kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kutokuwa na Imani na Spika wa Bunge la Tanzania

    Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT. Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim. Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Je Marekani itabadili mtazamo wake baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu akili bandia kati ya Marekani na China

    Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa elimu kuhusu magonjwa ya zinaa katika jamii

    Mdau wa SoCO4 mwenye namba ya simu 0765853732. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la waathirika wa magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo Virusi vya UKIMWI, Kisonono, kaswende, Chlamydia, na mengine. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa ngono zembe, maelezo mabovu ya watoto...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania AzamTv wametudanganya kuhusu kuonesha michuano ya Euro

    AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha. Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini? Au Euro ishaisha?? Anyway, imebidi nilipie DStv tu
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli kuhusu wanyonya damu

    Zamani ilisemekana kulikuwa na watu kazi yao ni kunyonya watu damu na story nyingine zinasema walikuwa pia wakichuna ngozi ila sasa kama ni kweli nataka kujua Ilikuwa ni watu binafsi wakifanya hio biashara au walikuwa wakitumwa na serikali? Siamini kama serikali ingeweza kufanya hivyo sio rahisi.
  7. toriyama

    JamiiForums Tanzania Kauli za Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Rasilimali za Nchi?

    Kauli za Mhe. Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Raslimali za Nchi? Msikilize hapa akiwa Bungeni
  8. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu chatu karibu kwenye jamvi?

    Huyu ndie python OG hebu tueleze
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu gari aina ya Suzuki aerio

    Wakuu habari za wakati huu, Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya hii gari Natanguliza shukurani
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unalijua hili kuhusu mtoto wa Osama bin Laden

    Je wajua? Omar bin Laden, mtoto wa nne wa Osama bin Laden, ni msanii na mwandishi, na sanaa yake inaonyeshwa nchini Ufaransa, ambako anaishi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Honda Crossroad

    Wakuu nataka nimwagizie shemeji yenu hio gari (HONDA CROSSROAD) naomba ushauri kwa ambao mna uzoefu nayo. Ahsanteni
  12. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

    Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji awatuliza Simba kuhusu viongozi

    Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuacha kuendelea kuwashurutisha viongozi wao kujiuzulu akisema hatua hiyo itaibomoa timu yao. Dewji ameyasema hayo leo kufuatia malumbano ya uongozi yanayoendelea ndani ya klabu hiyo. Amewashauri viongozi wa Simba...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Unawafundishaje Watoto wako kuhusu Athari za Unyanyasaji wa Kijinsia?

    Onyango Otieno, mwanaharakati mwenye umri wa miaka 35 kutoka Kenya, anasema kwamba wanaume wameshawishika na jamii kuamini kuwa nafasi yao ni juu ya wanawake, lakini kuongezeka kwa ufeministi kumewaacha wanaume wengi wakihisi wamedhoofika au nafasi yao kuchukuliwa na wanawake. Anaeleza “Wanaume...
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu handsome boyz na sura personal

    Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali. Wenye sura personal walipandisha jazba sana na mlengo wa hoja zao ulikua ni kufungamanisha uhandsome na ushoga na...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kama serikali inakanusha kuhusu huu mkopo na dhamana ya madini mbona korea walikuwa na ajenda kuhusu afrika

    Serikali mpaka sasa inakanusha kuhusu mkopo na dhamana ya madini ila korea walishafanya kikao kuhusu madini wanayotaka afrika. Naomba tuunganishe dot hii https://www.youtube.com/watch?v=1_46tHD6Y6s
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Falsafa mpya inajengeka ndani ya nchi yetu. Ni kuhusu nchi yetu kuwa channel na FM ya vichekesho huko mbinguni.

    Kwema Wakuu! Natahadharisha! Ukiona jambo nalizungumzuia ujue tayari nimeshalipima. Lina uzito. Utani na mzahamzaha unaoendelea kwenye nchi yetu unaunda falsafa na mtazamo mpya juu ya kizazi kijacho katika taifa letu. Kujidharau Kujidunisha na kujiona sisi ni taifa la hivyo. Watu wetu ni...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

    Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu. Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Al Jazeera kuhusu mauaji kule Jazira imetangazwa faster kuliko kawaida

    Al Jazeera wametangaza hii habari haraka haraka sana hakuna coverage hata ya kuhoji watu ambao wanasema Ile ni massacre. African news nao Wala hawatangazi kuhusu Sudani. Taarifa yote iko Gaza Ina cover Kila sekunde hadi mistari ya kuchukua chakula milio ya ndege n.k Africa is for Africans...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu taasisi ya Risk Management Tanzania

    Naomba nijue ni chuo hiki au nini nimeingia kwenye website yao ila sijaridhika sana yaani nimeshindwa kukifahamu kiundani majukumu yake na kipo chini ya wizara gani. Kama ni chuo kinatoa course gani Kwa level gani?
Back
Top Bottom