Kuishi na msaidizi wa kazi za ndani

Yisen

Member
Aug 6, 2023
6
10
Katika nyumba nyingi au familia nyingi kumekuwa kunauwingi wa kazi, hivyo huhitajika msaidizi ambaye huitwa Housegirl au Dada aka Beki 3.

Mabosi wengi wamekua wakisikika wakisema mabeki tatu ni watamu kuliko wake zao wandoa, kiukweli ni kwamba kama kuna housegirl (Beki 2,3,4) katika nyumba Boss wa kiume lazima ale mzigo!

Unafikiri ni kwanini?

Na nini kitendeke kuzuia jambo hili?
 
Back
Top Bottom