kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    Wanaume tutafute hela, ni aibu kwa mwanaume kuishi kwa kuombaomba kwa watu ili uhudumie familia Yako ujue unatengeza kizazi cha laana

    Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo! Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza...
  2. RMK Freelancers Agency

    Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

    Mshahara ni laki tano kwa mwezi. Goal: To cut expenses, And save more while investing for long term! Tuchambue bila hisia. Monthly Income: 500,000 TZS Kama unaishi Dar au mji wowote, kama hujajenga mfumo, pesa itaisha kabla mwezi haujaisha. Hivi ndivyo unatakiwa kuishi kama una akili ya...
  3. Chance ndoto

    Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua. Hujiulizi ni kwanini Mungu...
  5. comrade_kipepe

    Unapotaka kuishi kama upo Saudi Arabia hakikisha una pesa ya kutosha

    Kuna bodaboda leo nmemtuma akaniletee futari yangu pendwa "kitimoto" ili niiandae mapema kabla ya mda wa kufuturu, sasa namuagiza anasema eti yeye hawezi kubeba nyama ya Nguruwe kwani amefunga nadini yake hairuhusu. Sikilizeni nyie, hao mnaowaiga wana pesa na visima vya mafuta, wewe upo huku...
  6. M

    Nchi ambazo ukiweza kujitegemea basi unaweza kusurvive popote duniani

    Hio sio list ya nchi zenye vita ambazo watu wake huombea siku iishe salama hata wakikimbilia milimani. Hizi ni nchi ambazo hata kama hakuna vita ni ngumu kuishi, kujitegemea inabidi uumize sana ubongo , hawa ndio watu ambao wakitoka hata nje ya nchi kwenda nchi zisizo na mikiki wanasifika kwa...
  7. Waufukweni

    Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi

    Wakuu! Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi 😄✈️ Twende kazi! 👇🌎
  8. Alloyce PR

    Tuendee kuishi tu, tusiulilie wembe

  9. A

    Sasa hivi kuishi na mwanamke imekuwa kama ugonjwa wa kansa kwetu wanaume

    Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki...
  10. Scott junior

    Mnawezaje kuishi na Wageni wanaochagua sana vyakula?

    Mgeni anakuja kwako kukutembelea, tuseme atakuwa kwako kwa kipindi cha muda fulani, Ndani ya muda wote huo anaokaa kwako, anakuwa na tabia ya kubagua chakula, Mara dagaa sili Ohh maji nakunywa ya dukani tu. Ukijifanya kukaza fuvu , anaanza safari za kusingizia oho naenda sehemu fulani, kumbe...
  11. haszu

    Inakuaje madada mzuri anakuja kuishi maisha ya ajabu na ya hovyo mbali na kua na soko?

    Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kabla hawajachelewa. Leo nimekutaa na rafiki yangu wa muda mrefu, akiwa chuo...
  12. Genius Man

    Ameamua kuishi kama mkimbizi, anajificha amekataliwa. Urais una raha gani? Ajiuzulu asione aibu

    Ameamua kuishi kama mkimbizi anajificha ficha amekataliwa. Sasa urais una raha gani ? Asione aibu kujiuzulu, hizi spana anazopigwa ni balaa. Anapigwa spana nje ndani na kila mtu mpaka anajificha, akipita hapa JamiiForums anachanganyikiwa. Huwezi kuua watu vile halafu uwe sawa. Umejitakia mwenyewe.
  13. ngara23

    Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

    1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake, Hivi ukisema Asante Mungu utakufa? 2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu? Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu...
  14. M

    Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  15. M

    Mliowahi kuishi Mwanza miaka ya 2000s, hawa kina Mabruki walikuwa ni kina nani kiasi cha kuogopwa ?

    Nimetoka kuwasikia kwa juu juu kwamba katika miaka hiyo walikuwa na heshima yao jiji la Mwanza. Kuna msanii mmoja walitaka kumpiga, lakini alinusurika baada ya kuzuiwa na msanii wa eneo hilo.
  16. Luca Paguro

    Just imagine kuishi kwenye nchi X

    Imagine unaishi kwenye nchi X ambayo maji yanaweza kukatika hata siku 7 bila sababu za msingi Na hapo nchi X ina mito mingi, maziwa mengi na bahari ipo sehemu kubwa tu, na ukichimba chini maji yapo ya kutosha lakini wananchi wake wanateseka na shida ya maji kuanzia wanazaliwa hadi wanakufa, na...
  17. Roving Journalist

    Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wawezeshwe kuishi maeneo salama na yenye hadhi kama ilivyokuwa zamani

  18. Think2

    Sifa za blacksheep na namna ya kuishi nao

    Sifa za "Black Sheep" (mwana kondoo mweusi) katika familia/kundi: 1. Hutofautiana na wengine – Ana mtazamo, tabia, au maisha yasiyoendana na ya familia/kundi. 2. Mwenye maamuzi huru – Hufuata njia yake bila kujali matarajio ya wengine. 3. Huonekana kama muasi – Anaweza kukaidi mila, dini, au...
  19. R

    Je USA inaweza kuishi peke yake akitengwa na dunia nzima? Maana anachokifanya sasa ni wendawazimu

    1. Amevamia Venezuela 2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration 3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu 4. Anawaza kuivamia Columbia 5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na Congo; Thailand na Cambodia; Israel na Palestine etc etc 6. Amejitoa mashirika mengi ya kimataifa...
  20. Fbn

    Hii ni apartment hipo china unaweza kuishi

    Nahisi idadi ya watu na ukosefu wa maeneo kama mijini kunachangia kujengwa majengo marefu watu waweze kuishi. Imagine kama ni moto japo gorofa lina uimara.
Back
Top Bottom