kujengea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Uhamiaji wafafanua kampeni ya 'mjue jirani yako' kujengea wananchi uzalendo kutoa taarifa za uhalifu na wahamiaji haramu

    Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Paul John Mselle ametoa ufafanuzi kuhusu kampeni mpya ya “Mjue Jirani Yako”, akisema inalenga kuongeza usalama wa kijamii na taifa kwa ujumla. Akizungumza na Morning Jam ya Capital Radio, Mselle amesema kampeni hiyo ni...
  2. dr namugari

    Jirani yangu ameninyima maji ya kujengea

    Katika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha kuseti msingi jmaaa akanijeuka mazima wakati nimemuambia nitalipia bill yote itakayo jitokezaa kwa...
  3. kavulata

    Serikali piga marufuku kujengea makaburi kwa zege za marumaru.

    Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia. Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa. Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa...
  4. stabilityman

    Hizi hapa Sifa za zege zuri kwa kujengea na Eng James

    Sifa za zege zuri kwa kujengea ni pamoja na: 1. Uimara: Zege linapaswa kuwa na nguvu ya kutosha kubeba uzito wa majengo na kuhimili mzigo wa muda mrefu. 2. Upinzani wa Maji: Zege bora huwa na uwezo wa kuzuia maji kuingia, hivyo kupunguza hatari ya kuoza au kuharibika kwa majengo. 3. Uwezo wa...
  5. Akilindogosana

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, hadi 1000 kwa sqm 1 au 500 kwa sqm 1. Ili kuongeza ajira kwa vijana kupitia viwanda vidogo

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
  6. Kipenzi Changu

    Kujengea kwenye simu: Inatia uchungu sana

    https://www.youtube.com/watch?v=lLChdeK88RY
  7. M

    Makaburi ya waislamu Segerea yanatoa funzo kubwa suala la kutunza ardhi. Serikali ikemee kujengea Makaburi yote

    Habari wadau. Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea. Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
  8. D

    Chimbo la angle/trunk za chuma za kujengea dari pamoja na gypsum

    Wakuu naomba mwenye kujua bei za vile vyuma vinavyotumika kujengea dari. Huwa zinatumika pamoja na gypsum. Majina ya mafundi wanaziita angle au channel au trunk. Naomba kujua duka na bei zake.
  9. Tanki

    Msaada: Wapi nitapata zile mbao za kujengea kibanda Cha biashara ( Nipo Tabata DSM )

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nitashukuru zaidi kama nitapewa na bei zake. Natanguliza shukrani. Ubarikiwe
  10. Kiplayer

    Siungi Mkono Kujengea makaburi

    Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo. Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
  11. M

    Ni halali kujengea makaburi?

    Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi? Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
  12. kabugira

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu
  13. M

    Mwigulu acha kupanick, jibu hoja za Luhaga Mpina. Kwanini utumie reserve ya dola kujengea madarasa nje ya bajeti? Mbona awali hukusema kweli?

    We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi. Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti. Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
  14. H

    Je, kujengea nondo kwenye frem ya duka kunahitaji kibali manispaa?

    Habari ndugu. Nina fremu ya biashara nauza maji na vinywaji kwa bei ya jumla lakini kwa sababu ya ufinyu wa nafasi nimeamua kujengea nondo mbele ya frem ili angalau kuweka bidhaa ambazo zimekosa nafasi ndani (nadhani wengi tumeona maduka mengi ya vinywaji wanavyofanya.). Sasa, kama kichwa cha...
  15. Nyankurungu2020

    Je, mkopo wa tril 1.3 wote umetumika kujengea madarasa? Vipi kuhusu madarasa yaliyokuwa yanajengwa kwa tozo za miamala? Ukaguzi ufanyike tupate ukwel

    Ni suala ambalo watanzania bado linawaumiza kichwa maana kwa tozo tunazokamuliwa alafu tukaambiwa na Ummy Mwalimu kuwa tozo zinatumika kujenga madarasa, zahanati vituo vya afya na kununua vifaa tiba. Ghafla bin vuu tukasikia ili kukabiliana na uhaba wa madarasa mkopo wa Uviko upatao tril 1.3...
  16. Sky Eclat

    Utaratibu wa kujengea makaburi zamani walimudu wachache wengi waliweka alama za miti kwenye makaburi ya wapendwa wao

    Miaka ya hivi karibuni imekua ni wajibu kujengea kaburi. Mpaka miaka ya 60, si wengi walimudu gharama za kujengea kaburi. Baada ya mazishi mlisubiri mvua na kupanda tawi au shina la mti pale kwenye kaburi. Mvua zikikatika mti unakua umeshaota na kushika. Hii ndiyo alama ya kukumbuka kaburi...
  17. K

    Tamisemi kuweni makini na yanayoendelea kwenye mgawanyo fedha za ujenzi za kujengea Hospitali na Shule

    Habari wanajukwaaa. Mimi ni mdau wa elimu na pia wa maendeleo ya wananchi kwa nimekuwa mfatiliaji mzuri wa maswala ya ujenzi hasa kipindi hiki ambacho tamisemi kupitia Rais wetu Samia Suluhu wamezamilia wanafunzi wote watakaoanza kidato cha kwanza mwakani waripoti wote.Lakini nimegundua...
  18. mahunduhamza

    Hadithi za zamani

    Imesimuliwa na Zubeda Abdalla Omar Alitokea Chanjagaa akajenga nyumba akakaa, mwanangu Mwanasiti kijino kama chikichi, cha kujengea vikuta na vilango vya kupita. Hapo zamani za kale alikuwepo bwana mmoja, aliekuwa na wake watatu mmoja alikuwa mwizi. Yule bwana alikuwa anafuga mbuzi, siku moja...
  19. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  20. eliakeem

    Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa

    Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa...
Back
Top Bottom