrasia iliyokomaa wanayoionesha

    CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa. CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja. CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
  14. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa Wazazi: Kumlipia Mwanao Ada English Medium bila juhudi zako binafsi kumchochea kujifunza nyumbani ni kazi bure kwa asilimia kubwa

    Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto? Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wanasiasa wengine wana mengi ya kujifunza kutoka wa Dosa Azizi

    Nimeona mh Mbowe akitaja fadhila ambazo amemfadhili mh Tundu Lissu tangu walipokutana mwaka 1995 na kuamua kushirikiana naye katika harakati za kisiasa nchini. Wahenga wanasema, "tenda wema uende zako" na sio kusubiri fadhila. Mwl Nyerere aliwahi kupewa nyumba ya kuishi na marehemu Dosa Azizi...
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Tutie bidii kujifunza Kingereza, lakini tusikidharau Kiswahili chetu

    Inawezekana idadi ya Waganda wanaojua Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaojua Kimalkia, lakini si kila Mganda anajua Kizungu. Nililijua hili kwa mara ya kwanza mwaka Jana baada ya kufika Kampala kwa muda mfupi, lakini safari hii nimepata uzoefu mpana zaidi. Japo kuna boda boda na...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Dini kama janga linalofukarisha wasiotaka kushtuka, kujifunza, kubadilika, kubuni , na kuchapa kazi

    Japo dini ni hazina tofauti na uganga wa kienyeji, upiga ramli, na utapeli, ni wachache wanaoelewa hivi. Hebu angalia namna dini zinavyotufanya waswahili tuwe maskini tukitajirisha wale waliozileta. Mosi, zina mfumo wa kuwatoa waumini kodi kwa njia haramu kama vile fungu la kumi, michango...
  18. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Misingi minne ya maisha unajituma na Lipi ?

    Mada yangu ni ujuzi wa mapenzi na maarifa Mengine.. 4 fundamental of life i. Money and Power ii. Sex iii. Food and drink iv. Umaarufu (fame) Haya yote manne yanahitaji uchakalikaji sana na kujituma ili kuyatawala. ............ Ni Mungu humpa kila mmoja ufundi katika jambo husika, au kupata...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mtifuano wa Tundu Lissu na Anna Makinda Bungeni. Nini cha kujifunza?

    Salaam Wakuu, Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda. Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza? Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Usipoteze muda kucheza games zisizo na tija, cheza "Simulator games" kujifunza ujuzi, kuongeza maarifa na fursa za kimaendeleo

    Simulator Games ni michezo inayolenga kutoa uzoefu wa maisha halisi kupitia mazingira ya kidijitali. Michezo hii inahusisha kuiga shughuli mbalimbali za kila siku au za kitaalamu, kama vile kilimo, udereva, upishi, au hata ueubani, n.k. michezo hii huweka mazingira halisi yanayosaidia wachezaji...
Back
Top Bottom