Kijana endapo kama utaamua kuoa single mother na ukaamua kubeba majukumu ya ubaba kwa mtoto wake basi tambua kuwa mtoto hatothamini unavyojitoa kwake na kila utakachofanya ataona kuwa unayafanya hayo majukumu kwasababu upo na mama yake na sio kwamba unampenda kweli.
Mtoto wa single mother...
Habari wanajamii,
Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class.
PMP® ni nini?
PMP® ni cheti cha kitaalamu kinachotolewa na Project Management Institute (PMI). Ni cheti kinachotambulika duniani kote na...
Habari Ndugu wana jamii forum
Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4
ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya
1. Political science and public administration
2.law
3. Law enforcement
4. Social work
Zinahusu nini kiundani...
Habarini wakuu, niko hapa kuomba msaada kwa yoyote ambaye ana mtu anamfahamu anafanya kazi NSSF anaweza kuniunganisha naye.
Nina maswali mengi nataka kufahamu kabla sijaanza kufuatilia pesa zangu, yeye atakuwa ananisaidia kwenye kila hatua hadi mwisho.
Nawasilisha
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI imeendelea kutoa mafunzo ya masuala ya kijamii na Mazingira kwa watumishi wa Halmashauri Tanzania, zinazotekeleza awamu ya mbalimbali za mradi wa TACTIC inayotekelezwa kwa fedha za mkopo kutoka benki ya Dunia.
Mafunzo yamefanyika...
Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa.
Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55
Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk
Bei halisi nijiandae na sh ngapi?
Mkitaja na maduka sio mbaya
https://www.jamiiforums.com/threads/tanzanialeaks-apuuzwe-hazina-haijafilisika.2236060/
Heshima kwenu wakuu wenzangu
Kama mtambuka juzi kati member wa JF na Waziri wa Fedha alikuja humu kukana kwamba serikali haijapungukiwa uwezo wa kifedha. Hoja yake ilijikita kuonyesha serikali ina uwezo...
Naomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024
Je, kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari Ina pesa kiasi cha kuendesha interview kila mkoa
Unajua hata kama huoni kuwa masingle mothers wanafaida basi. Ila wao kwako wanafaida nyingi.
Kuzaa nakupata mtoto ni hazina ya mbeleni na sasa . Kuitwa mama fulani ni raha sana . Mwanamke mbwahuyu hafai kazaa njee ,ila yeye anafuraha anawatoto na wanampa kampani akija home .
Mtoto wake anampa...
Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80
Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa.
Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
Nimeona nchi nyingi za Bara la Ulaya, america, Australia na Asia zikifanya jitihada za kuvumbua teknolojia ambazo kimkakati zinakuwa muhimu kwa nchi na historia ya vizazi vijavyo, kwa sasa China imeweza kupiga hatua za kutengeneza vifaa vya chaji na mitambo mengine.
Je, nchi zetu zimejikita...
Msaada jamani, HIVi pikipiki Kwa matumizi ya kawaida mtu anatakiwa afanyie service vitu gani na Kwa mda gani?
Pia boxer 150 mazuri yake na mabaya yake ni yapi
Kuna madhara ya kubana mafuta kwenye pikipiki
Unawezaje kutambua kifaa ulichofungiwa kama ni og kwenye pikipiki Hasa hizi za...
Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna.
Ushauri wenu wanazengo
Ni wapumbavu, hawana demokrasia, wanatudanganya sisi mazuzu TU. Trump walitaka kumuua kama vile Lissu walivyotaka kumuua hapa. Akili kichwani
https://youtu.be/PvyYcx0YKLo?si=c35U2vk62XKMcN1k
YAJUE MAJINI KWA UNDANI
- Neno majini linatokana na neno maji " sababu element ya majini ni maji na sio moto "
- Majini hupendelea kuishi na kukaa baharini, mtoni, ufukweni zaidi.
- Majini ni mashabiki wazuri wa michezo ya mpira, kamali n.k
- Majini yana vitengo kama zilivyo serikali zetu...
Usiyoyajua kuhusu mimi
1. Nikishaanza utekelezaji huwa sitaki ushauri katika safari ya utekelezaji.
2. Simwogopi mtu yoyote kwa sababu pia najitahidi kutovunja sheria.
3. Nikiamini jambo linawezekana nitamini hivyo mpaka nikilifanya likashindikana.
4. Simbembelezi mtu kunipenda, kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.