Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais.
Pili ni mtu asiyeamini katika kazi za Rais Samia, Tulia hakuwahi kuvaa barakoa wala kuhamasisha chanjo hadharani sio ndani wala nje ya...
HOSPITALI 10 zitajengwa Unguja na Pemba ndani ya kipindi cha miezi sita, hatua itakayoboresha kwa kiwango kikubwa huduma za afya Zanzibar.
Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Wazee, Nassor Ahmed Mazrui wakati akiwapa taarifa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusu...
Katika hali ya Kushangaza sana mamlaka za mkoa wa Tabora zimeruhusu kanisa la wahuni kujengwa katikati ya barabara na kuziba barabara katika mtaa wa Kariakoo , kata ya Kitete , wilaya ya Tabora mjini , mkoa wa Tabora .
Licha ya kikundi hicho kinachojiita kanisa kutokuwa na kibali cha ujenzi...
Wadau habari za majukumu
Napenda nianze kwa kumpongeza Rais wetu Samia kwa kuona changamoto ya upungufu wa madarasa nchini
Na ndiyo maana alipo pata pesa za IMF Kupambana na COVID-19 akazipeleka mashuleni kila wilaya kujenga madarasa mapya sasa maagizo ndo tatizo.
Madarasa hayo yameamuriwa...
Nimezunguka sehemu nyingi Hasa mikoa ya pwan naona wanajenga vihifadhi maji vya chini. Ndan ya ardhi. Sasa mimi nimeona kwangu havitanifaaa. Nataka nijenge kisima Cha kuhufadhi maji Cha juu, sio Cha ardhini chini.
Sasa nataka kujua ubora wake na nini Cha kuzibgatia Kwan nataka nitumie tofali...
Saalamu wanaJF,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika
Zahanati hapa Tanzania nyingi zimekuwa zikijengwa sehemu ambazo ni karibu tunapoishi . Hii ni nzuri kwa sababu ya ‘easy access’ pale mtu anapopatwa na tatizo la kiafya linalohitaji uangalizi wa haraka hiyyo anaweza kupata msaada...
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.
Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo.
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.
Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.