kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

    Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
  2. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Mitsubishi Outlander PHEV

    Wakuu, Kuna gari Aina ya mitsubishi outlander PHEV, ni gari ambayo nimeipenda kwakua ni SUV yenye muonekano mzuri Ila kikubwa ilichonivutia ni kwamba hii gari ni Hybrid, kwamba unaweza ukatumia mafuta au umeme. Sasa swali langu moja kwa moja ni kwamba je, kwa hapa Tanzania hii gari kwenye...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania VIDEO: CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina

    Wanakumbi. CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina katika kambi ya Sde Teiman katika jangwa la Naqab, ambapo Israel inatekeleza uhalifu mkubwa dhidi ya wafungwa wa Kipalestina waliotekwa nyara kutoka Gaza. Wafuasi wa Israel walikuwa wanasema Al Jazeera...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu kufanya uhakiki wa ardhi

    Habarini wakuu! Hivi nawezaje kuhakiki uhalali/umiliki wa ardhi (Surveyed plot yenye registration plan number) pasipo kufika kwenye ofisi husika? Na ni ofisi gani natakiwa kuanza nayo; Manispaa au Wizarani? Kuna mfumo wowote wa kuhakiki mtandaoni? Thanks in advance..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la lishe duni bado ni kubwa nchini Tanzania.. wananchi wahimizwe kula chakula cha kutosha na sio kutishwa kuhusu vyakula.

    Kwa mujibu wa taasisi ya kimarekani ya National Health and Nutrition Examination Survey (NHANES) hadi kufikia mwaka 2016 nchi ya Tanzania ilikuwa ina kiwango cha unene uliopitiliza (Obesity Rate) kwa 8.4% ya idadi ya watu wake. Huku USA ikiwa na 42.1% ya idadi ya watu wake. Hii ni kumaanisha...
  6. Powder

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Nabii (Prophet)

    Shalom....! Najua JF imebeba Watu aina tofauti na Malengo tofauti wenye Imani tofauti...! Ninahitaji kuwasiliana Nabii yoyote ambaye Mungu anamtumia, awe na Kanisa ama hana ni sawa...! Kuna Unabii wa Kimungu nataka ku share na yeye. Kama yupo hapa, anaweza tu kuja in box, tukaongea kama...
  7. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kuhusu hizi nyumba mbili kati ya Malisa na Tulia?

    Hizi nyumba mbili moja imejengwa na Tulia foundation na nyingine chini ya Foundation ya Malisa . Kuna nguvu kubwa kufanya mambo kutoka moyoni Hingera Malisa Gj pia hongera Tulia
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mgogoro unaosemekana ulitokea Handeni kati ya Wafanyabiashara na TRA Handeni

    Binafsi nimefanya utafiti nimejiridhisha pasi na shaka kuwa kile kinachodaiwa kwamba ulikuwa ni mgogoro kati ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Handeni na TRA, hususani Manager wa TRA Handeni mpaka kufikia hatua ya baadhi ya Wafanyabiashara kufunga maduka, ni mpango ulioratibiwa na baadhi ya...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Janga la Kitaifa: Watu Waliofeli Kwenye Ndoa Wamejivuka Koti la Ualimu, Wanaelimisha Watu Kuhusu Ndoa ni Hatari Kwa Taifa la Tanzania

    Shalom, Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala. Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa, mibaba mihuni tu inayonyandua mademu hovyo tu imegeukia hio fursa kuelimisha kuhusu Ndoa, mijitu...
  10. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu

    1. Kocha Anaweza Kucheza Kwa Timu Kama Atakavyo: Wengi hawajui hili lakini kocha ni sehemu ya timu na anaweza kumtoa mchezaji na kuingia uwanjani kucheza. Mfano wa kawaida ni Gianluca Vialli ambaye alikuwa akicheza kwa Juventus na baadaye akawa kocha wa Chelsea, alikuwa bado anaweza kucheza na...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kuhusu mpenzi wangu aliyenisevu "Dad" kwenye simu yake

    Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha. Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona namba mpya ikiita kwenye simu yangu nikaamua kuipokea. Ni kijana aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin...
  12. TESRA

    JamiiForums Tanzania Machache Kuhusu Kimondo Hoba (Namibia)

    -Ni miaka 80000 iliyopita. Jiwe kubwa lililokuwa na uzito wa tani 60 lilianguka na kufika katika ardhi ya Namibia pembezoni mwa milima ya Otavi, ni km 20 kutoka mji wa Groot fontein. - Mwaka 1920, bwana Jacob Hermanus Brits (alikuwa ni Boer), alienda shamban kwake na vifaa vyake vya kazi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu usitoe sifa za bure kwa Prof. Mbarawa Bungeni kuhusu uwanja wa Ndege wa Mwanza

    Nimefuatilia hotuba ya kuchangia ya Mhe. Tabasamu kwenye Bajeti ya Uchukuzi na kusikitishwa na sifa na shukrani aliyoitoa kwa waziri wa uchukuzi kuwa amewezesha ujenzi wa uwanja huo kuwa wa kimataifa. Ajabu uwanja huo haujaanza kujengwa wala site mobilization haipo, na mitambo ya kudanganyia...
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesho Lissu akiwa Rais unadhani ni kipi cha kwanza atafanya kuhusu Muungano?

    Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano? Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya...
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uchochezi inayowakabili Malisa inageuka kwa Jeshi la Polisi kuhusu vifo vya utata

    Mahakamani ni sehemu ya ajabu sana kwa wale wenzetu tusiofikiria sheria wala maamuzi. Hili swala lilo lalamikiwa na jeshi la polisi kupitia afande muriro linawezaa kuzua mjadala mwengine ambao ukageuka kibao kwao kuhusu utata wa vifo vinavyo tokea kupitia wao au kuzuka jambo la kupotea kwa watu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu. Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  19. The Genius

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kasi ya ndege inapopaa

    Ufafanuzi mwepesi. Ndege inapokimbia kwenye barabara yake (#runway) kwaajili ya kupaa, kuna kasi tofauti ambazo Rubani msaidizi '#First_Officer au Rubani kiongozi #Captain anataja ili anayehusika kurusha ndege (Pilot in command) afahamu maamuzi aliyonayo katika mwendo husika. Ndege (hasa kubwa)...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Honda Fit

    Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit Asante
Back
Top Bottom