kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuhusu mkeo yazingatie

    MAMBO 10 KUHUSU MKEO YAZINGATIE.. 1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe. 2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje. 3. Mkeo ni tunu, mthamini. 4. Mkeo ni kito adimu, mtunze. 5. Mkeo ni rafiki yako bora, muweke karibu yako. 6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe. 7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada:Naombeni kujuzwa kuhusu payment getways .

    Habari makuu,hivi karibuni kuna mradi nilikua najaribu kutengeneza na kukwama katika kipengele cha namna clients wanaweza fanya nalipo. Ninichotaka kujunzwa ni payment getways zinazo oparate Tanzania na zina favour startups kny matter ya cost...
  3. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mitandao Ya Simu

    Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya matangazo ya zawadi za Faza Xmas. Likewise na kwenye website zao, hawajaandika gharama za package...
  4. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu pande kuu nne za dunia

    Nawasalimu wote mliopo humu ndani Kitu chochote ambacho Mungu anakitumia kwa mazuri na satani naye anakitumia kwa ubaya.. Umewahi kujifunza pande kuu nne za dunia na majina yake ya Kaskazini, Kusini, Mashariki, na Magharibi?. bila shaka utaniambia ndio. Sasa katika ulimwengu wa roho hizi pande...
  5. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu wenye miaka 50s 60s 70s wengi hawakujitambua kuhusu maisha.

    Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba. Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi . Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majengo ya Kariakoo yanavyo jaza watu yanatia wasiwasi kuhusu uimara wake endapo litatokea tetemeko maeneo hayo watu wengi watakufa

    Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Lissu kuhusu mustakabali wako CDM, jifunze Kwa JK kuliko kufuata ya Lowwassa.

    Hellow!! Kuna wajinga humu wanakudanganya kuwa Eti ikitokea umeshindwa uenyekiti Kwa namna yoyote Ile kwamba ukiondoka CHADEMA utasomba umati wa wanachama wengi na kukiua CHADEMA! Hii Si Kweli, ni kujillisha upepo, wewe ni mtu mmoja, CHADEMA ni Taasisi. Ni vyema ukajifunza Kwa Jakaya Kikwete...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo watu hawalioni kuhusu uchaguzi wa CHADEMA.

    Kuna jambo nalitafakari kwa kina na ninadhani watu wengi hawajaliona Wala kulifikiria. Iwapo Lissu atafanyiwa figisu kwenye uchaguzi ndani ya CHADEMA na akatimkia ACT Nini kitatokea? Hili Jambo watu hawalioni. Lissu akihamia ACT ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA kama chama kikuu Cha upinzani...
  9. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu mahsusi wa chrismas kwa serikali ya Tanzania hasa wizara husika kuhusu ajali za barabarani.

    Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu. Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
  10. MEK_TZ

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri katika ufugaji wa nguruwe

    Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima. Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe. Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
  11. mwl. mziray

    JamiiForums Tanzania Upi Ukweli kuhusu Uwekezaji wa FIC?

    Ndugu zangu, kwa siku za karibuni kumekua na watu mbalimbali katika taasisi za Umma na binafsi wakijihusisha na Uwekezaji katika kampuni ijulikanayo kama FIC ambapo wanaweka mitaji na mitaji hiyo inakua kila siku. Je Uwekezaji huu ni halali? Usalama wa fedha za Wananchi upo? Hii ni sehemu ya...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

    Eeeh wakuu mpo? Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au alichoeahi kukiona Majini ni nini? Majini kiroho ni viumbe hai wanaoweza kuishi ndani ya mwili wa...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania TAFSIRI kuhusu maamuzi mabovu yanayo fanywa na waamuzi kuipendelea Simba

    Ni kwamba tu Watanzania hatujui kusoma body language wala facial expression. Achilia mbali Telepathy Ni hivi hayo maamuzi mabovu yanayo fanywa na Marefa in favour of Simba ni ujumbe anapewa Injinia. " Kwamba, wewe Injinia si unajifanya hautoi hela kwa marefa, sasa wacha tukukomeshe" Incase...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SUWASA yafafanua hoja ya Mdau kuhusu uhaba wa maji Kata za Unyianga na Mtamaa Mkoani Singida

    MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma ya majisafi katika Manispaa ya Singida na Serikali inatambua hilo na imeshachukuwa hatua stahiki...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Fikra duni za mbeba maboksi kuhusu mustakabali wa CHADEMA baada ya uchaguzi wao.

    Mbeba maboksi here I come with my two cents from a distance. Nianze kwa kuwatakia heri ya Krismasi kwenu waumini wa Kristo. Kwa wasio waumini, nanyi nawatakieni sikukuu njema na mapumziko mema. Nimekuwa nikiifuatilia hii mijadala ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kwa juu juu tu. Sikuwa kabisa...
  16. selemangrace346

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua zaidi kuhusu kisiwa cha Mayotte

    Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa...
  17. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania NATUBU: Kama Niliwahi Kukitukana Chama Changu cha CCM kuhusu kuwa na misingi Mibovu ya Kidemokrasia Naomba kwa Dhati kabisa Nisamehewe

    Demokrasia Imevuliwa Nguo, sura Mpya ya CHADEMA inaanika Changamoto kubwa Iliyokuwa ikifichwa na wengi ya Uongozi wa Milele imebaki wazi na Kuonekana.. Kilichotokea leo, pale FAM alipotangaza kugombea tena nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, kimeacha alama ya fedheha kwa yeyote anayependa siasa za...
  18. Trainee

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa NMB kuhusu miamala na mikopo

    Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na wahusika Leo naomba NMB wachuje ushauri huu 1. Mtu akifanya miamala kwa nmb mkononi huwa mnatoa...
  19. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwemyeji wa Morogoro anidadavulie kuhusu haya maeneo.

    Wakuu kwema? Mm sijambo Nilikuwa natafuta scientific reason ya kubadili mawazo yangu ya kupeleka biashara maeneo ya kusini na kuchagua eneo jipya la kupeleka biashara. Mpango wa biashara ni kucheza na minada mbalimbali utakaoanza kutekelezwa mwanzon mwa mwezi wa kwanza. Ninafikiria kupeleka...
  20. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Hivi Hili ni mimi naliona kuhusu Dar au na wengne pia mnaona hivyo?

    Mada Fupi tu maana Kuna mambo mengi ya kufanya pia. Iko Hivi kuhusu Jiji la Dar es salaam Mm Naona wanawake wa Dar ni warembo sana. Sure cjui ni macho yangu au nn!. Kuna Saa unajitahidi hata usiangalie pembeni ukaze macho mbele kama Robot 😎 OK hivi Kuna mkoa mwingne unapiku Dar kwa wanawake...
Back
Top Bottom