Gharama ya kujenga frame moja

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
4,307
8,904
Hello wakuu, kuna mahali nataka kuweka biashara, sasa hakuna frame (chumba) so nataka nijenge mm kwa makubaliano na mwenye eneo,

ENeo la frame ni sqm 35 (7*5), hivyo naomba wazoefu wa ujenzi mnisaidie kukadiria gharama za ujenzi wa eneo hilo, nje sitapakarabati sana, nitakarabat kwa mbele tu ila ndani nitaweka tiles, gypsum na rangi,
Hakutakuwa na dirisha,
 
kuwa makini kwenye maandishi mtakayoandikishana. Mkisema tu ardhi ni ya jamaa basi inaweza ikala kwako, trust me.

Kuhusu ujenzi watakuja kukupa muongozo ila hapo inaweza cheza 3.5mil - 5Mil plus na choo. Japo sijaona unataraji kujenga chumba cha aina gani, sakafu, paa, tofali, n.k na eneo kiwanja kilipo pia upatikanaji wa materials nao.
 
Kama unajenga bila mbwembwe Milioni 3 mpaka 5 kutegemea na ukubwa wa fremu.

Binafsi nimejenga fremu hii mwezi uliopita. Nimetumia milioni 3 na laki 4 kila kitu. Hapo Mpaka geti na mlango aluminium ( size futi 7 x futi 6)

20240811_145543.jpg
 
kuwa makini kwenye maandishi mtakayoandikishana. Mkisema tu ardhi ni ya jamaa basi inaweza ikala kwako, trust me.

Kuhusu ujenzi watakuja kukupa muongozo ila hapo inaweza cheza 3.5mil - 5Mil plus na choo. Japo sijaona unataraji kujenga chumba cha aina gani, sakafu, paa, tofali, n.k na eneo kiwanja kilipo pia upatikanaji wa materials nao.
Ahaaaaa najenga chumba chenye tiles mkuu
 
kuwa makini kwenye maandishi mtakayoandikishana. Mkisema tu ardhi ni ya jamaa basi inaweza ikala kwako, trust me.

Kuhusu ujenzi watakuja kukupa muongozo ila hapo inaweza cheza 3.5mil - 5Mil plus na choo. Japo sijaona unataraji kujenga chumba cha aina gani, sakafu, paa, tofali, n.k na eneo kiwanja kilipo pia upatikanaji wa materials nao.
Ahaaaa mkuu,
Choo ya nn tena 🤣 bongo hatujengi choo hahah
 
Wakuu, michango yenu bado naihitaji hapa
Mwaka jana nilitaka kujenga fremu nikaambiwa bajeti ya kwanza ilikuwa 2.5M kuinyanyua kuanzia tofali mpaka inaisha ikiwa haina mlango wa bati wa kushusha. Nyingine ilikuwa ni chumba cha kupanga kipo barabarani kilikuwa kinabadilishwa matumizi na kitazame mbele. Nilitakiwa kulipa 1.2M.
Zote hizo tiles, kuezeka, rangi vipo. Nilikuwa na haraka nikaziacha hivyo sikufuatilia kama gharama ni halisi.

Kuhusu umakini hilo ni suala la kawaida kabisa kwa wajasiriamali wanajua, wanaokutisha ni wale wanaoleta habari za ndoa kwenye biashara. Ukitaka kujenga mwenyewe tazama kodi ya flemu eneo hilo ni kiasi gani, kama mfano kodi ni 200k kwa mwezi, gharama ya ujenzi iwe around 200k × 12 months. Kama kodi ni 150k basi gharama iwe around 150k × 12 months. Mkataba mzuri kwako ni unajenga na unaruhusiwa kupanga pale kwa miaka isiyopungua miwili kwa malipo ya kodi ileile.

Unatoa hela mwanzoni inajengwa, na hapo unahusika kusimamia ujenzi kwa ubora unaotakiwa. Waswahili wana tabia ya kulipua na kutumia materials za gharama kidogo wabaki na chenji. Pia uwe na hesabu ya roughly kipi kinahitajika kufanya justification ya bei. Na uwe na hela ya ziada always huwa hesabu ya mwanzo haitoshi.
 
Ahsante sana boss
 
Back
Top Bottom