kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi kutoa ripoti kwa Mamlaka kuhusu jumbe na simu za kitapeli

    Unashauriwa kuripoti namba ya simu iliyokupigia au kukutumia ujumbe mfupi, kwa lengo la kukutapeli kwenda namba 15040. Kama umetumiwa SMS, tuma ujumbe uliotumiwa kwenda 15040 kisha ingiza namba iliyokutumia na kama umepigiwa simu basi tuma neno UTAPELI kwenda 15040 kisha ingiza namba...
  2. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania KUNA MAONI GANI KUHUSU WANAFUNZI WA VETA KUPEWA MKOPO

    Mimi kwa mtazamo wangu wanafunzi wa VETA wapewe fedha za kujikimu na Ada pia . Wewe je?
  3. Poluyakhtov

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la sonona

    Habari za asubuhi wana JF, Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, kuna ndugu yangu wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Yeye ni mhitimu wa chuo kikuu miaka 5 iliyopita, alisomea Bachelor of Human Resources Management. Alipohitimu tu;akabahatika kufanya kazi ya muda kwenye ofisi moja ya shirika la...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Huu ni upotoshaji mkubwa sana kuhusu kitimoto

    Huyu Sheikh aache mara moja kulisha watu matangopori kuhusu huyu mnyama.
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
  6. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania Kuhusu plate number za "SSH25 30"

    Kwenye mkoa ninaoishi nimeona utitiri wa gari zenye plate number za "SSH 25 30" Nimekuwa na maswali kadhaa ninayojiuliza kuhusu usajili huu wa magari 1.Je magari yote haya yamelipiwa private plate number za "SSH 25 30" 2.Kama yamesajiliwa kwa usajili huo ni kipi kinachoyatofautisha maana...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Moderator:umenikose heshima kuanika ukweli ukaniunganisha kwenye kuchania kuhusu Bar kubwa na TRA

    Nilieleza uzi kuhusu: Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli. Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA
  8. Mamtolo

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kujiunga na Bolt Driver Location Dodoma

    Nipo dodoma, nina kigari ambacho nataka nikipigie mishe za Bolt ili kujipatia vijisenti vya hapa na pale maana hali ni ngumu kiukweli. Kama kuna mtu anaweza kunifanyia mchakato nikapata akaunti ya Bolt driver,tuwasiliane. Gari nlonayo ni private(namba ya njano) sio ya biashara (namba nyeupe)
  9. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kujisikia vibaya, mwili kukosa nguvu

    Kaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mambo 8 Ambayo Huenda Hukuyajua Kuhusu Mila na Desturi za Jamii ya Wamaasai

    Wamaasai ni kabila la Wanailoti wanaoishi Kaskazini, Kati na Kusini mwa Kenya na Kaskazini mwa Tanzania. Wao ni miongoni mwa wenyeji wanaojulikana zaidi kimataifa kutokana na makazi yao karibu na mbuga nyingi za wanyama za Maziwa Makuu ya Afrika, na mila na mavazi yao tofauti. Wamaasai...
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  12. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Ccm kuhusu swala la ajira kwa vijana endeleeni kukaa kimya kwakuwa hama maarifa wala akili za kutatua hili tatizo.

    Sio jambo jema mkaendelea kuropoka . Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana . Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na Baba lishe.
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Jeshi la Yemen kuhusu kulengwa kwa shehena ya ndege ya USS Harry Truman kujibu uchokozi wa Marekani - Machi 16, 2025

    Wanaukumbi. Taarifa ya Jeshi la Yemen kuhusu kulengwa kwa shehena ya ndege ya USS Harry Truman kujibu uchokozi wa Marekani - Machi 16, 2025. Adui wa Marekani alianzisha uchokozi wa wazi dhidi ya nchi yetu katika saa zilizopita na zaidi ya mashambulizi 47 ya anga, yakilenga maeneo kadhaa katika...
  14. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Sanamu Yako Ni Ipi? Raha? Nguvu na Mamlaka? Pesa? Au Heshima na Umaarufu ?: Tafakari Kuhusu Vitu Vinavyotufunga na Kutufanya Tujute

    Moja ya mambo magumu zaidi maishani ni kuelewa kwa nini tunafanya mambo tunayofanya. Kwa nini tunachagua njia fulani badala ya nyingine? Kwa nini tunavutwa na vitu ambavyo baadaye vinatuletea majuto? Kwa nini mara nyingi tunajikuta tunarudia makosa yale yale licha ya uzoefu wa nyuma? Swali hili...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa uchache kuhusu Uume wa nyangumi

    Huu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale, na ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani. Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8 au mita 2.5 Yaani uume tu wa nyangumi umempita urefu mchezaji wa mpira wa kikapu wa kitanzania...
  16. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Rwanda

    Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda? Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi? Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!! Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa. Rwanda ndo nchi pekee barani Afrika, ukiingia huulizwi utakaa siku...
  17. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TIN

    Habari Wadau wa JF! Kama nilivyotangulia kuandika hapo juu, naomba kujua kama kuna namna naweza kupata namba yangu ya mlipa kodi. Ni muda mrefu sikuitumia maana sikuwa na matumizi nayo, nilitafuta kwa ajili ya kupata leseni ya udereva. Kwa ujumla namba yangu siikumbuki, naomba kujua kama...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu kozi ya International Relations and Diplomacy

    Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! 🤔 0787044620 my number
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania ELON MUSK ALIPO ULIZWA KUHUSU BYD MIAKA KAMA KUMI ILIOPITA ALICHEKA SANA ILA SASA HALI IMEBADILIKA GHAFLA

    Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza Hali ya sasa ilivyo sasa In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest manufacturer of electric vehicles, with BYD selling more new energy vehicles (including battery...
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna haja ya kufanyika uchunguzi Kuhusu Hili Soko lenye paa mbili za bati, soko la Mbuyuni (Manispaa ya Moshi) kwa thamani ya Bilioni 2!

    Utangulizi Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha hizo zimeelekezwa, hasa kwa kuzingatia hali ya soko lenyewe. Kila mmoja ana mtazamo wake, lakini...
Back
Top Bottom