kujengea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa

    Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hivi vifaa vya kujengea nyumba za viongozi huwa vinanunuliwa wapi? Nyumba moja kugharimu milioni 838

    Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini? === Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
  3. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?

    Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani? Nahitaji ramani pia
Back
Top Bottom