kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Familia yangu huiambii chochote kuhusu kituo cha runinga cha Cheka Plus

    Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu, Hatimaye Cheka tu imezaa Cheka Plus, same applied to WCB kuzaa Wasafi Media Cheka Plus inakuja kwa kasi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

    Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa 36,000 na 83,000 kujeruhuwa kwenye vita ambavyo havina umuhimu kwao. ============================...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naombeni ushauri kuhusu matumizi ya mouth spray

    Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
  4. JamiiForums Tanzania Patrick Nyembera unakerwa na elimu kuhusu ndondi aliyo nayo Aidan Mlimila?

    Patrick Nyembera ni mmoja kati ya wachambuzi wa michezo nchini ambaye anafanya kazi hiyo Azam Media. Na mara zote amekuwa ni Commentator wa masumbwi ambayo kwa Azam wanaita Vitasa. Katika mapambano mengi huwa wanakuwa na watu wengine kwenye kuelezea michezo hiyo na kuwapa radha watazamaji...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
  6. JamiiForums Tanzania Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania mtatuambia nini kuhusu pambano la Mwakinyo?

    Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za mchezo huo. Kwa kushindwa kuwepo kwa mkanda uliokuwa unashindaniwa pambano limeshindwa kuchezwa. Fedha...
  7. JamiiForums Tanzania Hii sheria ya ardhi kuhusu wageni kumiliki ardhi isipokuwa makini mtakuja kulaumiana mbeleni

    Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi. Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi wako kwenye wimbi la umaskini ususani vijijini ambapo ndio maeneo yenye rasilimali kama madini,kilimo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kujisahiri Nest ( PPRA)

    Habari za mda huu Wakuu, Naomba kufahamu jinsi ya kujisajiri mfumo wa PPRA na jinsi ya kuomba Tenda , Nahitaji kujisajiri kama Electrical Contractor , Natanguliza Shukrani🙏
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni darasa kuhusu hii mifumo ya simu ya sasa na zamani

    Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia. Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji ukimya wa Serikali kuhusu fidia ya waliopisha Reli ya SGR Tabora

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR kuchelewa kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, Mbunge wa Igagula, Venant Daud Protas amehoji juu ya hatma ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya haupaswi kukubali madai ya Marekani kuhusu sekta ya nishati safi ya China

    Marekani inajaribu kudai kuwa sekta ya nishati safi ya China ni tishio la pamoja kwa wenza wake wa Ulaya, lakini hata hivyo, kujaribu kuiaminisha Ulaya kuunga mkono shinikizo la kiuchumi la Marekani kwa China kunaweza kuwa kikwazo kwa mkakati wa uhuru wa bara hilo la Ulaya. Vitendo vya kujilinda...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala (Punyeto)

    Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala Hawa ni wanyama 9 wanaopiga Mgalala 1. sokwe 2. tembo 3. Popo 4. konokono 5. nyangumi 6. walarasi 7. panya 8. mjusi 9. Ngwini Na Mwenye macho aelewe😆
  13. JamiiForums Tanzania Kijana "Marioo" atoa Dukuduku lake kuhusu kukosa mafao kwenye mahusiano yake

  14. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mshahara TCAA

    Wakuu
  15. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Dkt. Tulia aunda Kamati kufuatilia kama kuna uvunjifu wa Haki za Binadamu katika mgogoro wa ardhi unaohusisha Kanisa la EFATHA

    1.0 Waheshimiwa Wabunge, tarehe 14 Februari, 2024 nilipokea barua kutoka Kanisa la EFATHA, ikiwasilisha utetezi wake kuhusu mchango alioutoa Mhe. Deus Clement Sangu, (Mb) dhidi ya EFATHA, Mchango huo ulihusu mgogoro wa Ardhi kati ya Wawekezaji kwenye Shamba la Malonje na Vijiji vinavyolizunguka...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia

    Mimi ni kijana mdogo bado, ila nataka nijiajiri mwenyewe kwa manufaa yangu ya badae Niko hapa kuuliza ili nijue kiundani zaidi kuhusiana na biashara ya mafuta ya kupikia Je soko lake lipoje? Ni aina gani pendwa zaidi walaji huipenda? Na je bei zake zinaweza nipatia faida kiasi? Na ni maeneo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu kuhusu Soko la Madaktari wa Mifugo (BVM) nataka kutuma maombi

    Wakuu naomba nipewe Elimu kuhusu Soko la madaktari wa mifugo (BVM) Maana nataka kuapply hiyo
  18. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba kujua kuhusu shule ya Turkish Maarif School Of Zanzibar

    Habari wanaJamiiForums! Naomba nisiandike mengi, naomba kupata taarifa kuhusu shule Turkish School of Zanzibar. Natamani kujua mazingira ya shule, ada na mengine mengi
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Ole Lekaita Atoa Darasa la Sheria Kuhusu Kutatua Migogoro ya Ardhi Nchini

    MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ATOA DARASA LA SHERIA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Mhe. Jerry Silaa tangu umeteuliwa umefanya kazi kubwa hasa kupitia Kliniki ya Ardhi, endelea hivyo hivyo kwani matarajio ya Mheshimiwa Rais na wananchi walio wengi wanataka migogoro ya Ardhi iishe na tuwasikilize...
  20. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Utapeli kwa Njia ya Phishing Attach (links, email, attachments)

    Habari wana jukwaa!.. Technology ikiwa inaendelea kukuwa na vijana wa hovyo hawajaachwa nyuma, kuna utapeli unafanyika leo nataka nikuelekeze kuhusu utapeli wa kutumia 'Phishing Attack'. Phishing Attack ni njia inayotumia kuiba taarifa nyeti ambazo ni siri ya mtumiaji husika, kama Back...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…