kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli kuishi bila social media?

    Nauliza tu jamani, Hivi mtu unaweza tumia mbinu gani kwa hali ya sasa Ukae mbali kabisa na kutumia Social media, yaani uweze kutumia simu ya kitochi tu!
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuishi miaka mingi ni ishu ya Asili ya ukoo wenu

    Kwema Wakuu! Kila ukoo unasifa zake. Unabaraka zake. Wapo waliobarikiwa Sura nzuri, wapo waliobarikiwa urefu, nguvu na wengine Akili. Pia wapo waliobarikiwa kuwa na uzao mwingi. Wapo waliobarikiwa asili ya Utajiri. Na wengi asili Yao ni umasikini. Kila kitu kinaenda Kwa Mkondo. Kitu pekee...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019, matatizo yamekuwa yakiniandama bila suluhisho na nimejaribu kutafuta ajira sehemu mbali mbali bila...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani sahihi ya kuishi, na mwanamke uliyezaa naye; bila kuathiri ndoa iliyopo?

    Kuzaa nje ya ndoa kumekuwa na changamoto nyingi sana, baadhi ya changamoto ni kama zifuatazo:- Mzazi mwenzako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa Mtoto kupata mahitaji yake ya lazima Mtoto kutaka kuwa karibu na baba yake Mzazi mwenzako kukuhitaji muda ambao sio rafiki kwako Mzazi mwenzako kuwa na...
  5. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

    Nimebahatika kujenga nyumba mitaa hii ya Mbezi Msakuzi. Mimi kwa sasa nina jumla ya watoto sita kutoka kwa mama tofauti. Je nifanyeje niwa convince 😋 niishi nao wote nyumba moja? Napenda kuona watoto wangu wakiishi wote pamoja na Baba yao, wacheze pamoja na wale pamoja. Niwafundishe maadili...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Huenda Samia amejipanga kuishi na wapinzani ki-laghai kama alivyoishi nao bwana yule

    Historia bado itamkumbuka Rais Kikwete kwa kuishi ki laghai na wapinzani wake muda wote wa uongozi wake. Rais kikwete alifahamu vyema mdundo wa kina Mbowe na Lisu na hakika aliucheza vyema kwa kuwahadaa na hata walipodemka huko katika mikutano ya hadhara kwanza aliwachapa sawasawa kwa...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Watanzania tufanye yote lakini tusifike hatua ya kupuuza familia na kuishi maisha ya kipweke kama haya yanayotokea Japan

  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

    Mada juu yahusika. Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni. Mara xax, Xmas, meme, ko n.k Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika. Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni? Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Hakuna tatizo Wamasai kuishi na wanyama Ngorongoro

    Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa “Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  11. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani

    Je Mfalme Mansa Musa kutoka Mali ndiye aliyekuwa tajiri zaidi duniani? 11 Juni 2019 Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos ndiye mtu tajiri zaidi duniani , kulingana na orodha ya jarida la Forbes la 2019 iliotolewa wiki hii. Akiwa na mali yenye thamani ya $131bn (£99bn) ndiye mtu tajiri zaidi...
  12. safuher

    JamiiForums Tanzania Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana? Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo. Kuna watu wana...
  13. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania NASA wanatafuta mtu wa kumlipa ili aishi mazingira ya sayari ya Mars yaliyojengwa Marekani

    Habari wadau Kama umri kuanzia Miaka 30-55 fursa hii hapa mkwanja mrefu utatolewa, wale wazee wa kujilipua kazi kwenu. ===== The space agency is looking for paid volunteers to spend a year living in Mars Dune Alpha, a Martian habitat based in Johnson Space Centre in Houston, Texas. The...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kuishi na wanawake vizuri. Wanawake ni viumbe wema sana

    Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko. Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume. Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuishi nyumba moja na rafiki au mtu yeyote

    Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua chumba cha 40,000 wanachangia kodi. Kuna wale waajiriwa wasiopenda kuishi Uswahilini. Wanachukua...
  16. Mbao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tupambane tujenge nyumba tuzipendazo, lakini tusisahau KUISHI

    Ujenzi wa nyumba za kuishi wenyewe una mambo mengi. Wapo wanaojenga dream house zao, wengine wanajenga kujisitiri tu na wengine wanakarabati nyumba za urithi kwa lengo la kuishi nazo moja kwa moja. Kwa vijana wanaojenga nyumba zao za kuishi lazima wanajinyima ili watoe kitu cha maana. Kibiriti...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wengi wa Redio na Runinga Tanzania wanapenda kuishi 'Fake Life' tofauti na wale 'Wagumu Asilia' wa Magazeti?

    Na hata ukiwachunguza tu wa Redio na Runinga wengi wao ndiyo wanaongoza kwa Kupenda 'Kulelewa' na 'Mijimama', Wana Tamaa za Kipopoma ( Kipumbavu ), Wanafiki, Waongo, Wala Rushwa na wapenda Michongo sana, Wafitini na Wadangaji wengi utawakuta huko na hata ukitafuta 'walioathirika' na Gitaa pendwa...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

    Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

    Wasanii wengi wametoka kwenye maisha magumu ya kuishi chumba kimoja familia nzima tena hapo wamepanga. Wengine wametoka mikoani wamekuja Dar hawana pa kulala wanalala stendi, mitaroni, Kariakoo shimoni au wakibahatika ndio ile wanaishi maisha ya ghetto chumba kimoja mtu sita, yaani kifupi...
  20. Cvez

    JamiiForums Tanzania Kuna watu washaridhika kuishi kwa grants

    Hii energy wanayoitumia kumchukia Zitto wangekua wanaitumia kujenga Chama na ushawishi wangekua mbali. Toka 2014 mlishasema jamaa ni msaliti, Okay we've understood you well, move on sasa. Kama vigezo na masharti vya nyinyi kuishi ughaibuni ni kuchochea kuni tu huku hapo mna kila sababu ya...
Back
Top Bottom