kuifanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo zina demokrasia hafifu na jeshi ambalo halina nguvu ya kuifanya ikulu kwa nchi husika zisifanye utumbo ni hatari kwa ustawi wa nchi husika

    Wasalaam nyote, Inapotokea nchi baadhi zina demokrasia hafifu na jeshi lisilo na meno wala utisho, wala hakuna supreme organ ya kuinyosha ikulu basi wanasiasa hata wapesi kama manyoya wanajifanyia watakavyo, ni hatari sana kwa ustawi wa mataifa husika. Triple S, yaani strategic state security...
  2. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mo kumwaga mihela nyuma na kuifanya Simba kuingia Ligi ya Africa Sasa ni kama uongozi haumtaki ili upige mihela ya Africa

    Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa. Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza wajinga wanakuwahi wanakufunga wewe pia Alafu wanaanza kumkamua maziwa.
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unajua android Tv unaweza kuifanya utakavyo?

    Watu wengi wanaogopa kuingia kwenye setting za android Tv wakijua wanaweza kuhalibu mfumo mzima. Kwenye android Tv Kuna mambo mengi unaweza fanya ambayo ulikua huyajui kabisa 😁!! 1) Change Device name 💭 Android tv yako imekuja ikiwa na jina lake pamoja na model number sio lazima likae ilo jina...
Back
Top Bottom