kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Weka mkasa wako: Mnakutana na kuishi kwa furaha kumbe ni unafiki mwingi, kesho mkizidiana ama kupishana mnaanza kuchomeana

    Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi ya mkataba wa mwaka kampuni flani binafsi, Niliweza kujuana na kuishi vizuri na wenzangu wa hio kampuni, sasa niliwakaribisha gheto wakakuta nna Tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu) wakaenda mwambia boss nna Tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi...
  2. Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

    Wakubwa zangu poleni na uchovu. Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali. Naishi maisha Magumu mno. hii ni Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki. Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
  3. Mambo/vitu gani vilikushangaza sana ulipokuja rasmi kuishi Dar es Salaam?

    Ni ndoto ya watu wengi mikoani na hata nchi za jirani kama Zambia, Malawi, Burundi na Rwanda siku moja kutia mguu Dar au kuishi kabisa mjini Dar. Hata mimi ilikuwa ndoto yangu pia. Kile kibao kilichoandikwa DAR ES SALAAM pale Chalinze kinachoonekana wakati ukitokea Arusha kilikuwa kinanipa moto...
  4. Kuishi na msaidizi wa kazi za ndani

    Katika nyumba nyingi au familia nyingi kumekuwa kunauwingi wa kazi, hivyo huhitajika msaidizi ambaye huitwa Housegirl au Dada aka Beki 3. Mabosi wengi wamekua wakisikika wakisema mabeki tatu ni watamu kuliko wake zao wandoa, kiukweli ni kwamba kama kuna housegirl (Beki 2,3,4) katika nyumba...
  5. Ambao hatujawahi kuchanjwa chale wala kwenda kwa waganga licha ya kuishi kwenye mazingira yenye uchawi sana tukutane hapa

    Swalama Wananzengo. Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho. Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa...
  6. B

    Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa. Upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa

    Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa, upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa Mfano: Mbagala inafanana kiukubwa na mkoa wa KILIMANJARO, Manyara na Singida, pia imechangamka zaidi Dar is everything, ukishindwa kuwa tajiri, wewe ndio mwenye tatizo. NB: NI MTAZAMO TU, TUSIJENGE CHUKI
  7. Heri kuishi kwenye Dari au jangwani pekee Yako kuliko kuishi na mwanamke mgomvi

    MWANAMKE HAPASWI KUWA MGOMVI Mithali 21:9, 19; "Ni afadhali kukaa ktk pembe ya darini, kuliko ktk nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi." "Ni afadhali kukaa ktk nchi ya nyika, kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi." Leo nataka tuanze mfululizo wa somo hili, lengo likiwa ni kuboresha mahusiano...
  8. Wale tunaopokea mishahara ya majanga (midogo) hebu tukutane tupeane mbinu za kuishi..!!!

    INTRODUCTION Salamu sanaa Wana JF, ni Mimi yuleyule Mr. Liverpool A.K.A mkataa ndoa. Hebu twende kwenye mada moja kwa moja. SCENARIO. Umeuona huu mshahara...!!! Huu mshahara unaousoma hapo chini hapo .... 1. Unasomesha watoto wangu wawili private (primary school)..!! 2. Unanipa Flying fish...
  9. Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa akili

    Ni muhimu kumsikiliza mwanamke wako kwa makini, hata kama unaona anaongea maneno yasiyo na maana au anajieleza kwa njia ambayo haieleweki kwa urahisi. Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kusikilizwa, na kuwa na mazungumzo ya kuaminiana na wazi ni muhimu katika uhusiano wowote. Hapa kuna sababu...
  10. Siwezi kuishi Dar...

    Habari zenu.. Juzi nilikuwa Dar maeneo ya Mabibo kweli Dar sio sehemu pakuishi watu. Kwanza vijana wa ovyo sana, wanajiona wajanja halafu pesa hawana, nguo zao sasa za ajabu kweli. Joto kama jehanamu ndani mtiti nje mtiti, vile vinyumba vyao vifupi kama mabanda ya kufugia nguruwe. Kuna...
  11. Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Habari zenu, Natumaini wote wazima. Huwa najiuliza swali hili kila siku. Na jibu sijawahi kupata, sasa kuna umuhimu gani wa kuishi duniani hali ya kuwa utakufa? Biblia inasema kuwa Adamu na Hawa walikula tunda pale edeni eti ndo sababu tunakufa. Ina maana kuwa kifo hakikuwa kabla ya kula lile...
  12. Pandikizi la Urusi, Crimea laponea kuuawa, mwendo wa kuishi kwa uwoga na kugeuza geuza kichwa

    Kiongozi aliyesimikwa na Urusi walipoiba ardhi ya Crimea ameponea kuuawa na jasusi la Ukraine, kwa sasa kila pandikizi anaishi kwa uwoga na kuangalia angalia nyuma na kugeuza geuza kichwa maana hakuna aliye salama, ukizingatia Putin mwenyewe drones zimewahi kumkuta ikulu..... Haya yote yataisha...
  13. Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

    Habari zenu wakuu ! Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha ) Asanteni wakuu!
  14. D

    Uzi maalum kwa wenye magari mabovu tu: Tupeane uzoefu na motisha na namna ya kuishi nayo

    Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa! Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo! Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya...
  15. Somo kwa wastaafu: Pesa za pensheni siyo za kufanyia biashara kama unataka kuishi Maisha marefu

    Watu hawana huruma na wastaafu, huwapa michongo ya pesa wanaishia kufa kwa pressure. Ukistaafu idea nyingi sana unaletewa na ndugu. Pana mstaafu alipata milion 250. Shemeji yake akamwambia tufate pikipiki China ukileta kwa jumla pesa ipo, akampa pesa shemeji yake akalala nazo kona China, hadi...
  16. Nimejaribu kuelezea maana ya kuishi na mwanamke kwa akili

    Moderator naomba usifute uzi au kuunganisha. Pia uzi haujajikita kumjua mwanamke bali ni jinsi ya kuishi nae kwa sababu tunaishi na wanawake kama wapenzi wetu na kama wake Na pia ni mtizamo wangu kwako msomaji unaweza usihafiki Kwa mda nilioishi hapa dunian huu ndo mtizamo wangu na maon yangu...
  17. F

    Wafanyakazi wa bandari, ajira zenu hazipo guaranteed kihivyo, tegemee reshufle kubwa na mnaweza kuwa maskini kama mlizoea kuishi kwa madili

    DPW wakiwasili kwenye bandari zetu mengi yatabadilika for good or for worse. Japo ningependa uwazi zaidi juu ya mkataba na DPW, najua kuna mambo yatabadilika na kuwa mazuri na mengine yatakuwa sio. Je ilishindikana kabisa kwa Serikali kuweka nguvu zake na kuibadilisha bandari ya Dar kuwa kama...
  18. Kujihisi kama umechoka kuishi

    Habari, Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where. Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
  19. Tetesi: Kabudi: Sifahamu wao kuhusu mimi nimechagua kuishi

    "....mwanangu nina watoto kama wewe na wajukuu pia katika muktadha huo hunibidi hasa kwa wakati huu ning'amue baadhi ya mambo kwa umakini mkubwa na ndiyo maana nimekujuza kuhusu u muhimu wa umri niliobakiwa nao niutumie kuishi vyema na wao." "....jawabu langu li bayana sitogombea!" Profesa.
  20. Sijawahi kusikia hotuba yenye nguvu kama hii aliyotoa Malcom X

    Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii. Hotuba nyingi bora huwa za kujifanya tu, wanasiasa wakitumia maneno makubwa, wakiongea wanayotaka watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…